TUJIKUMBUSHE: JK Amsambaratisha Magufuli

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,730
21,129
IMG_20210226_151129.jpg


Unganisha na hii hapa chini.

 
Wacha wasomeshwe tu namba. Si waliamini alipojisifia eti ni Rais wa wanyonge!
 
Wapinzani bana,,!!,si mvumilie tu jamaa,amalize mda wake?,
Vijembe wala hata havisaidii,na mkituudhi,tunamuongezea miaka 30 mbele,,😁😁,au mnabisha..?
 
Ndio hapo utajua Siasa ni Sarakasi tu....

Au wale wanyonge anaowatetea sasa kipindi kile hawakuwa wanyonge...
Mfumo wa wale ili uwatawale unatumika sana kwa baadhi ya nchi za kiafrika
 
JK kilichomponza ni kuwa na ubinadamu mwingi matokeo yake akaonekana kama mtu wa kuchekacheka.
 
Back
Top Bottom