magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Magufuli mwaka 2016, tutauza Ulaya mitumba, mwaka 2020 mnipe awamu nyingine tutauza mitumba Ulaya

    Hua nawauliza watu ni vitu gani tangible Magufuli amefanya cha maana kwa miaka 5 iliyopita chenye kuboresha au kuongeza pato la mwananchi mmoja mmoja, utajibiwa tu flyover, ndege, Stiglers, SGR na kuhamia Dodoma. Unashindwa kuelewa hivi vitu vimewasaidiaje wananchi wa kawaida? Kule kanda ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

    Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika. Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abass: Pato la Tanzania limekua mara mbili zaidi katika miaka minne ya Rais Magufuli

  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katumbua wote waliotia nia kasoro Godwin Kunambi

    Magufuli aliwatumbua kwa mbwembwe wateule wake wote waliotia nia sehemu mbalimbali, maarufu zaidi akiwa kijana wake mpendwa Makonda. Cha ajabu mkurugenzi wa jiji la Dodoma Bwana Godwin Kunambi alitia nia huko Morogoro, jimbo la Mlimba na akatoka ngoma droo na binti wa mama Rwakatare aitwaye...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 John Magufuli, Hussein Mwinyi ndio watashinda Urais Bara na Visiwani

    Na Deogratias Mutungi Nianze kwa kusema nia na dhumuni ya makala haya ni pana kimantiki na inalenga kuonyesha mitizamo ya mbali kisiasa aidha inajikita katika uchambuzi unaoegemea fungu la upande wa uwazi na ukweli bila kupendelea upande wowote ule kisiasa, mtu, wala chama chochote au itikadi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kama katika uongozi wa miaka mitano ya Bunge Magufuli alichoona cha maana kwa Ndugai ni kuundwa Kamati ya Madini tu, basi Ndugai hafai kuwa Spika

    NImeshangaa sana. NImeona upungufu mkubwa kwa upande wa Magufuli, kwamba katika sababu ambazo angependa Ndugai arudi kuwa Spika baada ya uchaguzi, ya maana kuliko zote ni hiyo ya kuunda kamati ya madini. Kwangu ina maana Magufuli kimsingi anakiri kwamba hakuna cha maana alichofanya Ndugai...
  7. A

    JamiiForums Tanzania God Save Magufuli

    Dear distinguished jamii forum members, local and international, greetings. "Seek and you shall find". On the very ground of the sentence, seek and you shall find, I pray to God, the almighty that he save president John Pombe Joseph Magufuli. As a concerned citizen of the United Republic of...
  8. A

    JamiiForums Tanzania God Save Magufuli

    Dear distinguished jamii forum members, local and international, greetings. "Seek and you shall find". On the very ground of the sentence, seek and you shall find, I pray to God, the almighty that he save president John Pombe Joseph Magufuli. As a concerned citizen of the United Republic of...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli anatamani Ulaya ambayo haipo na haitakuja kuwepo

    Nimemsikia mgombea wa urais CCM anasema anataka Tanzania iwe kama Ulaya. 1. Mwambieni hakuna ulaya ambayo imezuia vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadahara na wananchi wake kuandamana. 2. Hakuna Ulaya ambayo imezuia kurusha matangazo ya bunge live. 3. Hakuna Ulaya ambayo imefungia...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Kamati Kuu ya CCM hamuwezi kututeulia wagombea wapya kabisa wa Ubunge? Ziara za Rais Magufuli zilithibitisha Wabunge wengi ni mizigo

    Kwa bahati nzuri niliweza kufuatilia ziara zote za Rais Magufuli katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. Kila aliposimama kusalimia wapiga kura wake alielezwa matatizo lukuki na wananchi wa maeneo hayo kana kwamba hawana mbunge na hii ni ishara kuwa Wabunge wengi wa awamu hii ni mizigo...
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni Dkt. Magufuli pekee 2020

    Napenda kuungana na mamilioni ya Watanzania kumpongeza Dkt. John Pombe Magufuli kuchukua fomu ya kugombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ninamtakia kila la heri airejeshe tayari kwa ushindi Octoba 28, 2020. Nasema ushindi kwa maana kati ya wote tuliosikia wanagombea hakuna anayefikia...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli: Wapinzani wakishinda watavunja-vunja madaraja na kuuza scraper!

    Hata kama ni kusema uongo basi na uongo wenyewe uwe na ushawishi kidogo. Kauli kama hizi zinaonyesha kwamba Jpm hana hoja, lakini pia amewadharau wapiga kura. Kwanini asijikite kuwaeleza atawafanyia nini waTz ktk miaka 5 inayokuja, na badala yake anashambulia wapinzani kwa hoja za uongo...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali tuonee huruma, mwajiri wetu wa zamani hakupeleka mafao yetu kwa mujibu wa Sheria

    Natanguliza zangu nyingi shukrani kwako Mh Rais kwa mengi unayofanya kwa ajili ya Wananchi wako, pamoja na hayo kuna mambo mengi aidha watendaji wako hawakuambii au wao ni sehemu ya uozo huo. Yapata miaka zaidi ya miwili tunahangaikia kufuatilia pesa za michango yetu ya hifadhi ya jamii ambayo...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli hatachaguliwa na wahalifu

    Kwa mtu mwenye akili timamu na msafi anajuwa kile alichokifanya Rais Magufuli na atapenda aendelee tena na tena kufanya hivi ili aone tutaelekea wapi. Kwa miaka mingi sana Tanzania tulikuwa na marafiki wengi sana, mikopo mingi sana, misaada mingi sana na hata vita tumepigana kusaidia wengine...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kutokana na hili nimejifunza kuwa upinzani wanamkubali sana Rais Magufuli, sema tu neno Upinzani linawafanya wasikiri hilo

    Nimefuatilia kwa makini mikutano yote ya Halmashauri Kuu na Mikutano Mikuu ya vyama vya upinzani particularly CHADEMA na ACT-Wazalendo nikapata funzo kubwa, kuwa za kuambiwa nichanganye na zangu kwa sababu hawa jamaa wanamkubali sana Rais Magufuli katika mambo mengi ila tu hawataki kusema kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa Siasa za Rais Magufuli mtu kama Lissu ndio anafaa kupambana naye. Lissu hana cha kupoteza tena hivyo hana hofu ya kumkabili jino kwa jino

    Lissu ndio hasa kisiki cha mpingo cha kupambana na Jiwe. Hata wapiga kura watakuwa majasiri wa kudai haki yao endapo wataporwa ushindi wao. Wakina Membe na wengineo wampishe Lissu kwa huu Uchaguzi maana hawana uwezo wa kupambana na Siasa za kibabe za jiwe. Lissu hasa ndio pekee anayeweza kwenda...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli amebadilika kuelekea kupata ushindi wa kishindo

    Siasa inaonyesha Rais Magufuli, ameanza kuibali siasa, na ameanza kuwa very tolerant na yuko focused kwenya mahitaji ya kudumu ya Wananchi. POLICAL MATURITY: Rais amezidi kuiva kisiasa, tumeona akiwa hana ushawishi katika Uchaguzi wa Ugombea Ubunge wa wale waliokuwa wakisemekana kuwa ni watu...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

    Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu

    Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Polepole ataongea na watanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano utafanyika ofisi ndogo ya CCM - Lumumba, Dar es Salaam. Usipange kukosa kufuatilia. Juzi tulikuwa na NEC ilituita vyama vyote, taarifa muhimu tumepewa, kikao kilichopita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…