magufuli

  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mkapa 2017: Kama waliotutangulia hawakutukanya tulipokosea basi ni dhambi ambayo hatupaswi kuirudia Kwa Magufuli anapoenda nje ya mstari

    Wazee wetu hawa wastaafu katika kumkamata sharubu kambale Mambo hawa kukaa kimya Lakin waliyapata mateso na misukosuko pamoja na kutokaa kimya kwao! Watanzania uwa wanadhani ni Nchi special saaaana kuzidi zingine hivyo matatizo kadhaaa yayayowakabili wao lawama zinaenda Kwa Viongozi sawa! Ila...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Nilipoteza marafiki wengi, tuna Sheria mbovu ya Makosa ya Mtandao. Tuna haki ya kuhoji

    Maxence Melo ambaye ni Mkurugenzi wa JamiiForums, jana Aprili 25, 2022 alikuwa katika kituo cha E FM Radio akielezea mambo mbalimbali kuhusu taasisi yake, harakati, mijadala na mambo mengine mengi. Hizi ni sehemu ya nukuu ya yale aliyozungumza Maxence Melo: “Hitaji la Jamii Forums wakati...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Haya maneno yana ukweli kiasi gani?

    Kwema Wakuu! Mzee mmoja akasema; Ingechukua miaka 100 Magufuli kukomboa watu wengi katika nchi hii; sasa Itachukua miaka 1000 kukomboa taifa hili. Akaendelea kusema, ingawaje alikuwa akiumiza wachache Kwa maumivu makali Kwa ajili ya wengi; Sasa Wengi wataumia maumivu ya POLEPOLE Kwa ajili ya...
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikataa kukosolewa akiwa hai, sasa watu wanamkosoa akiwa amekufa

    Vita kali ya maneno ya kumkosoa na kumdhihaki Magufuli inayoendelea sasa huenda ni matokeo ya kitendo cha Magufuli kukataa kabisa yeye na utawala wake kukosolewa akiwa hai. Hichi kinachoendelea ni matunda ya tabia ya Magufuli mwenyewe ya kupenda kusifiwa tu huku akiwadhihaki watangulizi wake...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa anaheshimu sana takwimu

    Moja ya takwa la mtu kuwa kiongozi mzuri ni kufahamu takwimu na kuziheshimu. Kama hili eneo upo mtupu huwezi kuongoza vizuri. Kwa mfano, Tanzania ni nchi ambayo raia wake wengi hawana umeme. Magufuli alilijua hili. Kwa Africa nchi za kiarabu, karibu asilimia 100 ya wananchi wao wanapata umeme...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania WanaCCM wamechukia na hawashiriki chaguzi za ndani za CCM

    WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea. CCM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji. WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM. Hayati JPM hachafuki. WanaCCM wanajua kabisa wanakibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
  7. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Chama kipya chaundwa Tanzania kuendeleza falsafa ya Magufuli

    UTANGULIZI TAFADHALI NAOMBA NISIRUSHIWE MADONGO,MIMI NI MJUMBE TU.HATA HIVYO NIKIRI KWAMBA HILI WAZO NIMELIPENDA, INGAWA MIMI NI MWANA CCM. NIKIRI KWAMBA BAADA YA MIAKA 61 YA UHURU, BADO CCM INATUPIGISHA WATANZANIA MAKIDA MAKIDA. KWA BAHATI NZURI MAGUFULI ALIBADILI SYSTEM YA UONGOZI TANZANIA...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

    Leo bungeni mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amemvaa vikali kiongozi mkuu wa ACT, Zitto Kabwe kwa kumsema Hayati Magufuli. Kibajaji amemuita Zitto muoga kupitiliza kwani wakati Magufuli yupo hai hakusema mpaka ameondoka. Pia Kibajaji amesema wote wanaomsema Magufuli ni wanafki na hata Samia...
  9. goroko77

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde amshambulia Zitto Kabwe dhidi ya kauli yake ya wanaompenda Hayati Magufuli wakazikwe naye Chato

    Hbr za muda huu Niko Hapa natazama Bunge la 12 mkutano wa saba , kikao Cha la kumi na moja , mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chini ya Waziri Jenister Muhaghama Alipewa nafasi bwana Lusinde kuchangia katika mjadala unaoendelea badala ya kujikita...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alifanya mambo yasiyofaa na Rais Samia anarekebisha mabaya yaliyofanywa

    Bila kuficha wala kuogopa, kwamba Rais Magufuli alifanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na uongozi bora na alikuwa akitupeleka kwenye hali mbaya sana kama taifa la Tanzania. Alikuwa na kauli za kinafiki na hata kuamuru taasisi za serikali kubambikia watu kesi. Kuna mengi sana ambayo yote...
  11. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Falsafa na itikadi za Hayati Magufuli ni mwarobaini kwa maendeleo ya Afrika

    ITIKADI ni moja ya msingi muhimu katika kuyafanya mnaisha ya mwanadamu kustawi zaidi, hakuna binadamu yeyote ambaye anaweza kuishi bila ya kuwa na itikadi. Neno itikadi linamaana nyingi na utata kwenye kulielezea au kutafsiri kwa sababu imegusa kila kona ya maisha ya mwanadamu. Huenda tusijue...
  12. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi dhidi ya Magufuli: Michezo au upepo wa kisiasa?

    Ninajiuliza: • Ni kwamba mama ameona hajafanya chochote ndani ya mwaka wake mmoja as compared na mwaka mmoja wa Magufuli; hivyo akaamua ku-divert attention ya watu kutoka kujadili upungufu wake hadi kumtetea na kumshambulia Magufuli? • Ni wazi hakuna Waziri ambaye hapendwi tangu tupate uhuru...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Umoja Party waelezea sababu ya kutumia picha ya John Magufuli

    Mwanzilishi wa Chama cha Umoja Party, Seif Maalim ametoa sababu za kwanini chama hicho kinatumia picha ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika fulana zao. Maalim amesema chama hakina nia mbaya kutumia picha hiyo kwa kuwa ni moja ya njia ya kujitangaza kwa wananchi. "Unajua sera zetu...
  14. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, iweje umdhihaki Hayati Magufuli?

    Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki. Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Dar Mpya: Mawaziri na wabunge wako nyuma ya Umoja Party. Wengi watiifu kwa hayati Magufuli

    Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa. Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake...
  16. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa kujenga sanamu la Magufuli. Tukubaliane kama nchi tulijenge wapi?

    Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso. Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

    Mdada wa Umoja party; Kada wa umoja party Hiki chama ni cha wafuasi wa hayati JPM?
  18. N

    JamiiForums Tanzania Umoja Party ni chama chenye mlengo upi, kinaamini katika maendeleo au katika Magufuli?

    Naona Nembo mojawapo ya Chama ni picha ya JPM 😀😀😀😀
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Umoja Party chahusishwa na Team Magufuli

  20. S

    JamiiForums Tanzania Kila Rais angekopa kama Hayati Magufuli, leo hii tungekuwa tunakopesheka na Magufuli angekopa wapi?

    Taarifa tunazosima zinaonyesha ndani ya miaka mitano tu Magufuli amekopa karibu sawa na mikopo aliyochukua Kikwete kwa miaka yote Kumi aliyokuwa madarakani. Ukiacha Kikwete, kuna Mkapa, Mwinyi na Nyerere na hawa nao walikopa na kuna wakati walifanya juhudi tusamehewe madeni Sasa najiuliza...
Back
Top Bottom