Rais Magufuli katumbua wote waliotia nia kasoro Godwin Kunambi

TOMNOTKAT

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
803
1,000
Magufuli aliwatumbua kwa mbwembwe wateule wake wote waliotia nia sehemu mbalimbali, maarufu zaidi akiwa kijana wake mpendwa Makonda.

Cha ajabu mkurugenzi wa jiji la Dodoma Bwana Godwin Kunambi alitia nia huko Morogoro, jimbo la Mlimba na akatoka ngoma droo na binti wa mama Rwakatare aitwaye Rose Hellen Rwakatare, lakini Kunambi karudi ofisini jijini anaendelea na kazi kana kwamba hakukiuka maagizo ya Magufuli.

Magufuli kwanini katumbua wote isipokuwa Kunambi? Ndio mtoto pendwa mteule?

Wajuzi tujuzeni.
 

Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,388
2,000
Kwani ukurugenzi ni cheo cha kisiasa? Huyu atakosa tu mshahara wa mwezi June ila kazi anaendelea.

Unajua waliotumbuliwa kweli? Sasa nikueleze kitu ndugu, CCM ya Magufuli inaweza kufanya kosa la karne na ikajutia. Mfumo/ mifumo ya CCM inaendeshwa kwa Rushwa na Ulaji (hata wajumbe wanajua na kula yao ndipo ilipo).

Sasa mkiwaengua ambao walitumia ulaji/Rushwa/ utaratibu ndani ya chama ni dhahiri mnataka kutoboana macho wenyewe na itafika ile ya "Tukose wote".

CCM ambaye hakutumia Rushwa hata kidogo ni aliyepata kura 0. Hakuna mjumbe hata mmoja wa CCM aliyepata kura moja (1) bila kuinunua/kuilipia. Nimuombe tu mwenyekiti wa CCM na kina Polepole Waache mfumo wa ndani ya chama utamalaki kama ilivyo kawaida. Otherwise mtakuja kunikumbuka.
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
38,329
2,000
Unajua waliotumbuliwa kweli? Sasa nikueleze kitu ndugu, CCM ya Magufuli inaweza kufanya kosa la karne na ikajutia. Mfumo/ mifumo ya CCM inaendeshwa kwa Rushwa na Ulaji (hata wajumbe wanajua na kula yao ndipo ilipo). Sasa mkiwaengua ambao walitumia ulaji/Rushwa/ utaratibu ndani ya chama ni dhahiri mnataka kutoboana macho wenyewe na itafika ile ya "Tukose wote". CCM ambaye hakutumia Rushwa hata kidogo ni aliyepata kura 0. Hakuna mjumbe hata mmoja wa CCM aliyepata kura moja (1) bila kuinunua/kuilipia. Nimuombe tu mwenyekiti wa CCM na kina Polepole Waache mfumo wa ndani ya chama utamalaki kama ilivyo kawaida. Otherwise mtakuja kunikumbuka.
Mhhh
 

Chipoku

Senior Member
May 19, 2011
147
225
SI
Watumishi walichopoteza ni mshahara wa July tu,
SIO MSHAHARA WA JULAI TU KAMA BARUA YA MAAGIZO ILIVYOELEKEZWA ; BALI HATA AGOSTI NA INAWEZEKANA NA SEPTEMBA NA DESEMBA MKUU.....SABABU AGOSTI HAWAJAWEKWA NA NDUMBARO YUKO SILENCE. KUNA BAADHI YA WIZARA NA OFISI KAMA TAMISEMI, HABARI , WAZIRI MKUU NK HADI POSHO ZA NDANI WALIZOFANYIA KAZI PIA WAMENYIMWA WAKATI NI HAKI ZAO !
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom