magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

    Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli ------ UPDATE---- Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020. HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Nami niungane...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Wanachama 2,565 wajitokeza kumdhamini Dkt. Magufuli Ruangwa

    WANACHAMA 2,565 WAJITOKEZA KUMDHAMINI DKT. MAGUFULI RUANGWA Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia wakati mwanachama wa CCM, Jacob Masumbuko alipotia saini fomu ya kumdhamini, Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili aweze kuteuliwa kuteuliwa tena kugombea urais. Zoezi hilo lilifanyika kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Magufuli aliahidi kuboresha mafao ya Wafanyakazi. Badala yake kavuruga maslahi yao, na ametumia fedha za mafao yao kujipaisha zaidi

    Moja ya simulizi za kusikitisha katika utawala wa awamu ya Tano, ni kisa cha wafanyakazi wa Tanzania. Zipo kada nyingi zilizoumizwa sana na utawala huu, mojawapo nyingine ni wakulima. Hawa wote wametumika kama nyenzo tu ya kufanikisha miradi ya awamu hii, huku wao wenyewe na familia zao...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile. 2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli anafanya makusudi kutokuidhibiti Corona ili waangalizi wa uchaguzi mkuu wasije nchini mwezi Oktoba

    Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa. Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

    Membe anasema: Kuhusu kugombea ndani ya CCM: Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna uoga na tunaniamini, sisi tuna haki kabisa kabisa ya kugombea urais huu kwa sababu tunalindwa na Katiba...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

    CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Hongera awamu ya tano, hongera Rais Magufuli ziwa Victoria limependeza

    Nilihamia kanda ya ziwa miaka ya 1990, nilipofika sokoni nilikutana na samaki (sangara) wakubwa kama mimi, nilishangaa sana maana vilikuwa ni vitu vigeni kwangu, walikuwa wanatumia mashoka na mapanga kutukatia vipande kwa fedha uliyokuanayo, miaka ikasogea na ukubwa wa sangara ukazidi kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

    UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIA Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta Pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa...
  10. JamiiForums Tanzania Al Jazeera: Watanzania wanaishi maisha ya hofu na mashaka katika utawala wa Rais Magufuli. Je, hili lina ukweli wowote?

    Nikiwa kwenye pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na makala fupi ya chombo cha habari maarufu Al Jazeera, katika makala hiyo wameeleza kuwa utawala wa Magufuli umeonyesha jitihada kubwa za kunyanyua Uchumi wa Tanzania lakini pia Watanzania hawako salama chini ya utawala wake. Masoud...
  11. JamiiForums Tanzania Asante Rais Magufuli kupambana na mafisadi TANESCO, sasa umeme sio kero tena na haukatiki muda mrefu

    Tanesco iligeuzwa chombo cha kisiasa ambacho mafisadi waliitumia Tanesco kuifanya serikali ya CCM ichukiwe na wananchi ili upinzani ushinde 2015 karibu na uchaguzi mkuu nilikuwa Arusha mjini umeme ulikuwa unazimwa siku nzima unawashwa saa saba usiku na kuzimwa saa tisa usiku. watu vyakula...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumza na Wananchi wa Ubungo wakati aliporejea jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama mwenye...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ijayo itafuata " kikamilifu" itikadi ya Ujamaa na Kujitegemezi. Je, CCM kuna vijana wazalendo wa kumsaidia Rais Magufuli?

    Maandalizi yote ya kuirejea itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea kivitendo kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu Nyerere yamekamilika. Kwa sasa tuna ATCL ni yetu 100&, tunamiliki TTCL 100%, Tanesco 100%, Mamlaka za maji 100%, TRC 100%. Tunakwenda kuwa na benki yetu ya biashara kubwa mbadala wa NBC, TPDC...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Uhuru says he is not interested in clinging to power after 2022

    President Uhuru Kenyatta has promised to respect his constitutional 2-term presidential limit when it expires in 2022. Speaking during a live discussion with a US-based Think Tank- Atlantic Council- the President downplayed claims that the looming referendum would see him seek another term in...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi wa Oktoba mwaka huu 2020 ni kati ya Ubaya na Wema

    MAGUFULI AMEHARIBU, ATAFUNDISHWA NA LISSU UCHAGUZI wa Oktoba mwaka huu 2020 ni kati ya Ubaya na Wema. Kifupi, ni kati ya Faraja yetu na Masimango ya wenye Madaraka. Siku ya Uchaguzi ukiiweka tiki yako kwa Magufuli, ujue umeuruhusu tena Ubaya uendelee kwa miaka mingine mitano. Utakuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania BBC: Jinsi Rais Magufuli anavyopambana na corona na "mabeberu"

    Na Sammy Awami BBC News, Dar es Salaam 18 Juni 2020 Rais wa Tanzania John Magufuli amekuwa akikosolewa kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya "mabeberu" na tangazo lake la hivi karibuni kuwa maombi na sala vineondosha virusi vya corona katika taifa hilo. Lakini suala hilo la...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Bulembo: Taratibu za CCM haziruhusu mwanachama mwingine kuchukua fomu ya kugombea urais zaidi ya John Magufuli

    Aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa, Abdallah Bulembo, amesema taratibu haziruhusu mwanachama mwingine kuchukua fomu ya kugombea urais zaidi ya John Magufuli. “Kwa mujibu wa sheria kama wewe ni mwana CCM, Rais anatakiwa awe katika vipi viwili sasa unatokea wapi kuchukua fomu? Unajadiliwa kikao...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga marufuku wapiga debe kwenye stendi ya Dodoma. Ataka wafanyabiashara wasisumbuliwe

    RAIS Dk. John Magufuli, ametoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi, kuhusu stendi kuu ya mabasi iliyopo jijini humo ikiwemo kuhakikisha wajasiriamali wadogo, waendesha bodaboda na daladala kutosumbuliwa. Rais Dk. John Magufuli. Magufuli ametoa maagizo hayo leo kwa njia ya...
  19. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli akivunja sheria za barabarani wakati akitokea ofisi za CCM alipoenda kuchukua fomu ya urais

    Hatimaye kampeni zimeanza, tumeanza kujishusha kwa wananchi. Haya maving'ora kwa sasa yatatupunguzia kura. Rais Magufuli leo anaonekana Dodoma akiwa na gari binafsi huku akitanua bila wasiwasi wowote.
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally, Makao Makuu ya CCM, Dodoma. Maendeleo hayana vyama!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…