magufuli

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Dkt. Antony Diallo alikuongopea kuhusu Bollen Ngetti, anatia huruma

    Wanabodi nawasalimu. Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Tanzania hasa miaka 10 iliyopita huwezi kusahau jina la kijana Bollen Ngetti aliyekuwa Mhariri wa gazeti la Sauti Huru. Kati ya Mwaka 2013-2015 kijana huyu alikuwa mwiba kwa Chadema na viongozi wao. Ni huyu kijana aliyeibua utapeli wa...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana watano (below 40 years) wanaofaa kwa nafasi ya Katibu Mkuu CCM taifa

    Leo nitawaongelea vijana watano (5) Wenye Umri chini ya Miaka 40 ambao naamini wanafaa kwa nafas hii kubwa kabisa nchini. Nimeona nijadili vijana kwa sababu utawala wa JPM umejielekeza zaidi katika kujenga Taifa imara kiuchumi na vijana ndio nguvu kazi ya Taifa. Inawezekana wasipate lakini...
  3. JamiiForums Tanzania Modus operandi ya Rais Magufuli ni ya ajabu!

    Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli. Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜. Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi. Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo; Nimeangalia video fupi ya hotuba...
  4. JamiiForums Tanzania Stendi mpya ya mabasi ya Magufuli haikuwa tayari kuanza kutumika

    Habari za muda huu na ni matumaini mko wazima wa afya. Straight to the matter, hiki kituo kipya cha mabasi ya mikoani hapa Dar es Salaam yaani Magufuli Bus terminal hakikuwa tayari kuanza kutumika. Ilitakiwa kipewe muda kidogo ili kiwe sawa. Leo nimefika toka Morogoro muda huu kwa mara ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania IKULU: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa aapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Balozi

    Rais Magufuli leo saa 3.00 asubuhi ananamuapisha Katibu mkuu kiongozi mteule Dr Bashiru Ally. Tukio hili muhimu litakuwa mubashara katika luninga zote za ndani zikiwemo Upendo tv, ITV, TBC, Channel ten, Star tv nk Karibu. Updates: Rais Magufuli ameshaingia ukumbini na Dr Bashiru anakula...
  6. JamiiForums Tanzania TUJIKUMBUSHE: JK Amsambaratisha Magufuli

    Unganisha na hii hapa chini.
  7. JamiiForums Tanzania Pole sana ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu ulilopewa na Rais

    Habari zenu wakulungwa wa JamiiForums Nachukua nafasi hii kumpa pole Ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu alilopewa na rais wetu wa JMT pale Mbezi wilaya ya Ubungo. Mimi Mangi niliyekulia Dar es Salaam bado nairudia rudia hii clip bila kujielewa! Hakika mitano tena.
  8. JamiiForums Tanzania Magufuli kama Nebukadneza Mkuu wa Dola ya Babeli

    Mwaka 2015 niliandika habari iliyochapishwa na Gazeti la TAZAMA “Magufuli kama Nebukadneza mkuu wa dola ya Babeli” nairudia tena baada ya kusoma Gazeti la RAIA MWEMA. Mwandishi MWANA KIJIJI ameandika “sababu zilizowafanya mitume 11 wasimfuate Yesu majini” Amemshambulia sana Rais Magufuli. 1...
  9. JamiiForums Tanzania Let us appreciate Magufuli

    The Man is doing a great job with high performance Now we can see how the world try to follow up with strategies he use to combat Corona Virus, Nathan jr
  10. JamiiForums Tanzania Wapiga debe 30 wakamatwa stendi ya Magufuli

    Wapiga debe 30 wamekamatwa katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli kilichozinduliwa siku mbili zilizopita na Rais John Magufuli. Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Februari 26,2021 Meneja wa kituo hicho, Maira Mkama amesema wapiga debe waliokuwa Ubungo, Riverside na Mbezi wamevamia na kusababisha...
  11. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Magufuli, ni lini utatutembelea Mbeya na Wilaya zake?

    Mara zote kutembelewa na mgeni ni baraka. Kutembelewa na Rais ni baraka zaidi. Kutembelewa na Rais Magufuli ni baraka tele ambayo wananchi wa Mbeya tumekuwa tukisubiri bila kiu hiyo kusuuzwa kwa muda mrefu sana. Kwa ziara za kamusudi kukagua maendeleo na kuhamasisha wananchi, Mkapa hakuwahi...
  12. JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Corona: Rais Magufuli anaanza Marais wengine wanafuata

    Sifa ya kiongozi ni kuweza kufikiri nje ya boxi, kwa maana ya kuwa na IQ kubwa katika kutatua changamoto za kila siku za wale unaowaongoza. Rais wa Tanzania amekua akilionesha hili wazi kupitia mapambano yake na rushwa, wafanyakazi hewa, matumizi mazuri ya pesa za umma, usimamizi mzuri wa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wanaoikosoa serikali kwa staha hatuwachukii

    Rais wa JMT ameyasema hayo wakati akizungumza na watanzania kupitia hadhara iliyokusanyika jana viwanja vya mnazimmoja. Rais Magufuli amesisitiza kuwa kwa sasa hapa Tanzania kuna vyombo vingi vya habari ambavyo vimepewa leseni za kufanyia kazi na hii ni ishara kuwa kuna uhuru mkubwa wa habari...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hii stendi mpya ya mabasi ya mikoani (Stendi ya Magufuli) hayakuwa ni maono ya CHADEMA kweli?

    Najiuliza tu kwa sababu mambo yote yahusuyo stendi hiyo yaliratibiwa wakati Jiji la Dar es salaam likiwa chini ya Chadema na Lord Mayor Dsm akiwa mh Isaya Mwita. Naomba kuelimishwa Maendeleo hayana vyama cc: Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Kila manispaa mkoani DSM itarithi mali za Jiji la Dar es Salaam lililovunjwa zilizo katika maeneo yao

    Waziri wa Tamisemi Mh. Jaffo amesema mgawanyo wa mali za lililokuwa jiji la Dar es salaam ambalo limevunjwa utakuwa kwamba kila manispaa itarithi mali zilizo katika maeneo yao ya kiutawala. Kwa mfano stendi ya mabasi ya mkoani yaani Stendi ya Magufuli itarithiwa na manispaa ya Ubungo nk nk...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awataka TRA kuacha kubambikia wafanyabiashara kodi, asema wanakadiria kodi kubwa ili wapewe rushwa!

    Rais Magufuli ameitaka TRA kuacha kuwabambikia kodi wafanyabiashara na badala yake watoe makadirio ya haki. Rais Magufuli amesema tabia ya kubambika kodi inawafanya wafanyabiashara washindwe kulipa na kutafuta njia za kukwepa kabisa kulipa. Rais Magufuli amesema baadhi ya watumishi wa TRA...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azitaka Wizara kutominya taarifa na zikubali kukosolewa, aagiza Wizara ya Habari kufuatilia

    Akiendelea na ziara yake ya siku tatu mkoa wa Dar es Salaam, ambapo leo Februari 25, 2021 ameweka jiwe la msingi katika soko la Kisutu na kuzindua jengo la Jitegemee, Rais Magufuli ametoa wito kwa wizara zote nchini kuwa wepesi kutoa ushirikiano kwa wanahabari ili kufikisa taarifa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Namshukuru ndugu Bashiru, Channel 10 tulinyang'anywa na kudhulumiwa

    Leo Rais Magufuli amezindua jengo la Jitegemee linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi lililokarabatiwa, miongoni mwa taasisi zilizopo ndani ya ni studio mpya za AMGL zinazoendesha vituo vya Channel 10, Plus na Magic FM. Baada ya uzinduzi huo, Rais Magufuli aliomba kuchagua mziki wake na kuchagua...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumza na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam

    Rais Magufuli anazungumza na watanzania kupitia mkutano wake na wananchi wa Dar es salaam. Tukio liko mubashara katika runinga zote Updates; Waziri Bashungwa: Nimesimama hapa mheshimiwa Rais kukushukuru sana kabla ya mkutano huu wa hadhara umetupa heshima ya kuzindua Magic FM Radio pamoja na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Rais Magufuli, naomba muulizeni swali hili na awape majibu

    Wadau amani kwenu... Kuna jambo linanitatiza na kunisumbua sana kichwa. Nimedokezwa humu JF kuna watu al-maarufu kama "vipenyo" yaani watu kutoka Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ambao wana access ya kumfikia mzee baba. Ninaomba wanisaidie kumuuliza nini faida na manufaa yaliyopatikana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…