magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu amwakilisha Rais Magufuli katika Mkutano wa 18 wa NAM

    Waziri Kassim Majaliwa leo Oktoba 26, 2019 anatarajiwa kumwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika Mkutano wa 18 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa nchi zisizofungamana na upande wowote (NAM) kutoka Afrika na kwingineko duniani utakaofanyika Baku, Azerbaijan. Mkutano huo unalenga kujadili...
  2. JamiiForums Tanzania Usichokijua kuhusu ndege mpya iliyopokelewa leo na Rais Magufuli

    Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 26 ameongoza Watanzania kupokea ndege ya pili aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, katika Uwanja wa Ndege wa Mwl. Julius Nyerere, Dar es Salaam. Ndege hii mpya imesajiliwa kwa usajili namba 5H-TCJ na imepewa 'Brand Name' ya RUBONDO ISLAND, visiwa vilivyopo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu amwakilisha Magufuli katika mkutano Baku, Azerbaijan

    October 26, 2019 Baku, Azerbaijan. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 26, 2019 anatarajiwa kumwakilisha Rais Magufuli katika Mkutano wa 18 wa wakuu wa nchi na serikali wa nchi zisizofungamana na upande wowote (NAM) kutoka Afrika na kwingineko duniani utakaofanyika Baku, Azerbaijan. Umoja...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

    Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan. Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema. Mjapani ameniuliza kama...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

    Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan. Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema. Mjapani ameniuliza kama...
  6. JamiiForums Tanzania Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

    KUNA WATU WAKIONA KATUKIO KADOGO GHAFLA WAKO HUMU SASA VYEMA KUWAJULISHA WOTE NA HATERS WA NDEGE ZETU MKIONA FAYA INAMWAGIA NDEGE MAJI INAPOTUA SIO KAMA KUNA MOTO NI SALUTE KWA NDEGE YETU KUIKARIBISHA NCHINI NA ILE NI ALAMA KWAMBA UKO NYUMBANI, NYUMBANI KUMNOGA MSIKURUPUKE KUJA HUMU KAMA MKO...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Felister Mkombo amshukuru Rais Magufuli, asema DC na OCD wamemlipa Tzs milioni 15 kama alivyowaagiza

    Felister Mkombo ambaye ni mama mjane anayeishi Namanyele huko Rukwa amemshukuru Rais Magufuli kwa kumfuta machozi kufuatia kuibiwa ng'ombe zake. Felister anasema Mkuu wa wilaya na mkuu wa polisi wilaya wameshamlipa sh milioni 15 ambazo ni fidia ya ng'ombe wake kama alivyoagiza mtetezi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Zipi sababu za kukufanya Ufikiri kuwa Magufuli anafaa au hafai kuendelea kuongoza taifa hili kwa ngwe ya pili 2020-2025?

    Kama kawaida yet u watanzania kila baada ya miaka 5 ufanyika uchaguzi mkuu wa Urais,Ubunge na Udiwani, Mwaka 2015 umefanyika uchaguzi uliomuacha Magufuli kileleni kwa kura 8,000,000 za waliojitokeza kupiga kura Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya uchaguzi, Yapo mambo ambayo aliahidi na kufanya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika

    viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao wanahudhuria mkutano wa 58 unaofanyika hapa nchini kwa siku 5 ukiwakutanisha wajumbe kutoka nchi wanachama 49 na mashirika mbalimbali. Viongozi wa AALCO waliokutana na Mhe. Rais Magufuli ni Rais wa AALCO...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na viongozi wa chama tawala cha China Ikulu

    Rais Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala CCM amekutana na viongozi wa chama tawala cha kikomunisti cha China. Viongozi hao kutoka China wamempongeza Rais Magufuli kwa namna CCM inavyoongoza kwa ufasaha serikali zake mbili ya Muungano na ya Zanzibar. Source Eatv habari!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kushabikia siasa za upinzani Tanzania yakupasa uwe na moyo kama wa Mwendawazimu

    Mosi, hakuna Tume huru ya uchaguzi Pili, uchaguzi wa madiwani unasimamiwa na makada wa CCM Tatu, matumizi ya ruzuku kwa vyama vya upinzani hayaeleweki Nne, vyama vya upinzani havifanyi uchaguzi wa viongozi wao mfano Wenyeviti ni kama wa kudumu. Tano, ukiwa mbunge ni lazima kuchangia fedha za...
  12. JamiiForums Tanzania Pendekezo Chanya: Rais Magufuli aanzishe Mfuko wa Ujenzi Mpya na Maendeleo wa Taifa (MUMT)

    Mkazi wa Kijiji cha Nohli, Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma akihifadhi mazao juu ya paa la nyumba kama alivyokutwa kijijini. PICHA: IBRAHIM JOSEPH (Nipashe) Na. M. M. Mwanakijiji Tumekuwa tukiona mara kwa mara Rais John Magufuli akiagiza utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Na tumeona...
  13. JamiiForums Tanzania Watumishi na viongozi wa umma waaswa kuiga utendaji wa Rais Magufuli

    Watumishi na viongozi wa umma, hasa wa wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi wameobwa waige na kufuata nyayo za Rais Dkt John Magufuli za katika kushughulikia kero za kijamii. Mzee Mohamed Auko (80) ambae ni miongoni mwa wafanyabiashara ndogondogo katika soko hilo alisema watendaji na viongozi hawana...
  14. JamiiForums Tanzania Tatizo la ‘ Watendaji ‘ walioaminiwa na Rais Dkt. Magufuli huwa linaanzia kama hivi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametengua kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema ya kuzuia wananchi wa Ilala kuabudu katikati ya wiki, ameamuru wananchi waendelee na ibada kwa kufuata utaratibu. Chanzo: #MwananchiUpdates Kuna Mtu Siku nyingi sana aliwahi kuniambia kuwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa halmashauri watii agizo la Rais Magufuli

    Rais Magufuli alitoa agizo la kuwataka DEDs wa halmashauri zilizo vijijini lakini wenyewe wanaishi mjini kuhamia maeneo yao ya kazi ndani ya siku 30 na mwisho ni tarehe 07/11/2019. DED wa Tarime vijijini ameshafungasha virago na tayari yuko kijijini na amewataka watumishi wote kuwa wamehamia...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azidi Kuthibitisha kuwa ni Rais wa watu, anawasikiliza watu Hakuna cha 'Mswalie Mtume' big Up Rais Magufuli

    Wanabodi, Naomba kuanza na lile angalizo langu la siku zote, kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa, kwenye maovu nalaani, na kwenye mapungufu natoa ushauri wa bure. Andiko hili ni la pongezi, hivyo kama wewe ni mmoja wa watu wa lile kundi ambalo linakereka kila rais Magufuli na awamu...
  17. JamiiForums Tanzania Wazee wa CCM na Wastaafu waache unafiki wa kukaa kimya, wamuhimize Magufuli umuhimu wa kuunganisha Watanzania badala ya kuwagawa

    Ndugu Rais, bila shaka umeusoma upepo ulivyo kwa sasa. Ni vizuri, uachane sasa na roho mbaya, kiburi, majivuno, na visasi. Nadhani umejifunza ni namna gani Wananchi wako wengi wanavyokutakia mabaya (kifo), na wapo tayari kufanya sherehe muda wowote iwapo mauti yatakufikia. Iwapo utachagua...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa kumwakilisha Rais Magufuli nchini Urusi

    Waziri mkuu mh Majaliwa ameelekea nchini Urusi ambako atamwakilisha Rais Magufuli katika mkutano wa viongozi wakuu wa Urusi na wale wa Afrika. Waziri mkuu atapata fursa ya kuzungumza na Rais Putin atakapokuwa nchini humo. Chanzo: Channel ten!
  19. JamiiForums Tanzania Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

    Mimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kwenye kuvuja kwa siri za Ikulu. Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    UPDATE: Fuatilia LIVE coverage hapa: Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila ========== Heshima kwenu wakuu, Heshima kwenu wakuu, Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…