Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe.
Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
akili
asilimia
awamu
bado
cag
darasa
enzi
hii
hoja
humphrey polepole
jiwe
jpm
kitu
kubwa
kuhojiwa
kuhusu
madarakani
magufuli
mahakamani
mmoja
muda
mwaka
ndogo
ripoti
sababu
uchumi
ufisadi
uhalali
uhujumu
uhujumu uchumi
uongozi
upigaji
utawala
wakuu
Tulio sekta ya ujenzi bado hatujatengemaa kutokana na vurugu tulizopitia miaka hii mitano.
Kabla ya kupata urais Magufuli na sekta ya ujenzi tulikuwa chanda na pete.
Mikutano yote ya wajenzi alihudhuria tena kwa kujipigia chapuo kubwa kwa Rais iwe Mkapa au Kikwete.
Sasa alipopata Urais...
Maamuzi ya kibiashara yasiingiliwe na siasa.....haya madege yamepaki tu hayafanyi biashara tarajiwa. Kila moja limenunuliwa kwa mamia ya mabilioni, halizalishi faida, Bali linazalisha hasara, mara baada ya JPM kupiga picha na ndege hizo, hazijaenda popote tena.
---
Air Tanzania's two Dreamliner...
Eti kuna mtu kakamatwa anaiba chakula, na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria zao
Jamaa anaamrisha mtu huyo aachiwe haraka kisa eti kuna wanasisa wezi wapo free mtaani
Njia sahihi nafikiri ingekuwa kumlipia faini asifungwe na kama kuna haja ya kurekebisha sheria aahidi kufanya hivyo akiingia...
Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.
Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.
--
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema gharama za ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita zilizidi bajeti iliyotengwa kwa sababu ulifanyika bila upembuzi yakinifu...
kwanza kabisa nianze kwa kusema hakuna siasa zinazoua nchi kimaendeleo kama siasa za kujaribu kunufaisha wanyonge na kulazimisha usawa wa kiuchumi. Ila bahati mbaya kwa Africa, 'marais wa waonyonge' ndio wanaonekana ndio sahihi
Mfano akitokea Rais akaanza ku deal na matajiri, akachukua mfano...
Ni nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa.
Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi ambavyo Magufuli alikuwa na dharau kwa watu ambao aliona either hawana elimu au uwezo flani kisiasa, au...
nimekaa na wasukuma wanasema hayati alikuwa msukuma,nimekaa na waha wa Kakonko wanasema hayati alikuwa ni mtu wa kwao,nimezungumza na wazinza wa Butundwe(Lagos) wanasema hayati alikuwa mtu wao,ukizungumza na warongo,ukizungumza na wasubi wote wanasema hayati alikuwa mtu wao sasa najiuliza kisa...
Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?
Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama...
Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.
Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.
Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia...
Wakati Serikali ikitangaza kurejesha Sh100 katika mafuta, watumiaji wa nishati hiyo watalazimika kufunga mkanda kutokana na bei kuendelea kupaa.
Bei ya nishati hiyo inapanda wakati wananchi wakilalamika kupaa kwa bei za bidhaa mbalimbali za vyakula hasa wakati huu wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
Shime shime shime watumishi wenzangu ...asiye na mwana aeleke jiwe.
Tunapoelekea Mei Mosi ya kwanza ya Rais Samia S. Hassan akiwa katimiza mwaka mmoja kazini si vibaya tukatanguliza yale tunayotarajia kusikia toka kwake.
Kama alivyotuahidi nyongeza ya mshahara mwaka huu bila shaka hilo...
Hayati John Pombe Magufuli, aliukuta mchakato wa katiba mpya umefika mahali pazuri pa kupigiwa kura.
Hayati Magufuli akazipuuza harakati za miaka nenda rudi za waTanzania zilizolenga kuipata katiba mpya.
Magufuli kwa kiburi na jeuri akasema kutengeneza katiba nzuri itakayowapa mwangaza mpya wa...
Amani iwe kwenu,
Mimi kama mwananchi na mwanaCCM nakumbuka ilivyokuwa ngumu kuiuza CCM mwaka 2015 kiasi ambacho hata wafanyakazi wa CCM waliogopa kuvaa sare za chama hata walipokuwa ofisi za Lumumba kwa kuhofia kipigo na fedheha toka kwa wananchi.
Naam, kazi kubwa ilifanyika hadi kutafuta...
Lipo wazi CCM wengi hawampendi Magufuli, ila wanajitahidi kutomshambulia moja kwa moja sababu alikuwa kiongozi wao waliomuunga mkono alipokuwa kiongozi, CHADEMA ndiyo hawampendi kabisa, ACT ndiyo kabisaa.
Wasomi wengi pia hawamkubali Magufuli, ukiwauliza tu ukiwa nao wengi wanamponda, baadhi...
Ili Tanzania mpya izaliwe, ilikuwa ni lazima ile ya zamani ife. Hapa nazungumzia 'system' ya zamani. Yale makundi ya watu yaliyohodhi madaraka na mamlaka ya nchi, ambayo yanabadilishana tu kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
JPM, labda kwa bahati mbaya au kwa mipango madhubuti ya wazalendo...
Plots nzuri kabisa Mbezi mwisho (1.5Km ) Kutoka KITUO kikuuu Cha mabasi Cha Magufuli (Magufuli bus Stand).
Karibu tujenge taifa pamoja.
Mawasiliano +255784355775 - Mr MBUNGI.
Akizungumza kwenye kongamano la kuenzi falsafa ya hayati Magufuli ya tanzania ya viwanda, ndugu Shibuda amesema siku moja alipata nafasi ya kumtembelea rais Magufuli ikulu.
Anasema siku hiyo Magufuli alimkaribisha ikulu na kumuuliza vipi watoto hawajambo? Akajibu hawajambo akamwambia nataka...
DAKTARI SLAA;NILIJIONA NDANI YA MOYO WA RAIS MAGUFULI.
Hayati Rais Magufuli aliwapenda na kuwapigania watu wa hali ya chini,mfano sasa hivi vitu vinapanda bei na gharama ya kupanda bei haimuumizi tajiri bali mlaji wa mwisho,katika walaji wa mwisho kuna matajiri wachache na masikini wengi,ambapo...
Wanajanvi,
Kwa waliomsikiliza mzee padre wilbroad sla leo watakubaliana nami kwamba mzee ni muongo kwelikweli.
Anasema na kutoa maoni yake mengi ya kumsifia Magufuli.
Alisema alikuwa mwana demokrasi! Demokrasia ipi?
Alisema alishatoa taarifa juu ya usafirishaji wa madawa ya kulevya akakuta...