magufuli

  1. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Urais, USA - 2020: Anavyopigwa Donald Trump (R) katika Ballot Box, ndivyo ambavyo alikuwa anapigwa John P. Magufuli (CCM)..

    Mfanano wa chaguzi hizi mbili: 1. Wote, Donald Trump (Republican) na John Magufuli (CCM) ni incumbent presidents waliokuwa wanatetea nafasi zao.. 2. Wote ni maRais wasema ovyo na wasiopenda kulaumiwa kwa makosa yao.. 3. Wote ni wapenda sifa na wakati mwingine kutaka sana kupenda...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, Bunge letu jipya linalokwenda kuundwa hivi karibuni baada ya uchaguzi Mkuu, lina hali mbaya sana ya kuwa liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni. Swali ni Jee NEC, Rais Dr. Mwinyi na Rais Dr. Magufuli wataingia huruma na...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Vipaumbele vya Rais Magufuli ni vipi baada ya kuapishwa?

    Jana tarehe 05/11/2020 kwenye hutoba yake fupi sana Mheshimiwa Rais John Magufuli, alisema jambo moja tu, tunaenda kukabiliana na ufisadi. Ndugu wananchi ni lini Rais atatoa hutuba ya Taifa ya dira ya miaka mitano?
  4. 2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi ndiyo sababu zilizompa Dkt. Magufuli ushindi wa kishindo

    Kwanza natoa pale kwa upinzani hasa CHADEMA kuwa uchaguzi huu sio kama 2015 ambapo kila mtanzania alikuwa amechoshwa na CCM. Na kila raia alikua tayari kwa lolote ikisubiriwa kauli tu kwamba sasa tuingie barabarani tukichafue. 1. Baada ya Magufuli kuingia 2015 akafuta kazi migambo wote. Hapa...
  5. Magazetini

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hafla ya kuapishwa Dkt. John Magufuli kuendelea na Awamu ya Pili ya Urais wa JMT uwanja wa Jamhuri, Dodoma 05 Oct 2020

    Leo November 5, 2020 anaapishwa Dkt. John Magufuli kumalizia Muhula wake wa mwisho kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi uliofanyika October 28 mwaka huu. Wageni kadhaa wameshafika akiwemo Rais wa Uganda, Yoweri Museveni. Kuwa nami kukujuza...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika zoezi la kumuapisha Rais mteule Dkt. Magufuli katika uwanja wa Jamhuri Dodoma

    Rais Magufuli anaapishwa leo katika sherehe itakayohudhuriwa na viongozi wa nchi zaidi ya 20 na mabalozi zaidi ya 80 kutoka sehemu mbalimbali duniani. Updates: Rais Magufuli ameshakula kiapo kiapo na na kuweka saini. Makamu wa Rais mama Samia naye ameshakula kiapo na kusaini. Sasa Rais...
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli wewe ni Rais wetu sisi sote Watanzania. IGP Sirro hafai ukiapishwa teua IGP mwingine

    Mimi ni Mwana CHADEMA ila msema ukweli na ukweli unampa mtu uhuru. Uchaguzi umeisha ila tumeshuhudia mambo mabaya sana hasa huko Zanzibar Pemba. Tumeshuhudia picha za maiti zikiwa zinatisha na ndugu wa marehemu wakisema ndugu zao waliuliwa na polisi. Kwa jeshi linalofanya kazi kwa weledi sisi...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Viongozi 20, Balozi 83 kushuhudia kuapishwa Rais Mteule Dkt. Magufuli

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema maandalizi ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule John Pombe Magufuli yamekamilika na yatahudhuriwa na viongozi mbalimbali takribani 20 wakiwemo marais watatu wa Uganda, Comoro na...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Balozi wa USA nchini amtaka Rais Magufuli achukue hatua zaidi ya kuwaachia Mbowe na wenzake

    Mbali na kuachiwa viongozi wa upinzani bado Marekani imetaka hatua za mapendekezo yake yote kuchukuliwa. Soma alichotoa Balozi wao nchini:
  10. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magufuli asipochunga atarudisha Tanzania nyuma

    The Tanzania elections were not free and fair. From pre-election intimidation of the opposition, to ballot staffing, media gagging, lack of transparency in vote counting. Magufuli did not have to do all this just to get a higher victory margin, he would have won fairly with a smaller margin...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: JWTZ ni Jeshi la Wananchi, si Jeshi la Watawala wala Viongozi!

    HAPPY BIRTHDAY MWALIMU JKN. Hayati Baba wa Taifa, leo 13/4/2019 angetimiza miaka 97 ya kuzaliwa. Alizaliwa tarehe ya leo mwaka 1922. Niandike jambo moja kama kumbukizi na kumuenzi. Mwaka 1985, wakati anastaafu, alihojiwa na chombo kimoja cha habari. Akaulizwa ataje jambo moja lililomsikitisha...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hafla ya kuapishwa Rais mteule Awamu ya Nane, Dkt. Hussein Mwinyi Uwanja wa Amaan

    Leo Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anaapishwa kuyatwaa Rasmi madaraka ya kuingoza Zanzibar akimrithi Dr. Ali Mohamed Shein. Kwa sasa tayari wananchi na viongozi wameshawasili ikiwemo marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Dkt. Jakaya Kikwete. ======= 3:35 Asubuhi: Amewasili mkuu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. John P. J. Magufuli, Hongera CCM: Ushindi wenu ni ishara ya mapenzi ya watanzania juu yenu

    Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru. Magufuli 5 tena, Ndio neno lilojema, Tumaini lipo tena, Kazi ndio wetu wema. Haki uhuru na amani, Ndizo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Maalum kwa Dkt. John Magufuli, Rais Mteule wa Tanzania

    Ndugu Rais, nakusalimu. Awali ya yote ninakupongeza kwa dhati kabisa kwa kuchaguliwa kwako kwa kishindo kuingoza tena Tanzania kwa miaka mingine mitano. Ushindi huo sio bahati mbaya. Watanzania wameridhishwa na uongozi wako unaoacha alama. Ndugu Rais, ninaomba niende moja kwa moja kwenye hoja...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli na Mama Samia Suluhu Hassan kuapishwa kuwa Rais na Makamu wa Rais katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Novemba 5, 2020

    Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Magufuli ataapishwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Novemba 5, 2020, hafla itakayohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa. Wananchi wanaopenda kuhudhuria wanakaribishwa kufika uwanjani kabla saa 1 asubuhi. Dkt. Magufuli wa...
  16. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

    UPDATES: 05:55 Asubuhi: Viongozi wa vyama vya ACT na CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe wanaingia kwenye ukumbi ambapo watafanya mkutano na waandishi wa habari. MNYIKA: Viongozi wakuu wa vyama vyetu tumekuwa kwenye vikao vya mashauriano na vimeendelea leo asubuhi...
  17. Richard

    JamiiForums Tanzania President Kenyatta lead on congratulating Tanzania's John Magufuli on his re-election

    President Uhuru Kenyatta on Saturday sent a message of congratulations to his Tanzanian counterpart John Pombe Magufuli following his re-election in the just concluded General Election. The President said Magufuli's election win demonstrates the deep love, confidence and trust the people of...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. John P. J. Magufuli, Hongera CCM: Ushindi wenu ni ishara ya mapenzi ya watanzania juu yenu

    Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru. Magufuli 5 tena, Ndio neno lilojema, Tumaini lipo tena, Kazi ndio wetu wema. Haki uhuru na amani, Ndizo...
  19. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hongera Dkt. Magufuli kwa ushindi wa kishindo. Tuliyoyaona kwenye kampeni tujifunze

    Nichukue Fursa Hii kukupongeza Dokta John Joseph Pombe Magufuli kwa ushindi wa Kishindo wa 84% ya kura zote. Nikupe pole kwa uchovu wa hekaheka za kampeni kwa Siku 60 wakati pia ukitekeleza majukumu ya Urais. Niwashukuru pia wananchi kwa kukuamini na kukupatia awamu ya pili ya miaka mitano...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Si Magufuli, si Humphrey Polepole waliojaribu hata ku-tweet kushukuru wapiga kura au kusherehekea ushindi mpaka sasa

    Kama nilivyosema katika uzi wangu wa asubuhi ya leo,mpaka muda huu viongozi hawa wako kimya kabisa licha ya Magufuli kutangazwa mshindi wa kitu cha urais. Inawezekana chama kinajiandaa kutoa tamko rasmi wakati wowote ule, ila bado nilitarajia kutokana na furaha ya ushindi, mmoja wa viongozi...
Back
Top Bottom