Dkt. Magufuli amewataka wananchi wa Makambako wamchague Mgombea Ubunge wa CCM Jah people kwa sababu kwenye ubunge hatuchagui degree bali mtu.
Dkt. Magufuli amesema Jah people salamu yake ni Kidumu chama cha mapinduzi hivyo wakimleta bungeni wataelewana ila wakimleta yule anayesalimia kwa alama...
Kwanza nakupa pongezi kwa kazi kubwa uliyoifanya kwa miaka mitano ya kutujengea miundombinu ambayo itakapokamilika itakuwa nyenzo nzuri ya maisha kwa wananchi wa kawaida ambayo kwa sasa wengi wao wanajifanya hawaioni, mladi kama bwawa la mwalimu nyerere utakaopunguza gharama za...
Mgombea urais wa CCM, Magufuli anadai kwenye kampeni kuwa atashinda Uchaguzi. Je, anatumia kigezo gani?
Kwenye mikutano yake ya kampeni anawaambia wananchi kuwa wamletee Diwani na Wabunge wa CCM eti yeye atashinda tu, Je, anatumia kigezo gani?
Anadiriki kuwaambia kuwa wasipochagua wabunge wa...
Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu.
Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
Uwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa 1976.
Ni kampeni za kihistoria, karibu.
==========
Updates;
MIGORI, IRINGA
LUKUVI: Tunaomba kawilaya, utawala ni mgumu sana. Wasiwe wanawafata wakurugenzi, wakuu wa wilaya kilomita 125. Namuombea...
Ujenzi wa Chuo Kikuu Chato ungekua na justification ya kupeleka fursa ya elimu kwa watu wa ukanda wa Geita, Kagera mpaka Kigoma. Hili hata bungeni lingepita kirahisi na isingemletea kashfa.
Chuo kikuu kinakusanya wanafunzi, hii huleta mzunguko wa hela kwa biashara hasa kwenye malazi, chakula...
Habari za wakati huu;
Tunapoelekea kufanya uamuzi iwapo John Magufuli anafaa kupewa miaka mitano hebu tuitazame historia yake katika masuala ya Jinsi na Jinsia hasa mtazamo na misimamo yake kwa wanawake.
Swali la kujiuliza ni ipi nafasi ya wanawake katika UTAWALA wa Rais Magufuli? Je, hali na...
NEC imemuita mmoja wa wagombea Urais kutoka chama fulani cha upinzani kumhoji juu ya kauli zake kwenye kampeni za uchaguzi, hivi kwanini hatujasikia NEC ikimuita na kumuhoji Rais Magufuli pale alipowataka wakurugenzi wasitangaze wapinzani hata kama wameshinda?
Iwe ameshinda au ameshindwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. John P. Magufuli lazima abadilike. Lazima awe mpya. Hawezi tena na kamwe kubaki alivyo. Anapaswa kujirudi; kujitathmini; kujiangalia na kuwaangalia watanzania wake na kujiuliza bila kujiliza...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi...
Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa.
Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria.
Rip Mlelwa
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu wa mkoa wa Njombe...
Habari za leo watanzania wenzangu, Natumai mu wazima wa afya njema.
Leo nitatoa orodha ya watanzania watakao mpigia kura Magufuli siku ya oktoba 28. Naomba ufuatane na mimi ili upate kuelewa vizuri kama hujui. Basi yafuatayo ndio makundi ya watu hao.
1. Watu wenye akili timamu, wanaojua...
Na Emmanuel J. Shilatu
Kama ambavyo Watanzania tunavyomkumbuka Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kusaidia ukombozi wa upatikanaji wa uhuru ama kama ambavyo Hayati Moringe anavyokumbukwa kwa mapambano ya ubadhirifu wa mali za umma, pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameahidi kuwa akishinda nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu, Serikali atakayoiongoza itafuta sheria zote zinazominya uhuru wa habari na haki za kiraia zinazotumiwa na Serikali iliyopo...
Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea leo wala kesho na zaidi wataishia kukushangaa tu na hii ni kwasababu wamekariri.
Tunachosau wanadamu wengi ni kuwa,katika huu ulimwengu ambao umekuwepo kwa mamilioni ya miaka...
MUNGU AMEMPA KURA LISU, JE WEWE UTAMPA NANI?
Na, Robert Heriel
Hata Mungu hufanya uchaguzi, Hata Mungu hupiga kura. Sio mwanadamu peke yake apigaye kura, hata Mungu Muumba wa Mbingu na ardhi hupiga kura.
Katika Historia ya Biblia wapo watu kadhaa waliopigiwa kura na Mungu miongoni mwao ni...
Mgombea urais wa JMT kupitia upinzani mzee John Shibuda amesema vyama vingi vya upinzani vimekwama kuendelea na kampeni kwa sababu ya ukata.
Kadhalika Shibuda amemtaka Rais Magufuli kuwatumbua wasimamizi wa uchaguzi waliovurunda wakati wa uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani.
Chanzo: ITV...
Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo.
Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie...
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele.
Ukuaji wa pato la taifa kutoka sh trilioni 53 mwaka 2015 hadi sh trilioni zaidi ya 120 mwaka huu wa 2020 ni jambo la kujivunia ambalo ni lazima tulienzi kwa kumpa Dr Magufuli mitano tena.
Tundu Lisu atapewa kazi...
Hili tumekua tukilisema sana humu mara nyingi.
Sababu kubwa Rais Magufuli kushindwa na Wapinzani tena kwa kura nyingi sana ni Ugumu wa maisha aliousababisha yeye na serikali yake. Watu wote nchi nzima wanalia na maisha magumu mzee hasikii kabisa.
Mzee amekimbilia kuanzisha miradi mikubwa...