magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Salamu za rambirambi kutoka kwa viongozi, ofisi na watu mashuhuri Kufuatia kifo cha Rais Magufuli

    WAZIRI MKUU WA UINGEREZA Boris Johnson ameandika kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter kusikitishwa na taarifa za kifo cha Dkt. John Magufuli RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA Dkt. Akinwumi "Akin" Adesina ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais Magufuli kupitia ukurasa...
  2. JamiiForums Tanzania Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, CHADEMA yaahirisha Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliopangwa kufanyika Makao Makuu ya chama

    Ndugu Mwandishi wa Habari tafadhali zingatia tangazo hili kutoka CHADEMA . CHADEMA
  3. JamiiForums Tanzania Shairi: Tanzania takumbuka, lala pema Magufuli

    MAGUFULI, DAIMA TUTAKUKUMBUKA Kifo hakina rufani, pia hakina huruma, Kimempoka kundini, Rais mwenye heshima, bado ali ujanani, mudawe umesimama, Daima tutakuenzi, Tangulia Magufuli Kifo hakina rufani, kwa kila mja lazima, Kwa uchungu na huzuni, natakabari Karima, Mjao yu mikononi, Dunia...
  4. JamiiForums Tanzania Makonda na Musiba, Magufuli hayupo. Je, mmejiandaa kisaikolojia?

    Kifo cha rais John Pombe Maguli ni pigo kubwa kwa taifa na Afrika kwa ujumla. Ni rais ambaye amejijengea sifa, maadui hata marafiki. Tanzania, bila unafiki wala kificho itamkumbuka baada ya mwanzilishi wake Mwl Julius Nyerere. Alikuwa mkweli na muwazi ingawa maradhi yake yalizungukwa na kificho...
  5. JamiiForums Tanzania Hoja dhidi ya Hoja: Maswali Sahihi Huleta Majibu Sahihi: Tatizo la Kudhania Kutoonekana kwa Magufuli

    MASWALI YASIYO SAHIHI HULETA MAJIBU YASIYOSAHIHI: TATIZO LA KUDHANIA Na. M. M. Mwanakijiji Katika hoja yangu ya wiki iliyopita nilijikuta nami nimechokosa udhanifu (assumptions) katika kujenga hoja hiyo na hivyo kuingia kwenye mtego wa maswali yasiyo sahihi. Mtu anapouliza kitu anafanya hivyo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania KASHFA: Polisi wa Buguruni Dar, wadaiwa kudhulumu kilo 800 za nyama na kugawana

    Wafanyabiashara wa nyama za mafungu huko Vingunguti wamelalamikia kitendo cha Bodi ya nyama kukamata nyama zao na kuzipeleka kituo cha polisi Buguruni ambako badala ya kuiteketeza waligawana na kubakiza makongoro. Akiongea katika eneo la tukio Meya wa Jiji la Dar es Salaam mh. Kumbilamoto...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ulaya yazuia matumizi ya chanjo ya Astra Zeneca, Rais Magufuli alikuwa sahihi kutokimbilia chanjo

    BBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu. Nchi hizo zimesema inabidi zifanye uchunguzi na utafiti wa kutosha kuhusu usalama wa chanjo hiyo kabla hazijaruhusu tena. Rais Magufuli...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, vunja vunja Wizara hii katika uchapakazi wako Ikulu

    Baada ya ukimya na kutoonekana kwa JPM kama ilivyo kawaida yake, Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania, "Rais ni mzima bukheri wa afya na anachapa kazi Ikulu". Naye Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akasema, "nchi iko salama, tushikamane kuliko wakati wowote." Kwa kauli hizi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanyonge wa Chasimba Wazo wampinga Waziri Lukuvi wamwomba Rais Magufuli aingilie kati na kuwasaidia

    Wananchi wanaoishi mtaa wa Chasimba na Chatembo eneo la Wazo Tegeta wamemwomba Rais Magufuli aingilie kati mgogoro wao na kiwanda cha Cement na kuwasaidia. Wananchi hao wamesema uamuzi wa waziri wa ardhi wa kuwataka kumlipa mzungu tsh 6400 kwa kila mita moja ya mraba kufidia maeneo yao ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, let People know the truth

    The President doesn't belong to CCM PARTY, he was chosen to be the leader of the nation for the people of all walks of life in the country. So, it's their role to know his whereabouts no matter what! The President has not been seen in Public approximately three weeks now, and you're...
  11. JamiiForums Tanzania 'Tusivifokee' vyombo vya habari vya nje kuripoti taarifa kuhusu hali ya Rais Magufuli!

    Usiku huu, Aloyce Nyanda (Mtozi) amekuwa na kipindi muhimu katika Star TV usiku huu. Agenda Kuu ilikuwa ni Maadili ya Uandishi wa Habari kufuatia Vyombo vya Habari vya mataifa mengine kuripoti taarifa kuhusu Rais Magufuli pasipo kupata uthibitisho kutoka kwa wahusika yaani Serikali ya Tanzania...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za upendeleo: Rais Magufuli tunakuomba ulitatue na hili

    Hivi siku hizi ajira za walimu ni za upendeleo? Zile ajira 5000 za walimu mheshimiwa Kassim Majaliwa (hata wewe pia) mlisema walimu 5000 tayari wameshasambazwa vituoni lakini hakuna sehemu yoyote majina haya yamewekwa hadharani na hata waziri wa TAMISEMI hajayatangaza. Basi ukipata nafasi...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna muda kiongozi unahitaji ukichaa kufanya mabadiliko yenye tija

    Wakati wana wa Israel wanaelekea kanaani kuna Muisrael alietwa Kora yeye kazi yake kubwa ilikua kupinga safari ya Musa na wana wa Israeli. Bila Mungu kuingilia kati kumuangamiza Kora huenda mpk leo wana wa Israeli wasingefika kanani. Pia inanikumbusha hadithi ya Gadaffi na wa Libya...
  14. T

    JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi: Wananchi wanataka kujua mahali aliko Rais wao kipenzi

    CHAMA cha upinzani nchini Tanzania – NCCR-Mageuzi – kimekoleza moto katika mjadala unaohusu mahali alipo Rais John Pombe Magufuli. Anaripoti Matrida Peter Dar es Salaam … (endelea). Martha Chiomba, katibu mkuu wa chama hicho, amewaambia waandishi wa habari, leo Jumapili, tarehe 14 Machi 2021...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Maendeleo ya taifa letu yameletwa na Dkt. Magufuli kama " individual" siyo chama, CCM ilikuwepo miaka yote!

    Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewakemea wote wenye nia ovu dhidi ya Rais Magufuli na amesema Rais hatapatwa na baya lolote na wale waovu wote watasubiri sana. Mchungaji Matsai amesema vyombo vya habari vya Kenya vimekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa potofu wakiwatumia vibaraka wao...
  16. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Waziri Mkuu, Majaliwa kuanza ziara ya siku mbili Mkoani Mbeya, namshukuru Rais Magufuli kwa ujenzi wa Hospitali ya Rungwe

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema Waziri Mkuu, Majaliwa anaanza ziara ya siku mbili mkoani Mbeya. Akiwa mkoani Mbeya Mhe. Majaliwa atafungua Jengo la Mama na Mtoto jijini Mbeya, atafungua hospitali iliyoahidiwa na Rais Magufuli wakati wa kampeni wilayani Rungwe na atafungua kituo...
  17. JamiiForums Tanzania Vipaumbele vya Serikali ya Rais Magufuli havitoshi kutokomeza matatizo tuliyonayo

    Wana bodi, Nina mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunipa nafasi ku wasiliana na wote tena siku ya leo. Katika kipindi hiki ni vyema kwa wote kufahamu kwamba Rais Magufuli ku wasiliana na wananchi kupitia vyombo vya habari ni kitu ambacho hakipo ndani ya uwezo wetu. Ratiba ya Rais, kwasababu...
  18. JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere: Unaweza kumtingisha Waziri Mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais

    Mwl. Nyerere alikuwa na busara sana kulipotokea hamkani ya Malechela kutomshauri vema Rais Mwinyi, Nyerere alionya akasema unaweza kumtingisha Waziri mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais nchi ikaacha kutikisika. Maana yake ni nini? Mwl. alitambua nguvu ya Rais na mamlaka yake...
  19. JamiiForums Tanzania Hongera TRA, hongera Rais Magufuli

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Naipongeza mamlaka ya mapato Tanzania(TRA) kwa mabadiliko makubwa mliyofanya kiasi cha kuifanya mamlaka kuwa rafiki badala ya kuwa adui kwa walipa kodi. Binafsi nimeona mabadiliko haya chanya kuanzia January 2021. Wafanyakazi wa Mamlaka hii wamekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Magufuli amefariki dunia

    Habari zilizo tufikia punde ni kuwa mhe Magufuli hatunae Tena duniani... Ulazwe unapo stahili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…