magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sawa kwenye suala la covid19. Makampuni yaliyotengeneza vipimo vya covid19 yashitakiwa kwa kuwa vipimo vina kasoro

    https://www.newsafrica.net/sections/international/was-tanzania-vindicated-over-covid-testing-claims HAYATI JPM ALIKUWA SAWA KWENYE SUALA LA COVID19: MABEBERU YAMEKUBALI Christian Drosten na watengenezaji wenzie wa vipimo vya Corona maarufu kama " PCR Test" wamefunguliwa mashtaka katika...
  2. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

    Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Kitendo cha kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa yake pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe, familia yake pamoja na taifa kubwa la Tanzania. Hii ni nini kama sio "Cyberbullying"? Nimesikitishwa...
  3. JamiiForums Tanzania Magufuli Vindicated on Covid-19 Testing

    Full article here Was Tanzania vindicated on Covid testing claims? Was Tanzania vindicated on Covid testing claims? Tuesday, 20 April 2021 11:24 Written by Sonia Elijah...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini sitamsamehe Hayati Magufuli

    Magufuli Rais mstaafu kafanya mengi mazuri kwa kipindi chake. Lakini ikumbukwe kosa halifutwi kwa kutenda wema bali kwa kulirudia na kutubu au kulifuta. Kwa upande wangu mambo haya machache ninayaita makosa ya Magufuli ambaye hapaswi kusamehewa; 1. Kuondoa fao la kujitoa kwa watumishi wa umma...
  5. JamiiForums Tanzania Edward Lowassa na Mkewe wafika kuhani Msiba wa Dkt. Magufuli

    Hivi ndivyo ilivyokuwa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Dkt. Magufuli mwenye Mtazamo tofauti na Hayati Magufuli

    Mara kadhaa, mama Samia anasema yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Huenda ni watu aina moja kwa sababu wametokana na uchaguzi mmoja. Ukifuatilia kauli zake hasa katika hotuba ya leo, dira ya Taifa katika kutekeleza Mpango wa Maendeleo na Ilani ya CCM vinaonyesha tofauti kubwa katika utekelezaji...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Kila nikitazama mijadala kwenye mitandao ni kama wapinzani bado wapo kwenye mapambano na hayati Magufuli. Rais na mwenyekiti wa sasa wa CCM mama Samia ni kama hawana tatizo naye, anawakosha sana na wanamtumia kuwaumiza wafuasi wa Magufuli. Kwa wataalam wa siasa hii ina maana gani kwa siasa za...
  8. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  9. JamiiForums Tanzania Watu wa Mitandaoni walioambiwa wajitokeze kutoa taarifa za kuisaidia Serikali, wakishajitokeza waripoti kwa nani?

    Katika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote wanaotokea Mitandaoni kama wanao ushahidi wa taarifa zao hizo ili waisaidie serikali. Hili kwangu...
  10. JamiiForums Tanzania Dunia yashtuka msimamo wa Hayati Magufuli kuhusu COVID-19

    Dunia kwa sasa imeanza kuukubali msimamo wa aliekua Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli kuhusu ugonjwa wa corona na test kits zake. Wazungu na utaalamu wao wote wanaanza kuukubali msimamo wa Aliekuwa kiongozi mmoja mweusi kutoka nchi ya Tanzania dhidi ya propaganda zilizo nyuma ya ugonjwa wa...
  11. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli anao wengi wa kumtetea, legacy na Watanzania

    Salamuni wanangu janvini. Japo Hayati John Pombe Magufuli hatarudi kujitetea tokana na madongo anayorushiwa na wasahaulifu wa nchi yetu, anao watetezi yaani legacy yake na Watanzania wenye mapenzi mema na taifa lao. Hivyo, hata kama hawezi kujitetea, wapo watakaomtetea hadi kieleweke. Naleta...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya Marekani kujisogeza kwetu baada ya kifo cha Rais Magufuli inatia shaka

    Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli. Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Miradi mikubwa ya Hayati Magufuli ni majanga yajayo ya kiuchumi

    Ameandika hivyo kupitia twitter: Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Godwin Gunele: Rais ni taasisi hivyo Kikatiba inabadilika kila baada ya miaka 5, hivyo Rais Samia anatumikia kipindi cha Hayati Magufuli

    Mwanasheria nguli Dr Godwin Gunele amesema Rais siyo mtu bali ni taasisi ambayo kikatiba inakaa kwa miaka 5. Kwa maana hiyo awamu tuliyopo ni ya 5 siyo ya 6 kwa sababu Rais Samia siyo " President elect" bali ni makamu wa Rais aliyechukua nafasi ya Rais aliyefariki. Dr Godwin anasema hata...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri Bungeni kuna kundi la Rais Samia na kundi la Hayati Magufuli. Spika Ndugai awataka wabunge wa CCM kuitisha kikao cha usuluhishi

    Mbunge wa viti Maalum Lucy Mayenga amedai leo Bungeni kuwa kuna kundi la wabunge wengi ambao wanamepanga kuhujumu legacy ya Magufuli na kutaka kutenganisha Urais wa Samia na Urais wa Magufuli Amedai wabunge hao wanamsifia Samia Suluhu kwa lengo la kuonyesha kuwa Maguuli alikuwa akifanya vibaya...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia ‘Mimi na Magufuli ni kitu kimoja’ ni ya Kisiasa zaidi matendo yao yanatofautiana

    Kisiasa Rais Samia Suluhu asingeweza kusema yupo kinyume na mtangulizi wake Magufuli, na hatutegemei aseme hivyo hadharani lkn inawezekana moyoni anawaza tofauti kabisa. Binafsi kinacho matter zaidi ni vitendo. Hivi ni baadhi ya viashiria vya tofauti zao kiutendaji. ———————— Magufuli: Tanzania...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada ya kutokea mgogoro kati ya supplier na alieununua. Meneja huyo amesema mfumo mpya unajengwa na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Mabasi Magufuli bei ya pango hadi Tsh. 1,200,000/= kwa siku

    Sasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga wanauza maji na soda hizo hizo ndani na nje ya kituo hicho hicho kwa rent ya kitambulisho chake cha...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Dkt. Magufuli kuondoka, je Benki zitapandisha riba za mikopo?

    Watumishi wa umma watamkumbuka sana Magufuli kwenye mikopo. Kabla Magufuli hajachukua nchi mwaka 2015 riba za mikopo ya kawaida ya watumishi ilikua ni kuanzia 20% hadi 25% kwenye mabenk yetu. Ilikua ukokopa milioni 10 kwa miaka 5 utalipa milioni 20. Baada ya Magufuli kuingia alizishawishi bank...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Magufuli alikuwa na Nia yake, Wewe (Samia) Wasikufitinishe

    Azim Dewji amemwambia Rais Samia: Rais Wetu Aliyepita(John Magufuli) Alikuwa na Nia Yake na Wewe (Samia Suluhu) Una Yako, Wasikufitinishe Source : JamiiForums ======== Azim Dewji: Mama kila kitu inategemea kwenye nia, Rais wetu mpendwa aliepita alikuwa na nia yake na wewe sasa hivi una nia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…