magufuli

  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Siwezi kudanganya watumishi wa umma kuwa nitawapandishia mishahara!

    Hayo ameyasema Leo akiwa mkoani Mara kwenye kampeni za kuomba kuchaguliwa kwa miaka mitano ijayo. Ahadi hii imeniacha na maswali mawili Kama ifuatavyo: 1 Je huyu mgombea anawachukuliaje watumishi wa umma? Huwaona Kama wanaokula bure?, au makondoo tu wasio na lolote.! 2 Nini mtazamo wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Makongoro na Madaraka Nyerere mnaishi Butiama lakini wajumbe wamewapa kura 5 na 2, Tungewasaidiaje?

    Rais Magufuli amewapongeza watoto wa baba wa taifa Makongoro na Madaraka kwa kuelewa demokrasia na kutolalamika baada ya uteuzi wa wagombea ubunge kufanywa. Dkt. Magufuli amesema Makongoro na Madaraka hawaishi Mtwara wala Dsm bali wapo hapo hapo Butiama lakini wajumbe waliwapa kura 5 na 2, sasa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hii hapa hotuba ya Tundu Lissu Dodoma, ambayo Magufuli ameamua kumjibu akiwa Musoma.

    ..hotuba ya Tundu Lissu akiwa Dodoma. ..sikujua kuwa amerusha makombora makali kumlenga Magufuli. ..baada ya kuisikiliza nimeelewa kwanini Magufuli amezungumza vile akiwa Musoma.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wafanyakazi msidanganywe serikali imepandisha mishahara kwa kupandisha madaraja na kupunguza kodi ya PAYE

    Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE. Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka. Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mwambieni Magufuli kwenye kampeni tunaahidi mapya ya kufanya sio kuzungumzia uliyoyafanya

    Ukifungua television bila kujua kama kuna kampeni unaweza kudhani ni hotuba za kawaida za JPM na sio kujinadi ili kuomba kura. Ulituahidi tukakupa miaka 5 ambayo tumeyaona hatuhitaji kuambiwa .Sasa tuambie tukikupa miaka mngine utafanya nini sio kujinadi na yale uliyoyafanya. Ya 2015-2020...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli anapoomba tumchague kwa miaka mingine mitano tusisahau pia

    Utawala wako Rais Magufuli Yangu 2015 Hadi Sasa unapofikia miwshoni kabisa, Tulioyashuhudia sio tu Ni maajabu, lakini ni Maangamizi ya Taifa letu kuanzia misingi yake mpaka kesho yake. Kwa uchache tujikumbushe maajabu ambayo yameshatokea na hatajawai kuyashuhudia. 1. Watu Takribani 400...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mafanikio haya, Magufuli kuchukua kura zote Mkoani Shinyanga

    Na Baraka Mina. Waingereza wanasema “Seeing is believing” yaani “kuona ni kuamini”. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari John Pombe Joseph Magufuli siku ya leo (03/09/2020) majira ya tano asubuhi kwenda saa sita mchana atakuwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndo tofauti kati ya serikali zilizopita na hii ya Magufuli

    Tundu Lissu amekuwa akizungumza kuhusu mapungufu ya serikali za CCM zilizopita lakini hakuacha kutoa credit kwa watawala waliopita hasa kwenye kuhangaika kunusuru wananchi kipindi cha Majanga, hii ni kuanzia nyakati za baba wa Taifa ambaye hakuacha watu wafe kwa njaa kisa ukame ni janga la...
  9. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli kakosea sana kampeni zake mkoani Mara. Je, haujui mkoa ule au hapendi watu wake?

    Salaam wana JF... Jana tarehe 04.09.2020 nikiwa nimetulia sehemu nilibahatika kufungulia TBC1 na kukuta kampeni za Dkt. Magufuli akiwa mkoani Mara. Muda wa alasiri, alikuwa Bunda, badae akapita na kusimama Kiabakari, ni eneo la mnada wilayani Butiama. Leo najua atakuwa na mkutano Musoma mjini...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii wa Magufuli ni kama wachawi wa Farao, kamwe hawatofua dafu

    Musa alikwenda na Meseji Moja tu kwa Farao, nayo ni "Let my people Go". Farao akashupaza shingo, akaangalia majeshi yake akaona hakuna mfalme kama yeye duniani. Akaangalia wachawi wake, akasema yeyote atakeyukuja kwa hawa magwiji hatofua dafu. Lakini sote tunafahamu mwisho wa kilichotokea...
  11. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Hali ya uchumi wa kati wa Tanzania na rekodi saba za kimataifa zilizowekwa chini ya uongozi wa Rais Magufuli

    ~Na David KAFULILA. email: davidkafulila0@gmail.com 02 Septemba 2020. Julai 1, 2020, ni tarehe itakayokumbukwa katika historia ya Tanzania. Ilikuwa tarehe ya kwanza ya utekelezaji wa Bajeti ya mwisho ya Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Utawala wa Rais JOHN MAGUFULI; na muhimu zaidi, ni siku...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Sera ipi inatekelezeka kati ya Wali kuku kwa watanzania (Hashimu Rungwe) VS Tanzania kuwa kama Ulaya (Magufuli)

    Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha CHAUMA, Hashimu Rungwe amejikita katika ahadi ya kuhakikisha watanzania wanapata lishe bora kwanza, wali-kuku imekuwa ndio kibwagizo chake, na amekuwa akijitahidi kulitekeleza hilo kwa vitendo kwenye kampeni zake kwa kuleta kweli wali na kuku, na wananchi...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli hii ya Magufuli ya kuongezewa miaka 5 inaashiria kakata tamaa?

    “Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27, akaja Mwinyi mkampa miaka 10, akaja Mzee Mkapa (Mungu amlaze mahali pema) mkampa miaka 10, amekuja Kikwete mkampa miaka 10, Mimi nina dhambi gani mnataka mnipe miaka 5 tu!?, nawaomba nipeni miaka mingine 5 zaidi”-JPM
  14. JamiiForums Tanzania Rais na Mwenyekiti wangu Dkt. John Magufuli kamwe usikubali hizi 'Sifa za Kilaana' unazopewa na Viongozi wa Dini hasa wakiwa 'Wanakuombea' mbele yako

    Sina shida na Wewe katika 'Utendaji' wako na unajitahidi japo 'Kibinadamu' bado kuna maeneo mengine hujaweza 'Kukamilisha' na pengine Watanzania tunaokuamini na hata wale waliokuwa hawakuamini nao kwa pamoja katika Uchaguzi huu Mkuu ujao wa tarehe 28 Mwezi Oktoba tukikupa tena 'ridhaa' zetu na...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli azindua Kampeni Maswa Mkoani Simiyu akielekea Bariadi

    Muda huu mgombea wa urais wa JMT kupitia CCM Dr Magufuli anaendelea na kampeni mkoani Simiyu na tukio liko mubashara TBC na Channel ten karibu. Up dates; Dr Magufuli yuko uwanjani na sasa viongozi wa dini wanasoma dua katika mpangilio wao. Picha : MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu anaporomosha wafuasi wa Magufuli kila saa kila siku kwa kasi ya ajabu, JK anaingia rasmi ulingoni kupambania jahazi

    Magufuli alijiamini sana kuwa mwaka 2020 atapata mserereko, tulimuonya kuwa tunapanga jeshi huko porini na siku likiingia field patatawanyika. Tukawaambia wafuasi wa CCM kuwa mwenendo wanaoenda nao kwa awamu hii ndiyo mwenendo mbaya zaidi kuwahi kuwepo Tanzania tangia enzi ya ukoloni ila...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

    Turn and watch now. Mgombea Urais wa Chadema Ndugu Tundu Lissu alipata fursa ya kuhojiwa na Mwandishi wa habari Bi. Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kinachofanywa na kituo cha televisheni cha ITV ambapo aliongea mambo yafuatayo: Mwandishi wa Habari: Kwanini unataka kuchguliwa kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Wanaweza kutoza mpaka kodi ya kuzaa

    Hayo ndiyo maneno ya Tundu Lissu leo. Amewaasa watanzania wawe makini kwani kwa lundo la kodi alilotoza Rais Magufuli basi upo uwezekano ikiwa atarudi madarakani akatoza mpaka kodi ya kujifungua. "Tabora hakuna Bodaboda ambaye hajanyang'anywa hela na Polisi, naambiwa ukipark pikipiki 500...
  19. JamiiForums Tanzania Magufuli hastahili hata kulegeza lijamu ya Jakaya Kikwete. Yuko Chini sana, Kikwete ni level nyingine

    Huu ni mtazamo wangu binafsi kama mtu ambaye ninaamini kwamba kila ninachowaza ni sahihi Kipimo cha Ubora wa Kiongozi sio vitu kama madaraja,barabara,nyumba etc.Hivyo nivitu viddogo sana ambavyo vinafanywa na wataalamu wa maeneo husika cha muhimu ni PESA ziwepo. Kipimo cha Kiongozi yoyote yule...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 'Charisma' ya Tundu Lissu itazidi kumpa shida sana Magufuli na CCM kwa ujumla

    Charisma - compelling attractiveness or charm that can inspire devotion in others. Kwa tafsiri ya kiswahili, Charisma ni ule mvuto mtu anaokuwa nao mpaka unatamani kama anaongea aendelee kuongea. Katika siasa Charisma ni kitu cha umuhimu sana, kama huna Charisma, huwezi kuvutia watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…