magufuli

  1. J

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania wakati wa uongozi wa Hayati Magufuli

    Mimi ni mwanafunzi kutoka Ujerumani naandika tasnifu yangu kuu kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania nikizingatia sera ya vyombo vya habari wakati wa Rais Magufuli. Lengo langu ni kufahamu maoni na mjadala kuhusu mada hiyo kwenye JamiiForums. Umma wa kidijitali unafikiriaje kuhusu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Freedom of press and media policy during Magufuli's presidency

    I am a student from Germany writing my master thesis about freedom of press in Tanzania with a focus on the media policy during the time of president Magufuli. My aim is to grasp the opinions and the discourse about that topic in the JamiiForums. How does the digital public think about this...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

    Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika. Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi...
  4. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Wananchi kukabidhiwa maghorofa ya Magomeni kota, wamlilia Magufuli

    Katibu mkuu wa wizara ya ujenzi na uchukuzi ametembelea maghorofa ya Magomeni kota na kukuta ujenzi wake umekamilika kwa 100% na muda wowote kuanzia sasa wananchi watakabidhiwa makazi yao mapya bora kabisa. Ikumbukwe wakati hayati Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015 alikuta mgogoro mkubwa...
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wapinzani msipinge hii ni kweli, baada ya Rais Magufuli kufariki wamachinga wamekuwa vulnerable

    Hayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri. Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni watu wa kuumizwa tu. Kuhamishwa hovyo bila hata mikakati, masoko yao kuungua huku wengine wakila...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Leo Magufuli hayupo madarakani, Wapinzani hawapo bungeni, Job Ndugai sio Spika tena na Prof. Asaad sio CAG tena

    Nature imetenda haki. Hii ni hotuba ya Kambi ya Upinzani bungeni ambayo Job Ndugai na Magufuli hawakutaka kabisa isomwe ili wananchi wajue mauvundo, dhuluma na mauchafu wanayofanyiwa. HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA...
  7. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kwanini miradi aliyofanywa na Hayati Magufuli wanasema ni ya Awamu ya nne?

    Nimetembea Tanzania sehemu nyingi kabla ya Magu (RIP) kuwa Rais kulikuwa hakuna barabara za lami, leo hii kila mahali hadi Mitaani lami, lakini wanasema ni Awamu ya 4 ilijenga, kwa nini wanadanganya na kulazimisha uongo? I mean, kuna mambo mazuri tu yalifanywa na Awamu ya 4 kama UDOM au daraja...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magufuli alivyosababisha ndoa ya rafiki yangu kuyumba

    Huyu rafiki alioa mke wake toka kijijini. Mwanamke alikuwa anampenda Magufuli na sera zake balaa Ilivyotokea Magufuli anasema tuzae elimu ni bure,fyatueni tu watoto ,huyu shemeji yangu akamsikiliza Miaka nane ya ndoa wana watoto watano maisha magumu ,jamaa anataka kukimbia familia
  9. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

    Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham. Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
  10. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Furaha Dominic, afunguka mazito kuhusu uchaguzi wa 2020

    11 January 2022 EXCLUSIVE THE BIG AJENDA USIKU WA LEO NA ALIYEKUWA MGOMBEA WA JIMBO LA KAWE, FURAHA DOMINICK. Baada ya ukimya wa kipindi kirefu ajitokeza kwa mahojiano ya kina. Furaha Dominic, mkemia na mbobevu wa elimu ya mazingira kwa fani alizosomea azungumzia pande mbili za uncle...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Chini ya Hayati Magufuli, wengi waliufyata. Tusiwalaumu

    Hata wa upinzani nao walikuwa hali moja sawa na waliokuwa Serikalini, wengine walikimbia nchi. Ni lini CCM watakiri kuwa Marehemu Magufuli aligeuka na kuwa Dicteta kiasi ya wengine wakiwa nje ya nchi kumwita ni Dikteta uchwara? Kwa upande wangu nyakati za kabla yake wengi tuliomba tupate...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  13. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Samia kuwarejesha waliotenguliwa wa Hayati Magufuli tuzitafsiri vipi?

    Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme. Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa...
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli alikuwa anaipeleka nchi shimoni tujuzwe. Watendaji wengi aliowafurumusha wamerejeshwa huku wake wakifurumushwa

    Watendaji wengi ambao hayati Magufuli alikuwa akiamka ama usiku wa manane akiwafurumusha hatimaye wengi wanarejeshwa kwa kasi tena wakipanda vyeo maradufu. Kwa uchache 1. Lawrence Mafuru alifurumushwa kutoka msajili hazina kwa kupinga kuwa hakuna mkurugenzi anayelipwa milioni 15. Leo...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Haki ya Mungu nimejikuta namkumbuka Magufuli ghafla tu

    Wakati wa Magufuli 2016 au 17 kama sijakosea nilipata loose connection kwenye mstimu nje ya nyumba ninayoishi, nikapiga emergency TANESCO na ndani ya robo saa wakafika na kurekebisha kisha nikawapa 15,000 kama ahsante, haki ya Mungu waliikataa Leo tatizo limetokwa tena nikapiga simu wakasema...
  16. love life live life

    JamiiForums Tanzania Yaliyomkuta Magufuli kwa kinana, Nape, January na Wengine mama angefanyaje?

    Nawaza tu kama spika ameongea tena hadharani, akiwa katika mhimili unaoruhusu kufanya ivo. Je Samia angewafanya nini Nape, January, Kinana nk. ndani ya chama kwa sauti zilizovuja wakiunanga utawala wake kwa mfano?
  17. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli kilidhihirisha mifumo ya nchi ilivyovuja 2021

    APRILI 4, 1841, usiku, Marekani kwa mara ya kwanza walimpoteza rais akiwa madarakani. Ni William Henry Harrison. Alikaa madarakani kwa siku 31 tu. Harrison, aliapishwa kushika madaraka ya urais Machi 4, 1841, kisha Aprili 4, 1841, akaitikia wito wa Mungu, kwamba kila nafsi itaonja mauti...
  18. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Magufuli na Ndugai: Mungu anaisafisha Tanzania

    Kuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Viashiria: Huenda Rais Samia atakuwa dikteta kuliko Hayati Magufuli

    Ukweli ni kwamba Rais Samia anaupenda u Rais na hayupo tayari kabisa kuuachia na kwa gharama yeyote inaonekana yu-radhi kuupambania kwa namna yeyote ile. Samia hataki kabisa kuona yeyote yule akionyesha dalili za kutaka uongozi huko mbele katika anga lake. Samia ni muumini wa kupambwa kuliko...
  20. nyboma

    JamiiForums Tanzania Naona Rais Samia anarudisha kwenye mfumo taratibu taratibu watu waliotumbuliwa

    Hii inanipa tafasiri ya kwamba ingawa alikuwa Makamu wa Raisi enzi za Hayati Magufuli pia walikuwa hawaelewani yaani walikuwa ni kama maji na mafuta. Hapa chini tunaona Mama kamrudisha Dr. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishina wa Mamlaka ya usimamizibwa Bima Tanzania (TIRA) ambaye...
Back
Top Bottom