magufuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    GE2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

    Leo mgombea wa Urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli yupo jijini Mwanza baada ya kuwasili jana ambapo yeye na chama chake wanatarajia kuzindua kampeni zao jijini humo kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuomba ridhaa ya wananchi kuendelea kuongoza serikali. Mwaka 2015, Dkt...
  2. Chakaza

    GE2020 Pombe Magufuli amnadi Ezekia Wenje(CHADEMA) akidhani ndiye Mgombea wa CCM

    Kichekesho kimetokea kwa Mheshimiwa Magufuli alipokuwa anapiga kampeni mjini Musoma. Bila kujua akajikuta ana mpigia kampeni Ezekia Dibogo Wenje kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rorya akidhani ndio jina la mgombea wa CCM. Hii inatokana na jina la Wenje kumtesa moyoni. Mgombea wa CCM anaitwa Jafari...
  3. T

    Hii ndiyo tafsiri ya Rais Magufuri ya "Maendeleo hayana vyama"

    Tumuombee maana maendeleo hayana vyama. Miradi ya maendeleo inachangiwa na watanzania wote kwa kulipa kodi bila kujali vyama vyao
  4. Chief Kabikula

    Magufuri Akiri Wajumbe Wa CCM Noma Sana .

  5. Kennedy

    GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
  6. mgt software

    GE2020 Ombi kwa Magufuli: Piga chini Wazee kuanzia 65-90, kwani hawana shukrani na ajira, kura za maoni ziwe na wenye maono sio walioshindwa kujenga nchi

    Wana JF, Kuna Wazee wengi mfano wa Wassira bado wana uchu wa kuingia bungeni, Wazee kama Mkuchika piga chini wazee wote kwani ndio waliotudhooofisha kwenye kwenye maendeleo kwenye miaka waliohudumu walikuwa ni ndiyooo kwenda mbele, hawa wazee so kwamba wana lolote Bali ndio waliotengeneza CCM...
  7. Mkogoti

    Je, Rais Magufuli alipopiga simu kwenye Tamasha la Kwaya la Kumshukuru Mungu alikuwa yupo wapi pale?

    Habari wapendwa? Natumaini Wazima wa Afya. Twende kwenye hoja yetu, ni hivi: Jumapili kulikuwa na Tamasha la kwaya mbalimbali Lengo ni Kumshukuru MUNGU, Sasa kwenye mida kama ya Usiku hivi Kulikuwa na kama Tv ikamuonesha Rais John Pombe Magufuli akiwasalimia waliohudhuria. Ila Nyuma ya...
  8. mgt software

    CCM ya Mkapa na JK iliua njia kuu za usafirishaji kuneemesha matajiri, CCM ya Magufuli yasifika kwa kuuresha Matajiri waishi kama Mashetani

    Wana Jf, Katika watu wanaoleta hisia mzito mpaka kufikia hatua ya kutoa machozi ni pale unapoona watu wakishangilia urejeshwaji wa usafiri wa Treni, ufufuaji wa njia nyingi za treni tena nyingine watu walijenga juu yake hata kufika mitalimbo ya chuma kuitumia kama nguzo. walioshiriki kuua...
  9. mserekale

    GE2020 Membe anaweza shinda uchaguzi ujao. CHADEMA kazi kwenu

    Kati ya kipindi ambacho Chadema kinapaswa kuwa makini ni hiki cha kuteua mgombea wake wa urais atakayechuana na bwana jonh wa CCM..! Kama CHADEMA kitashindwa kupanga kete zake vizuri za kumpata mtu sahihi katika nafasi ya Rais ni dhahiri kitadondokea pua kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...
  10. J

    GE2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally, Makao Makuu ya CCM, Dodoma. Maendeleo hayana vyama!
  11. M

    BBC: Jinsi Rais Magufuli anavyopambana na corona na "mabeberu"

    Na Sammy Awami BBC News, Dar es Salaam 18 Juni 2020 Rais wa Tanzania John Magufuli amekuwa akikosolewa kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya "mabeberu" na tangazo lake la hivi karibuni kuwa maombi na sala vineondosha virusi vya corona katika taifa hilo. Lakini suala hilo la...
  12. Z

    Wasifu: Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais ajaye wa Zanzibar

    Hakuna cha Makame Mbarawa wala nani. Huyu ndiye atayeiingiza Zanzibar kwenye karne ya 21. Wasifu wake ni huu hapa: Dk Hussein Mwinyi ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli. Kiongozi...
  13. E

    Kuna mtu anaitwa Kalikenya wa Magufuli, jamani yuko wapi?

    Kalikenya alisimama kidete kuelezea masaibu waliyokuwa wanayapata ktk Gereza kuu la Butimba huko Mwanza. Baada yatukio lile, kuna maneno mengi yalisemwa kuhusu Kalikenya, na hata baada ya msamaha wa rais, Kalikenya hakutangazwa, wala kuonekana kutoka katika msamaha huo, kitu kilichopelekea...
  14. Nazgur

    Rais Magufuli aonesha uwezo mkubwa kwenye janga la Corona duniani

    Toka lilipoingia janga hili raisi alitoa msimamo kuwa watu waendelee ka kazi ila wachukue tahadali kwa kufuata mashrti yaliyowekwa na wizara ya afya. Pili, akasema hii ni vita hivyo tutmie kila siraha kupambana na huu ugonjwa, tutmie pia maombi na dawa za asili na kupiga nyungu ili kuutokomeza...
  15. M

    Rais Kenyatta: Hatuwezi kuendelea na lockdown

    - Rais alisema serikali imeafikia uamuzi wa kuwa haiwezi kuendelea kuwafungia watu - Alisema sasa itafikia wakati wa watu wenyewe kujilinda dhidi ya maambukizi ya coronavirus - Nchi jirani ya Tanzania ni mojawapo wa zile ambazo hazikufunga shughuli zake za kuchapa...
  16. okiwira

    Narudia tena na tena kwako Rais John Pombe Magufuli

    IKUTI MBEYA RUNGWE ni sehemu ambayo binadamu na wanyama wanashea sehemu kunywea maji katika mto rumbe. Kila uchao wanasiasa wanawalaghai wananchi watawaletea mabomba ya maji ili wapite bila kupingwa. Lakini hawaleti. Je, wewe nawe hii sehemu ya siasa zako? MJOMBA WA HAPA KAZI TU? Mhe. Rais...
  17. T

    Janga la Corona limempaisha Rais Magufuli kisiasa

    Namna ambavyo Rais magufuri amejipambanua kukabiliana na janga la corona ni dhahiri amekonga nyoyo za walio wengi na hii imepelekea kupata uungwaji mkono na maelfu ya watanzania wakiwemo wa vyama vya upinzani. Kitendo cha Rais Magufuli kutokubaliana na agenda ya kujifungia (LOCK DOWN) ambayo...
  18. JipuKubwa

    Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

    Wanajukwaa, yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni...
  19. G Sam

    Rais Magufuli kwa miaka yote mitano sukari tu imemshinda

    Najiuliza ni nini tatizo? Rais Magufuli alipoingia ikulu mgogoro namba moja aliouanzisha ni sukari. Sukari ghafla ikapanda bei, ikapotea mitaani. Ilifikia hatua akatoa vitisho kuwa ataliruhusu jeshi likamate sukari iliyofichwa liigawe bure. Nakumbuka hii kauli wapiga zumari waliishangilia...
Back
Top Bottom