Je, jini mahaba, wachawi na popobawa wanaweza kubikiri na kumpa mtu mimba?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
Tukiachana na tereza wa kule Kigoma ambao ni wanaume ambao walikuwa wakitembea uchi usiku huku mwili mzima wakiwa wamejimiminia mafuta ya mawese kisha kwenda kwenye majumba ya watu, kuvunja milango na kisha kuwaingilia wanawake kimwili, ambapo mwanamke akishtuka hutoka mbio na hawakamatiki kirahisi kwasababu ya mafuta ya mawese waliyojimimia.

Kuna hii habari nyingine ambayo ilivuma sana siku za nyuma mitaa ya Uswahilini ambapo popobawa alikuwa akiwaingilia watu na kuwaachia mijimbegu mizito ya kiume yenye joto.

Pia kuna majini mahaba huwaingilia watu, yaani ghafla bin vuu unajikuta tayari uko kwenye huba zito na jibaba la Kiarabuarabu hivi, mara lishakugonga msumari na kukuachia not kadhaa, na mengine yanakuacha tu na janaba lako ukajisafishe kwa maji, na sabuni uliyonunua kwa hela yako.

Pia kuna wachawi, mathalani, mtaani kwetu kuna zee moja mabinti wanalalamikia sana kwamba linawaingilia ki shababi mabinti mtaani.

Sasa hapa mtaani kuna mabinti kama wanne wote wana watoto wanaofanana sana na yule babu, wanadai aliwapa mimba kwa kuwaingilia kichawi, wataalam je hiii ina wezekana kweli?
 
Ndio inawezekana spirit kumtia mimba mwanadamu, reference wana wa Mungu wali waingiliwa wanadamu Mwanzo 6, wanadamu wakazaa majituu. Hapo chap chap unaweza kuja tu zame kwa undani majini mahaba ni nini? Na chanzo chake ni kipi, wanafanyaje kazi, nini kinafanya ya attack watu na nini kinayafukuza
 
Hilo jini wakilipata me tunanyamazaga kimyaaa ili tuendelee kula nyapu ya bure...kila siku unaliwahi home halafu lina kulinda na vibaka wakija wananyonyogwa faster tu...
 
Jee Mr Popobawa huwa anapendelea zaidi mitindogani? Chumamboga, kifochamende, wagadugu au freestyle?
Tuanzie hapo kwanza!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
zooote zingine si za dunia hii....lile hata ukilala kwenye daladala linakuja linapiga kimoja cha faster!! Utajua tu mtu anslo akianza kukata mauno kwa kiti cha daladala live na kulia lia kimahaba.....unajua tu huyu tayare analo....mfunike shuka
...ndo maana ya mashuka yale.
 
Back
Top Bottom