MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,526
- 8,791
Wakenya wanajua sana mambo ya Votting block, kura zinapigwa kwa Block, ikiamuliwa jamani sisi tumpee kura zetu fulani kweli anapewa kwa asilimia nyingi sana.
Wakenya wana kitu wanaita Votting Block, hizi ni Block za Makabila na hii ina nguvu sana Kenya, Wakenya hasa Makabila ya Kenya ukiteua mwenzao kuwa kwenye Serikali basi kuna uwezekano wa kukupa kura. Zile Votting Block zina watu wanazisimamia.
Kule Western mfano kuna Votting Block iko chini ya Musalia Mudavad, kuna ilioko chini yule Spika wa Bunge wa Sasa Mosez Wetangula, na pia kuna Votting Block ndogo ndogo. Nyanza Votting Block yake ni ya Raila Odinga ingawa pia kuna viongozi wachache nao huwa wana Block zao mfano Kule Kisii au Kury kuna viongozi wana Block zao.
Kule kwa Wakamba Kalonzo ndio ana controo Block kubwa sana ya kura asilimia kama 70 hivi.Hizo asilimia zingine zina milikiwa na viongozi wengine.
Riftvallye ni Votting Block ya William Ruto, unakuta anaimiliki kwa asilimia 80. Centra kuna Meru.na kuna huku kwa Wakikuyu kule kidogo wameelimika sana hawatki tena Votting Block.
Kwa Tanzania ni watu wawili tu waliofanikiwa kutengeneza Votting Blocks, viongozi wa sasa hakuna kitu kama hicho, Msukuma kule kanda ya Ziwa Votting Block yake ni Jimboni kwake hana mvuto nje ya pale. Wakina Kishimba wote hao hakuna kitu.yuke Tulia akson ni pale Jimboni kwake Mbeya tu hana hamasa nje ya Mbeya mjini.
Watu wawili Tanzania walio weza kutengeneza Votting Block ni Lowasa na Magufuri, Magu alikuwa na Votting Block kwa Wasukuma atlest 60+ %.
Lowasa aliwahi kuwa na Votting Block kubwa sana kuwhi kutokea Tanzania kwa wamasai na hadi leo anayo, Lowasa hadi sasa akiwaambiwa wamasai wake kwamba pigia fulani kura wanapiga kweli. votting block ya Wamasai kwa lowasa ilikuwa inasimamia asililimia 75 hadi 80.
Pia Dr. Slaa aliwahi jaribu kuwa nayo kwa ukanda wa Wambulu ingawa haikuwa kubwa sana labda kwa 50% tu ila atlest.
Ukimtoa Lowasa na Magufuli hakuna mwanasiasa mwingine Tanzania mwenye Votting Blocks.
Wanasiasa wengi wana nguvu jimboni kwao basi nje ya Jimbo lake hakuna anaye mtambua.
Kidogo sana pia Mbowe kule Uchagani na Zitto Kabwe kwa Waha wenzake, atlest wanaweza tengeneza votting block ingawa sio powerfull kama ile ya Lowasa au Magufuli.