LATRA hata hili na nyie ni mpaka Hayati Magufuli angekuepo??

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,338
3CDFD65C-B1C8-4985-A7DE-948E083BAB1E.jpeg
E4A90F9E-4989-41C5-8FA9-5C5AD7379EB8.jpeg
 
mama anasema yeye ukali sio hulka yake

tunasubiri action lakini humo ndani tunaona drama tu
 
Nilikuwa na uhakika wa kusafiri na kufika salama, lakini siku hizi ni hofu tu.
 
Katika pita pita zangu nimekutana na hii taarifa ya uhakika kuwa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) mwaka 2019, walifungua kesi No.87 ya 2019.

Kesi hyo isiyo na kichwa wala miguu inalengo la kuzuia LATRA wasitoe adhabu kwa madereva wanaokiuka taratibu za king'amuzi. Zuio la Mahakama lilitolewa na hadi sasa kesihaijaisha.
 
Kwa hali hii Latra tunawaonea bure. Kuna baadhi ya madereva wa mabasi pia wanafanya michakato ya kugomea wasisajiliwe wala kuthibitishwa na latra, ili waendelee na uharamia wa kuhatarisha maisha ya watanzania bila kuadhibiwa.
 
Picha ni moja tu ya ajali ya mabasi, kifaa husika ajali ikitokea kinaonesha mahali na muda wa ajali, hibyo msaada wa haraka unapatikana.
Uko sahihi, kifaa kinauwezo wa kutoa taarifa za mambo mengi ikiwemo taarifa za gari kupinduka, kugongana au kwenda nje ya njia iliyoruhusiwa. Taarifa hiyo inamfikia mmiliki wa gari husika, LATRA na Polisi
 
Back
Top Bottom