magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Magufuli aliwakumbatia Machinga?

    Wanabodi, Hebu tujuzane hapa sababu zilizopelekea Rais wa awamu ya 5 hayati Magufuli kuwalinda Wamachinga hata kwa kutengua teuzi zake mbalimbali. Je, sababu hizo zina msingi wowote au ni huruma zake tu? Naomba tuelimishane hapa pls
  2. JamiiForums Tanzania Kwenye utabiri wa Lema bado Spika Ndugai tu

    Wanabodi I declare my option sishangilii matokeo ya matukio yaliyotokea kwenye utabiri wa God bless Lema. Lema aliota ndoto nayo kweli ikaja kutokea JPM akafariki kweli. Mwaka haujaisha alimpigia Sabaya simu akamuonya aache ubabe.....Sabaya akaendeleza leo hii amebakiza miaka 29 na siku 263...
  3. JamiiForums Tanzania Ole Sabaya: Doa jeusi kwa utawala wa Hayati Magufuli

    Hukumu iliyotolewa jana kwa Ole Sabaya, kuwa alikuwa jambazi la kutumia silaha kupora mali za wananchi, vile vile limeupaka matope utawala wa Magufuli. Kwamba mteule wa Rais, akafanya mambo kinyume na utawala wa sheria na mbaya zaidi ujambazi, ni vigumu kueleweka kirahisi kwa nini haya...
  4. JamiiForums Tanzania Kisaikolojia Magufuli hakuwa sawa.

    Tukijaribu kukumbuka jinsi alivypendwa kuabudiwa, kutisha watu, kuzusha uongo mfano mabeberu sio watu wazuri kumbe wamemfungia betri ili aweze kuishi, uongo kuponda serikali zilizopita wakati hata yeye alikuwa sehemu ya serikali tangu 1995. Uongo kuwa alilishwa sumu akiwa waziri wakati yeye...
  5. JamiiForums Tanzania Namongeza Rais Samia kwa kuomboleza kifo cha Mwalimu kupitia Magufuli

    Hakika nimepata faraja sana kwa Mh Rais Samia kwa kuweka taji la heshima katika kaburi la Hayati Dr John Pombe Magufuli katika siku hii muhimu ya kitaifa ambayo inamkumbuka muasisi wa Taifa. Rais Magufuli alifuasa vyema sera za Nyerere(RiP) ambazo ni kama rejea na kipimo cha marais wote...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na sababu yeyote leo kuweka Mashada kwenye kaburi la Magufuli?

    Ni takribani miezi 6 tu imepita viongozi walikuwa Chato kuweka mashada kwenye kaburi la Magufuli mashada mengine yangalipo na hayajakauka, ni sababu zipi zimefanya tena leo kuweka mashada kwenye kaburi lile lile, kama lengo lilikuwa kuzima mwenge kwa nini wasingeitumia siku ya leo kwa shughuli...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli anaenziwa ama ni mbinu ya kuwarubuni watu kanda ya ziwa?

    Tumeambiwa Chato itatangazwa kuwa mkoa ili kumuenzi Magufuli Mara tu vigezo vitakapokamilika. Lkn hebu tujiulize , rais Magufuli anaenziwa kwa maana halisi ya kuenziwa? 1. Banda la kaburi lake limerekebishwa na kujengwa vizuri baada ya watu kupiga kelele ktk mitandao. Huku ndiyo kumuenzi? 2...
  8. JamiiForums Tanzania Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Nyerere au Magufuli?

    Wanasema leo ni kumbukumbu ya Kifo cha Nyerere lakini viongozi wote wakubwa wameenda kutembelea na kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la Magufuli. Kwahiyo siku ya kumbulumbu ya kifo cha Magufuli watakwenda Butiama kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la Nyerere? Au walitaka kutuonesha kuwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

    Leo hapa jijini kunafanyika kongamano la miaka 100 tangia kuzaliwa kwa Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere, 1922 huko Butiama mkoani Mara Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu. Mfano: 1. Kwamba Mwl...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Je, hii ndoto/maono juu ya hayati Magufuli inatuhitaji tumfanyie maombi ya msamaha na je, inapeleka ujumbe kwa watawala?

    Habari zenu ndugu wana JF, leo usiku niliona maono au niliota ndoto mtu mwenye silaha ya kivita (SMG, AK47) akimnyooshea hayati Magufuli kana kwamba anataka kulipa kisasi na watu wanaoshuhudia wakiwa hawana la kufanya. Baadaye ilionekana kama hayati alifanikiwa kukimbia na yule mtu kumkimbiza...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo

    Maajabu ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Tanzania imeagiza Jumla ya ambulance mpya 395 na magari mapya 214 kwa ajili ya chanjo kwa mpigo kitu ambacho hakijawahi kufanyika tangu tuwe huru kama Taifa, === Mtakumbuka awamu ya tano kwa miaka yote mitano tulifanikiwa kununua jumla ya...
  12. JamiiForums Tanzania LATRA hata hili na nyie ni mpaka Hayati Magufuli angekuepo??

  13. JamiiForums Tanzania Japo wewe si John Pombe Magufuli, ungekuwa yeye na ukafufuka ungefanya nini?

    Nawasalimu wana jamvi kwa jina la Jamii Forums. Hayati JP Magufuli hatafufuka. Hypothetically, kama ingekuwa inawezekana kufufuka, na kama ungekuwa wewe ungefanya nini baada ya kufufuka. Je ungemuita Harbinder Setih Singh na James Rugemalira Ikulu na kuwapa nishani au kuwazaba makofi na...
  14. JamiiForums Tanzania Picha fikirishi ya Magufuli

    Picha hii ilipigwa na mpiga picha wa ikulu 19 February 2021 wakati wa kuaga mwili wa Dkt kijazi Ni picha isiyo na nuru kabisa;ni picha yenye simanzi,majuto na ilikua ni kama mtu asiye na matumaini kbs. R I P. Ujanja ni kuchanja
  15. JamiiForums Tanzania CCM msituletee tena Rais kama Hayati Magufuli

    CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele. Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli. Hafai. Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza...
  16. JamiiForums Tanzania Kama kweli Magufuli aliletwa na Mungu basi uchaguzi wa 2025 utakua ni patashika nguo kuchanika

    Hicho ndicho kilichonijia kichwani leo nikiwa natafakari mwenendo wa siasa za Tanzania kwa sasa. Maswali ni je nani atakubali kusimama na ni nani atakubali mwenzake kusimama. Itakua nipatashika nguo kuchanika ndani ya vyama na nje ya vyama.
  17. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na mzigo wako unapofika Stendi ya Magufuli, unaweza kujikuta unaozea Segerea

    Habari wadau..! Hii imewakuta watu ninao wafahamu. Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpaka polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga, Keko au Segerea sijajua sasa kama ni...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya miaka hamsini, tutampata tena Mwalimu Julius Nyerere, Edward Moringe Sokoine na Daktari John Pombe Magufuli

    BAADA YA MIAKA HAMSINI;TUTAMPATA TENA MWALIMU JULIUS NYERERE,EDWARD MORINGE SOKOINE NA DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI. Leo 18:00hrs 03/10/2021 Ni nadra sana kupata viongozi wanaoibadili dunia kutokana na falsafa zao na misimamo yao,katika kada mbalimbali ikiwemo siasa, biashara,taaluma,dini na...
  19. JamiiForums Tanzania Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kikubwa, nitasema kuwa Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania

    Habari! Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa. Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu kuwa "Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania, itachukua miaka mingi sana kuipndoa". Watanzania katika...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa nini wakati wa Utawala wa Magufuli umeme haukuwa wa tabu kama awamu ya Samia?!

    Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM. Sielewi tatizo ni nini!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…