magufuli

  1. J

    JamiiForums Tanzania Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

    Japhet Hasunga ambaye alikuwa waziri katika Serikali ya Magufuli, amesema trilioni 300 ambazo zipo katika bodi ya rufaa za kodi za TRA ambazo zinatokana na ripoti ya Profesa Osoro na Mruma zilizoonesha kuwa makampuni ya madini yalikuwa yakitorosha makinikia yenye thamani kubwa na kuikosesha...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kuelekea maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha Hayati JP Magufuli

    Wakati maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha JP Magufuli yakikaribia, ni vyema tukaangazia miradi yake aliyotekeleza na inayoendelea kutekelezwa / kukwamishwa kwa sasa.
  3. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atawashangaza wafuasi wake, hawataamini

    Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi. Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu...
  4. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania RC Geita awachimba mkwara waliopanga kwenda kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli

    RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli. Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

    January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo na yeye kuwa waziri au samia kuwa rais apeleke kwingine lakini sio kwenye masuala ya nchi. Pamoja na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Stend ya Mabasi ya Magufuli Vs stendi mpya ya Dodoma

    Wadau, Kama mtumiaji wa mara kwa mara wa stendi hizi kuna mambo ambayo najiuliza kwamba hawa jamaa waliojenga stendi ya Magufuli imekuwaje wamejenga stendi ambayo sifa yake ni lile ghorofa tu lakini kwa ujumla wake haikidhi mahitaji ya abiria . Rais asingekubali kuizindua na jina lake...
  7. Bondpost

    JamiiForums Tanzania Nani aliwahi kuhoji haya kipindi cha Magufuli?

    Ndugu zangu watanzania, wakati tunaendelea kujadili siasa za nchi yetu ni vema tuangalie serikali zilizopita na ya sasa kwa kuangalia namna ambavyo kumekuwa na tofauti katika utendaji wake wa mambo mbalimbali. Leo hii napenda kuwauliza wenzetu wanaopenda kuweka ulimganyo wa utendaji wa...
  8. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Waliomfitini Dr Mwele kwa Magufuli, wanajisikiaje?

    Dr Mwele alikuwa kipenzi cha watu. Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi. Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo. Lakini huu msiba wake umeonyesha alivo moyoni mwa watu. Magufuli alimfukuza kazi Dr Mwele, saa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nikiulizwa Rais Magufuli ametuachia nini kikubwa, nitasema "Ametuachia ujasiri dhidi ya corona", hofu ya corona hakuna kabisa Tanzania.

    Wakati Hofu kuu ilipokuwa imeikumba dunia kutokana na corona, Magufuli alituongoza watanzania kumtanguliza Mungu kwa maombi na Mungu alituponya na kuiondolea mbali kabisa hofu ya corona. Na mawakala wa corona walipotaka kutupandikizia hofu ya corona baada ya kifo cha Magufuli kwa gia ya mawimbi...
  10. leonaldo

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Watanzania kumlaumu Magufuli, Wakenya walimkubali sana

    Licha ya kuwa wapo watanzania wanamlaum Rais John Pombe Magufuli kwa mambo kadhaa lakini huko nje ya mipaka yetu Kuna watu wanamkubari Sana kwa jitihada zake za kuliletea taifa letu miradi ya kutukuka na kuheshimika kimataifa katika kipindi kifupi alicho kaa madarakani. Somo tujifunze...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tuangalie nyuma: Hayati Joseph Magufuli na madafu ya Odeon Cinema

    RAIS JOHN POMBE MAGUFULI NA MADAFU YA ODEON CINEMA Ndugu zangu hii clip ya Rais Magufuli akinywa madafu Odeon Cinema imenikumbusha mbali sana. Kwanza imenikumbusha jengo la senema yenyewe ambayo sisi tumezaliwa tumeikuta na umaarufu wake kwa kuonyesha michezo ya Kihindi ya akina Ranjan na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ras Mtimanyongo: 2030 ataibuka Magufuli mwingine haijalishi chama atakachotokea lakini atashinda!

    Msanii wa kizazi kipya Ras Mtimanyongo anasema tuombe Jah atupe uzima ili 2030 tumshuhudie Magufuli mwingine akitokea ama CCM au Upinzani Ras anasema safari aliyoianzisha Magufuli ni lazima ikamilike na taifa liokolewe na kunufaika na rasilimali hivyo mchakamchaka ulioshangiliwa na maelfu ya...
  13. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania TANESCO wanachotufanyia sasa hivi tutamkumbuka Magufuli, wakazi wa Keko siku ya 3 hakuna umeme

    TANESCO wamejisahau sana haiwezekani leo inaenda siku 4 hakuna umeme mtaani TANESCO wanazunguka tu mtaani na ngazi zao, ukipiga simu zao za call center zote wamezima.
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kulikuwa na vinenoneno miradi haitaendelea, inaendelezwa kuliko ilivyokuwa ikiendelea

    Rais Samia Suluhu akiwa mkoani Mara kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji ameongelea suala la miradi ya Serikali. Ameuongelea mradi huo ulioanzishwa na Serikali ya awamu ya tano lakini ukakwamishwa na mkandarasi na kuamua kumbadilisha ili kumalizia mradi. Pia Rais Samia ameongelea spidi ya...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwezaje kutunyamazisha Watanzania milioni 60?

    Tangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto, Iddi Amin, Mobutu, Kagame, Bokassa na wengineo. Nikawa najiuliza hawa wababe waliwezaje kuwanyamazisha wananchi wao kirahisi wasipate watu wa kuwapinga...
  16. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Mama Janeth Magufuli?

    Salaam!! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu sikumbuki ni lini Mama janeth first lady wa 5 alionekana hadharani kupitia runinga. Zimefanyika sherehe mbali mbali ambazo kwa nafasi yake alitakiwa kuwepo sherehe kama za uhuru mapinduzi na sherehe ya leo ya CCM Mwenye kujua Mama huyu mpole mkalimu...
  17. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

    ========== Mama mmoja amesikika akimuomba Msheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani kuwa anaomba atendewe haki, mama huyo amerudia mara 3 kusema anaomba atendewe haki, Lakini Rais Samia alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae. Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona...
  18. I

    JamiiForums Tanzania During the Magufuli regime, CCM was about to die, thanks to coercive apparatus

    Everybody saw that CCM was in jeopardy during that dark era of Magufuli. Thanks to coercive apparatus to make it shine irrespective of the brutality to oppositions. When I hear that JPM raised CCM up, I wonder. It is widely known that every person was forced to like or love CCM even though...
  19. Dam55

    JamiiForums Tanzania Serikali: Daraja la Tanzanite kuanza kutumika Feb 1, magari kupita bure

    Serikali kupitia kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Mbarawa leo Jan. 30 imetangaza kukamilika kwa 100% kwa daraja la Tanzanite lililojengwa juu ya bahari kutoka Aga khan hadi Oysterbay Jijini Dar Es Salaam na sasa magari yataanza kupita bure kuanzia Feb. Mosi mwaka huu.
  20. love life live life

    JamiiForums Tanzania Kama Bagonza ameona mema ya Magufuli mimi ni nani!?

    Kwa mara ya kwanza Bagonza kwa kinywa chake anataja upande wa pili wa Magufuli wazi wazi. Kama huyu mwamba(Magu) alikosea naamini ni katika mapungufu yakibanadamu kama mtu mwingine yeyote.
Back
Top Bottom