Let us appreciate Magufuli

The Man is doing a great job with high performance

Now we can see how the world try to follow up with strategies he use to combat Corona Virus,

Nathan jr

Nyie mabeberu watalii mnakuja kutalii mkinywa bia ya Kick mnaanza kuropoka hovyo TANZANIA IS GREAT, kesho mnaondoka.
 
The Man is doing a great job with high performance

Now we can see how the world try to follow up with strategies he use to combat Corona Virus,

Nathan jr

Bado narudia. Elimu yetu ni majanga. Ni majanga kwa sababu vijana wanamaliza wakiwa na uwezo mkubwa wa kukariri na siyo kutafakari.
1. Bidhaa fake ziko kila nchi na ni tatizo la siku nyingi.
2. Barakoa fake ziko kila nchi ni tatizo la tangu covid-19 iongeze matumizi ya barakoa.
3. Kusema kuwa kuna barakoa fake siyo kuwa na akili ya ziada bali ni kama kusema siku ina masaa 24
4. Magufuli hakusema kuna barakoa fake bali alisema kuna barakoa zilizohujumiwa kwa sababu ya vita vya kiuchumi.
5. Unaweza kutengeneza barakoa yako mwenyewe kama alivyosema Magufuli lakini ikawa fake na isikusaidie chochote kama hutazingatia masharti.
6. Kuna barakoa nyingi tu zinatengezwa Tanzania lakini ni fake
7. Kuna barakoa nyingi tu zinatoka nje lakini siyo fake
8. Kwani kazi ya TBS na taasisi nyingine za ubora ni nini kama siyo kuhakiki vitu kama hivi?
9. Pengine ungetumia kiswahili kwenye post yako kuliko kuandika kiingereza fake huku unaowaandikia wanatumia kiswahili.
 
Aah, usimwambie hivyo msomi wa CCM, kumbuka na zingatia kuwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe, amerudi tena bungeni! Na aliwahi kuwa mkuu wa shule huko Mbeya!
 
Bado narudia. Elimu yetu ni majanga. Ni majanga kwa sababu vijana wanamaliza wakiwa na uwezo mkubwa wa kukariri na siyo kutafakari.
1. Bidhaa fake ziko kila nchi na ni tatizo la siku nyingi.
2. Barakoa fake ziko kila nchi ni tatizo la tangu covid-19 iongeze matumizi ya barakoa.
3. Kusema kuwa kuna barakoa fake siyo kuwa na akili ya ziada bali ni kama kusema siku ina masaa 24
4. Magufuli hakusema kuna barakoa fake bali alisema kuna barakoa zilizohujumiwa kwa sababu ya vita vya kiuchumi.
5. Unaweza kutengeneza barakoa yako mwenyewe kama alivyosema Magufuli lakini ikawa fake na isikusaidie chochote kama hutazingatia masharti.
6. Kuna barakoa nyingi tu zinatengezwa Tanzania lakini ni fake
7. Kuna barakoa nyingi tu zinatoka nje lakini siyo fake
8. Kwani kazi ya TBS na taasisi nyingine za ubora ni nini kama siyo kuhakiki vitu kama hivi?
9. Pengine ungetumia kiswahili kwenye post yako kuliko kuandika kiingereza fake huku unaowaandikia wanatumia kiswahili.
Akikujibu ni-tag.
 
His Excellence is an angel sent from heaven to save african countries from colonisation, lets appreciate this Man effort even once
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom