magufuli

  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka hamsini, tutampata tena Mwalimu Julius Nyerere, Edward Moringe Sokoine na Daktari John Pombe Magufuli

    BAADA YA MIAKA HAMSINI;TUTAMPATA TENA MWALIMU JULIUS NYERERE,EDWARD MORINGE SOKOINE NA DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI. Leo 18:00hrs 03/10/2021 Ni nadra sana kupata viongozi wanaoibadili dunia kutokana na falsafa zao na misimamo yao,katika kada mbalimbali ikiwemo siasa, biashara,taaluma,dini na...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kikubwa, nitasema kuwa Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania

    Habari! Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa. Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu kuwa "Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania, itachukua miaka mingi sana kuipndoa". Watanzania katika...
  3. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wakati wa Utawala wa Magufuli umeme haukuwa wa tabu kama awamu ya Samia?!

    Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM. Sielewi tatizo ni nini!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Siku hayati Magufuli aliposimama imara kutetea wamachinga, mbele ya Samia

    Siweki neno: Lakini ukitaka kujua kwa nini wamachinga walimlilia sana, kujitokeza kwa wingi njiani kumzika ni hii hapo juu Hata Rais wa awanu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi wakati akisoma Tanzia yake huko Chato, alimsifu Hayati kwa kutowasumbua wamachinga kwenye utawala wake! Wamachinga...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana

    Habari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA. Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu. Ni hivi, "CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana". Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini...
  6. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Moja ya jambo bora kufanywa na Magufuli ni kuanzisha kiwanda cha sukari Bagamoyo

    Magufuli alimpatia mzee Bakhresa ekari karibia Elfu ishirini huko Bagamoyo ili alime miwa na kuzalisha sukari. Jamaa kafanya kweli. Inakadiriwa kuwa nchi yetu mahitaji ya sukari kwa mwaka ni tani 700,000 lakini uzalishaji ni kama tani 400,000. kiwanda cha Bakhresa kinategemewa kuzalisha tani...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya hayati Magufuli ya Julai 17, 2018, kwa vyama vya siasa vya nchi mbalimbali za Afrika

    HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA MAJADILIANO KATI YA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA NA VYAMA VYA SIASA VYA NCHI MBALIMBALI ZA AFRIKA HOTELI YA SERENA, DAR...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Account ya Twitter ya hayati Magufuli yaondelewa "blue tick!"

    Habari wana jukwaa. Leo nikiwa katika harakati za kutafuta, kuchakata na kusambaza habari kwenye mtando wa kihanaharakati wa Twitter nilitembelea katika ukurasa wa hayati Magufuli ila nilisitaha ajabu kutokukuta kwa tiki ya blue ambayo inaonesha uthibitisho wa ukurasa husika kuwa ni sahihi...
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magufuli ni Utitiri uliombeba Tembo kwa kasi ya Duma

    Mke wangu aniamsha, usiku saa sita, Machozi aomboleza, simu anonyesha, Habari mbaya napata, usingizi unakata, Akili yangu kataa, Magufuli amekufa. Tarehe kumi na tano, ndoto ninaota, Aniijia Raila Amolo, machozi analia, Dola toa tangazo, tarehe kumi na saba, Akili yangu kataa, Magufuli amekufa...
  10. MWAG

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa Hayati Magufuli na Rais Samia

    Leo ni nimewaza sana nikagundua mambo mawili kwanza people we differ kama alivyosema msomi wa kitambo hicho hayati TUTEMEKE SANGA(MAKETE) Lakini pia nikakumbuka ule mstari wa biblia unao sema kuna matoashi wa kuzaliwa na kuna matowashi wa kutengenezaa lakini hayo yote yalianzia mbalibasi...
  11. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa raia wa nchi za Afrika wanaoishi Ulaya na Marekani juu ya Hayati Rais Magufuli

    Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM. Kuna rafiki yangu raia wa Kameruni ila kwa sasa anaishi Marekani. Jamaa ni PhD wa uchumi na amefundisha...
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Miezi sita bila Dkt Magufuli: Watanzania waliisoma na kuielewa dhamira ya Rais Magufuli iliyotiririka kama maji

    MIEZI SITA BILA JPM: WATANZANIA WALIISOMA NA KUIELEWA DHAMIRA YA RAIS MAGUFULI ILIYOTIRIRIKA KAMA MAJI. Leo 10:15hrs 19/09/2021 Rais John Magufuli, alikuwa Mzalendo mwenye mapenzi ya kweli kwa Nchi yake,hakuijua China,Marekani wala Ulaya toka achaguliwe, yeye ni Morogoro, Arusha, Iringa...
  13. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kiongozi asipendelee kwao kama Hayati Dkt. Magufuli alivyoipendelea Chato?

    Ni wazi kuwa rais Magufuli aliipendelea sana wilaya ya Chato katika kupeleka maendeleo. Alijenga uwanja wa ndege wa kimataifa, alijenga hospitali kubwa ya rufaa ya kanda, alijenga chuo cha Veta, alianza kujenga hoteli ya nyota tatu, mipango ya kujenga uwanja wa mpira. Na mambo mengine mengi...
  14. zimmerman

    JamiiForums Tanzania Daraja la Busisi-Kigongo; Hongera sana Rais Samia, hongera Hayati Magufuli huko uliko

    Tuzidi kumuunga mkono Mama Samia anazidi kuchapa kazi kimya kimya. #mimi na magufuli ni kitu kimoja#
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli aliletwa duniani mahsusi na Mungu ili kuleta masomo fulani tujifunze

    Mungu Kuna watu anawatumia hapaduniani Kama shule kwa umma wake ili uongoke au ujifunze Jambo fulani magufuli ni mmoja wao. Somo la kwanza Ndugu pataneni mnapogombana maana mkishindwa mnampa nafasi adui kuneemeka na ugomvi wenu.Mtifuano wa kina lowasa ndani ya ccm ndio uliompa JPM kula kwamba...
  16. zimmerman

    JamiiForums Tanzania Tanzania leader reinstates minister sacked by predecessor

    Hii ndio habari ya kuvutia kwa vyombo vya habari vya Magharibi kuhusu cabinet reshuffle? ----- Tanzania leader reinstates minister sacked by predecessor Mon, September 13, 2021, 4:06 PM Hassan put Makamba in charge of the strategically important ministry of energy (AFP/-) Tanzania's...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli aliwatumia wamachinga ili kujizolea umaarufu wa kisiasa, hakuwa na huruma na wamachinga

    Tuliyasema haya wakati akiwa hai na tutayasema wakati huu ambao hatunaye. Kwanza Wamachinga hawakuzi uchumi wa nchi hii kwa kiwango kikubwa bali wanaukuza uchumi wa China, India na Thailand maana huko ndiko zitokazo bidhaa wanazouza. Serikali ya Magufuli iliwatumia wanyonge kama mtaji wake...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Siwaoni wana CCM kindakindaki wakimtetea Rais Samia kama walivyofanya kwa Hayati Magufuli

    MATAGA waliojulikana kama ‘Praise Team’ enzi hizo walikuwa mstari wa mbele kusifia chochote alichofanya Magufuli hata kama kilikuwa kibovu. Leo mama Samia kaachwa peke yake akijitetea mwenyewe, hata viongozi kina Shaka hatuwaoni wakimtetea kama tulivyokuwa tunashuhudia wakijitoa ufahamu kwa...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

    Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!! 1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion...
  20. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 John Pombe Magufuli, Rais aliyeacha alama kwenye mioyo ya wanyonge na kuacha kovu kwenye kidonda cha Katiba

    Na Elivius Athanas. Ni takribani miezi mitano na siku ishirini na nne (24) sasa, tangu hotuba ya dharura ya Rais Samia Suluhu Hassan itutoe machozi Watanzania, alipokuwa akitangaza kifo cha Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli aliyefariki Jumatano jioni tarehe 17.03.2021 kwa tatizo la...
Back
Top Bottom