Kwa wale mliokua mnapenda hesabu darasani. Magufuli amechaguliwa na watanzania 12.5 million. Watu katika daftari la wapiga kura waliojiandikisha Tanzania nzima 29.8.
Roughly ni kua 42% ya watu wooote wenye vitambulisho vya kura ndio wamemchagua Magufuli.
Hii figure mnaionaje wananzengo?
NB...
Kama tunavojua Rais wetu mpendwa ni Rais msikivu na mchapakazi, kila alichoahidi anajitahidi kukitekeleza, aliahidi kufikia 2020 Upinzani utakuwa umekwisha Tanzania, watu wengi hawakuelewa atatumia njia gani, wengine walivyoona watu wanahudhuria mikutano ya kampeni ya upinzani walibeza kuwa...
Nawasalimu, amani iwe juu yenu wanajukwaa!
Naapa kwa aliyeumba, huyu ataenda kuwa Rais ambaye atavunja historia tangu nchi hii ipate uhuru watu wataishi katika Chuki na visasi vya hapa na pale. CCM kitakua ndicho chama kitakachochukiwa na watu wote katika jamii na hata wao watachukua na wenyewe...
Chaguo la watanzania katika ulimwengu wa roho ni Rais Dokta.Joh Pombe Magufuli.
Katika ulimwengu wa rohoni watanzania mlimchagua Magufuli toka Jk akiwa madarakani..
How? Majibu haya hapa.
Hivi ndivyo ulimwengu wa rohoni unavyo fanya Kazi. Nitaelezea Kwa mifano moja Kwa moja.
1. MAMA WA...
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Acheni niseme ukweli hata kama utanigharimu ila kikubwa nafsi yangu irizike.
Kuna mambo mengi mazuri yasiyoelezeka yamefanywa na huyu rais kwa muda mfupi wa miaka mitano ila amekuja kuharibu sehemu moja tu kwa muda wa siku chache.
Na ndio maana unaweza ukafanya...
Hii ndio Demokrasia ya Tanzania🇹🇿. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini.
Bunge liapishwe, katiba ibadilishwe, Magufuli awe rais wa maisha Kama yule wa China.
Tuvunje uhusiano na mabeberu wa magharibi, sisi Ni nchi tajiri wala hatuhitaji kusaidiwa.
Tupige marufuku...
Kwasasa ni dhahiri CCM imedhamiria kushinda majimbo yote ya uchaguzi Tanzania Bara uwe ushindi halali au haramu. Hii ina maana kuwa lolote atakalotaka rais Magufuli pamoja na serikali yake halitapata mkwamo wa namna yoyote ile bungeni.
Tujiandae kwa mabadiliko ya Katiba kumuwezeha Magufuli...
Mzee wangu, nakusalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo na Amani iwe nawe huko uliko.
Mimi ni kijana wako mdogo sana ambaye sistahili hata kushika gidamu ya viatu vyako wewe uliye mkuu wa nchi kubwa kama hii ya Tanzania. Huwa napingana na wewe kwenye mambo mengi sana na nakurushia vijembe...
MATOKEO - LIVE:
Wakuu,
Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa.
Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura)
1...
bunge
ccm
chadema
ded
kampeni
kura
lissu
maendeleo
magufuli
matokeo
mshindi
rais
rais magufuli
tanzania
tundu lissu
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2020
upinzani
urais
ushindi
vyama
vyombo vya habari
watanzania
zitto
Waheshimiwa:-
Dkt. John Pombe Magufuli
Adv Tundu Antipas Lissu
Maalim Seif Sharif Hamadi
Dkt. Hessein Ally Mwinyi, na
Wengine - Salaam za 28/10/2020!!!
Kwa niaba ya wapenda amani, haki, usawa, maendeleo na maridhiano nimeandika uzi huu kwa ajili ya kuwapongeza sana sana kwa kushiriki kampeni za...
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care.
Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care
Ninachosema ni kwamba ashinde asishinde,aibe kura asiibe ajue kuwa kati ya kura zote zitakazopigwa ya kwangu haitakuwepo...
RAIS Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kutumia utashi wao kuchagua viongozi wanaowafaa, watakapokwenda kwenye vituo vya kupigia kura kesho.
Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa msikiti uliojengwa katika Wilaya ya Chamwino jijini Dodoma, aliwataka Watanzania kuhamasishana kwenda kupiga...
Licha ya kwamba Rais Magufuli hajafanya vizuri katika suala la ajira ila binafsi bado nna Imani naye kuelekea tarehe 28/10/2020 hivyo anastahili kupewa miaka mitano tena katika utawala wake.
Kafanya mengi mazuri yakujivunia ukilinganisha na suala zima la uhaba wa ajira nchini.
Ni ukweli...
Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono. Ushindi wake utakaribia asilimia 80...
Lissu atapigiwa kura na watu wengi vilevile lakini ana kazi...
Sisi kama Raia wema tuna wajibu wa kukumbushana pale tunapoona Taifa letu pendwa linataka kudidimia kutokana na Uroho wa madaraka wa baadhi ya wagombea ambao tayari wako madarakani.
Rais Magufuli bado ni Amir Jeshi Mkuu mpaka hapo tar 28 siku ya uchaguzi na mpaka kuapishwa kwa Rais mpya tar 30...
Wasalaam wanabodi,
Kampeni za uchaguzi mkuu zinaelekea ukingoni siku mbili zijazo nchi nzima. Tumeona Kila mgombea akijinadi kwa style yake na upekee kulingana na malengo na mikakati thabiti waliyojiwekea.
Chama tawala CCM walianza kwa kishindo kikubwa pale dodoma na kuonesha ukubwa wa idadi ya...
Rais Magufuli amefungua msikiti wa kisasa unaoitwa Abubakar Bin Zuber Chamwino Dodoma leo.
Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Vyombo vya Dola akiwemo CDF Mabeyo, IGP Sirro, Mkurugenzi wa TISS, Diwani na makamanda wa JKT waliojenga msikiti huo.
Source: Channel Ten
Maendeleo...
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Magufuli amesema kitendo cha Waziri Mkuu wa awamu ya tatu, Fredrick Tluway Sumaye na Mbunge mteule wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul kuondoka CCM na kuhamia upinzani ni sawa na kushikwa na mapepo lakini sasa roho mtakatifu amewashukia...
Wananchi tumemuona ndani ya hii miaka hii 5 ya utawala wake kuwa ni mtawala ambaye hawasikilizi wananchi wake wanataka nini na analoamua yeye ndiyo huwa.
Tujikumbushe maneno ambayo amewahi kuyatamka katika utawala wake wa kipindi hiki cha miaka 5.
Ati sisi wananchi hatuna uwezo wa kumpangia la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.