magufuli

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

    Dah.....bunge linogile. Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro. Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magufuli so high - so drunk

  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway ampongeza Rais Magufuli katika Mapambano ya Covid19

    Baadhi ya Nchi za Ulaya zimeanza kutambua na kupongeza hatua ambazo Tanzania imezichukua katika kupambana na Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19 kutokana na muongozo wa Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwa zinaendana mazingira na hali halisi ya Tanzania. Waziri wa Maendeleo...
  4. JamiiForums Tanzania Ofisi ya msajiri wa NGOs bado haiendani na spidi ya awamu ya tano ya Magufuli

    Ofisi ya Msajiri wa NGOs Makao makuu Dodoma kufuatana na Janga la Corona na vilevile kurahisisha kupatikana kwa huduma zao kwa urahisi wameanzisha mfumo wa kwa kusajiri NGOS kwa mtandao yaani E-REGISTRATION. Unatakiwa utume documents zako zote kwa mtandao na kama kutakuwa marekebusho...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza maombolezo ya siku 3, bendera kupepea nusu Mlingoti kufuatia kifo cha Rais wa Burundi, Marehemu Pierre Nkurunziza

  6. JamiiForums Tanzania Diwani aliyeandika kitabu cha Rais Magufuli ameihama Chadema kwenda NCCR

    Diwani machachari wa Chadema Arumeru ambaye aliandika kitabu kinachoelezea mafanikio ya Rais Magufuli ameachana na Chadema na kujiunga na NCCR Mageuzi. Amechukizwa na siasa chafu za kuponda maendeleo zinazofanywa na Chadema. Huyu Diwani Mrembo kuliko wote huko Arumeru na ni mwanathiolojia...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum (CUF), Riziki Lulida aomba kurejea CCM. Asema Rais Magufuli ni msikivu alifuturu naye na kuongea naye kama ndugu

    Amesema amerudi CCM kwasababu nyingi na ya kwanza ni kuwa Rais Magufuli ni msikivu na atakaposikiliza hoja yake atakuwa msikivu. Amesema “Mwaka 2015, Rais alinikuta nje akaniuliza nafanya nini. Nilijibu nataka kwenda nyumbani kufuturu. Akaniambia mimi ndio baba watoto twende, nami nikamuambia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 RC Makonda: Viongozi wa dini ombeeni uchaguzi ili tupate viongozi Watakatifu wa kumsaidia Rais Magufuli na watoa kafara wasifurukute

    Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amefanya kikao na viongozi wa dini kupitia jukwaa lao la Kamati ya maridhiano. Makonda amewataka viongozi hao wa dini kuuombea uchaguzi mkuu ili wakapatikane viongozi watakatifu watakaomsaidia Rais Magufuli katika awamu yake ya pili ya uongozi. Makonda amesema...
  9. JamiiForums Tanzania Rais awasamehe Makamishina walioshirikiana na Kangi Lugola uliokuwa na viashiria vya ufisadi

    Nafuatilia Hotuba ya Mh Rais Magufuli akiwa anahutubia Askari Magereza katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la ofisi za Magereza, sasa hivi kupitia TBC1 amekiri kuwasamehe wale viongozi wote walioshiriki kusaini mkataba uliokuwa na viashria vya rushwa akiwemo aliyekuwa Kamishina Jenerali wa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli, Piga nyungu sana maana kikohozi chako kinanipa wasiwasi mkubwa!

    Rais wangu tangia uhutubie kuhusu mapapai kuwa na Corona takribani mwezi wa nne (miezi miwili sasa) nakuona unakohoa tu. Nakusihi utandike nyungu la nguvu maana kikohozi chako cha leo kimezidi. Hapa naweka picha za jinsi ulivyokohoa leo, ni nyingi mno! Aisee mkuu wangu, piga nyungu sana kwa kweli.
  11. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

    MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa sheria wa marekebiaho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa mwaka 2020. THRDC na LHRC wametoa tamko la kupinga muswada huo leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020 mbele...
  12. JamiiForums Tanzania Mwl Nyerere: Hata mimi walinambia using'atuke nchi bado inakutegemea, nikaja jua kumbe nchi ni familia zao, hawana uhakika na ajira zao nikiondoka

    Nimekumbuka ujumbe wa Mwl Nyerere kabla ya kung'atuka aliporusha dongo kwa wapambe wake waliomshauri abaki madarakani kwa kuwa ana afya, uwezo na wananchi wanamuhitaji sana kama kiongozi wao mzalendo. Mwalimu aliwaambia wapambe wake hapana na wasiwe na wasiwasi kwamba akiondoka labda ajae...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Bunge zima wakiwemo wabunge wa CHADEMA na NCCR Mageuzi waimba "Tuna Imani na Magufuli"

    Rais Magufuli ni chaguo la Mungu. Bunge zima lilisimama wakiwemo wabunge wote na wageni wote na kuimba wimbo wa " Tuna Imani na Magufuli" Bunge limewaomba wananchi wajitokeze mwezi Oktoba na kumchagua Dr. Magufuli na wabunge na madiwani wanaoendana na kasi ya Hapa Kazi Tu Chanzo: Eatv...
  14. JamiiForums Tanzania President Magufuli rejects calls to extend rule beyond two-term limit

    President John Magufuli on Thursday rejected calls from some of his supporters to extend his rule beyond the constitutional limit of two, five-year terms, bucking a trend. There have been some calls from members of the Parliament including the Speaker of the National Assembly Job Ndugai who have...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watanzania mniombee ili nimalize vizuri kipindi changu cha uongozi kama ilivyo kwenye katiba baada ya hapo niwaachie wengine

    Hizi ni kama salamu kwa Ndugai na wale wengine wenye nia ya kubadilisha Katiba ili kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani. Leo jijini Dodoma katika sherehe za uzinduzi wa wa barabara katika mji wa kiserikali yenye urefu wa kilomita 51.2, pamoja na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo: Nitawashawishi wenzangu tukubaliane mji wa Mtumba uliopo katika jiji la Dodoma uitwe Dkt. Magufuli City

    Waziri wa Tamisemi Mhe. Jaffo amesema atawashawishi viongozi wenzake ili mji wa kiserikali wa Mtumba uliopo jiji la Dodoma uweze kuitwa Dkt. Magufuli City. Jaffo amesema anajua Rais Magufuli atakataa lakini piga uwa garagaza mji wa Mtumba lazima uitwe Dr Magufuli City. Hatuwezi kumpa vibarabara...
  17. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli anazindua ujenzi wa barabara ya Mtumba, Makao Makuu ya TARURA na Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto

    Rais Magufuli yupo sherehe za kuzindua ujenzi wa 51.2 km za barabara ya mji wa kiserikali wa Mtumba, mkoani Dodoma Barabara hiyo itakuwa na km 11.2 za njia nne, zenye upana wa mita 7 kila upande Katika sherehe hizo pia kutakuwa na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa Mtumba, katika...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Msekwa awashangaa wanaotaka Magufuli aongezewe muda wa Urais

  19. S

    JamiiForums Tanzania Japo wako kimya, Mkapa na Kikwete wanaridhika na hoja ya kutaka kumuongezea muda Magufuli?

    Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba. Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu...
  20. JamiiForums Tanzania Jemadari wa Vita Bora hujulikana kwenye Vita Magufuli umepigana Vita ya ufisadi na Corona upewe kipindi kingine

    Jemadari mzuri hujulikana na kukubalika kwa Vita kubwa nzito alizopigana Nyerere alipigania Uhuru Vita kubwa Mwinyi alirithi nchi haina hata Mia Mia ya Pesa za kigeni akafufua uchumi,Mkapa akatafuta solution za mashirika yaliyokuwa yakipata hasara kwa kuyauza kwa wawekezaji, Kikwete akatoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…