magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Je, hii 'Leadership Style' / 'Management Style' ya Rais Dk. Magufuli 'ikihamia' katika Ofisi nyingi hakutakuwa na 'Ufanisi' mkubwa?

    1. Kutoonyesha anampenda sana fulani 2. Kutopenda Makundi baina ya wale aliowateua 3. Kutopenda Kutabirika na Wanaomzunguka 4. Kutopenda Kusomeka kwa haraka na Wateule wake 5. Kufuatilia Nyendo za Wateule wake ili kama ni mbaya anawaonda upesi 6. Kumchana Mtu waziwazi hata kama ni Rafiki yako /...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Rais Magufuli. Hakuna haraka yoyote ya kuunda Baraza la Mawaziri. Prof. Kabudi na Dkt. Mpango wanatosha kwa sasa!

    Nakubaliana kabisa na Rais Magufuli kwamba kwa sasa wizara zisimamiwe na makatibu wakuu chini ya usimamizi wa Waziri mkuu mh Majaliwa. Maswala ya ulinzi na usalama wa ndani yaendelee kusimamiwa na CDF Mabeyo na IGP Sirro wanaoripoti moja kwa moja kwa Amiri jeshi mkuu. Mambo muhimu ya Fedha na...
  3. JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Mungu ndiyo humtoa mtu jalalani sio Rais Magufuli

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi amefafanua vizuri kauli yake ya kutoka jalalani mpaka kuwa Waziri. Ikumbukwe hapo awali wafuasi wa CHADEMA kwa upofu wa kutokujua neno la Mungu nikimaanisha Biblia wengi walisema kwamba, Prof. Kabudi alimaanisha...
  4. JamiiForums Tanzania Mliobobea katika 'Saikolojia' na 'Maono' kwa 'Msisitizo' wa 'Kauli' ya Rais Dkt. Magufuli mnamwambiaje 'Prime' Majaliwa?

    "Huna hakikisho la kuwa hapo kwa miaka mitano" "Acha kudhani kuwa ni mwenye bahati kuliko wengine" "Hata Mkeo nae ajiandae Kisaikolojia kama usipodumu hapo" "Nilipokuwa naapishwa alinitumia Meseji ya Pongezi na wala sikumjibu ili asije kudhani kuwa bado atakuwa Waziri Mkuu" "Umesema Mkeo...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
  6. JamiiForums Tanzania Mch. Josephat Gwajima: Maeneo mengine hatukuhitaji kupiga kura ili kushinda bali kutaja jina la John P. Magufuli tu, kura zilipatikana

    Hata hatujafika mbali sana, tayari wanaanza kusema waziwazi wenyewe mbinu haramu na za wizi wa kura walizotumia kushinda uchaguzi huu. Katika video hii inayomwonesha mbunge mpya wa CCM - Jimbo la Kawe - DSM, Mch. Josephat Gwajima kuanzia dakika ya 8:50 ukitazama na kumsikiliza bila kujua ana...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli kulihutubia Bunge na kuahidi kuwa katika kipindi kijacho ataimarisha Demokrasia, maneno hayo yanatoka moyoni mwake au ni usanii?

    Nianze mada yangu kwa kutoa tafsiri ya neno Demokrasia, ni serikali ya watu iliyochaguliwa na watu katika uchaguzi ulio huru na wa haki Hata hivyo Rais Magufuli ametoa tafsiri tofauti katika hotuba aliyotoa Bungeni Jana kwa kudai kuwa Demokrasia ni kuleta maendeleo na kuwataka viongozi Wa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wabunge msiogope kuikosoa serikali, Tukosoeni lakini ukosoaji wenu uwe na tija siyo ilimradi kukosoa tu!

    Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo. Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu. Huu ni ujumbe wa kijasiri sana...
  9. JamiiForums Tanzania US embassies in African countries and their history in inciting fear, violence, terrorism, and state instability

    As far back as 1990. The US embassies have been connected with a documented record of greediness which has caused blood shade in many countries particularly in African states in the name of democracy and human rights. Many of the global crises over the past few years – coming from Syria, Iraq...
  10. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

    Kwa sasa anaeongea ni spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anasema kikatiba wabunge wanaotakiwa ni 393 jumla na waliopo ni 359 wakisubiri wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi, wateule 10 wa Rais, viti maaum kutoka vyama vingine. Kwa sasa spika anamkaribisha Rais Magufuli...
  11. JamiiForums Tanzania CCM na Magufuli mmejifunza nini?

    Salaam.... Niseme tu kama kuna uchaguzi wa kibabe kuwahi kutokea basi ni huu. Ni mwaka huu ndo nimeiona IDARA ikitoa funzo kubwa sanaaa kwa CCM na baba mkuu... Wengi mtabeza ila ukweli ni kwamba hii naweza kuita oparation kubwa IDARA kuwahi kuifanya pamoja na kwamba imejaa udhaifu ila...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli ili TAZARA isife, ongea na China ili iunganishwe na Malawi kupitia Mbeya au Tunduma, na pia ipitie Morogoro na Iringa mjini!

    TAZARA haina hali nzuri. Na sababu kubwa ni kwamba utegemezi wa Zambia kwa TAZARA umepungua sana. Kwa sasa Zambia inaweza kupitisha mizigo yao sehemu nyingine zaidi ya Dar es Salaam, kutia ndaniMsumbiji na Afrika Kusini. Lazima tuseme ukweli Wazambia kwa sasa hawana shida sana na TAZARA, japo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Selemani Bungala (Bwege) asema Magufuli hakushinda kihalali. Atolea mfano wa aliyoshuhudia katika vituo viwili jimboni kwake

    Aliyekuwa mbunge wa Kilwa kusini ndugu Selemani Bungala (Bwege) , amesema kuwa licha ya yeye kukosa Ubunge lakini Uchaguzi uliokuwa na matatizo zaidi ni wa Urais. Amesema ameshuhudia yeye mwenyewe kwa macho yake katika vituo kadhaa katika jimbo lake ambapo kura halisi alizopata Magufuli...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bungeni: Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu, Bunge zima(Wabunge 350) wampigia kura za ndiyo

    Karibu Spika Ndugai amesoma Katiba kuelezea namna Waziri Mkuu anavyopatikana. Chanzo: ITV ======== Mpambe wa Rais tayari kawasili kwenye ukumbi wa bunge akisindikizwa na askari wa bunge akiwa amebeba bahasha yenye jina la waziri mkuu ajae. Baada ya spika Ndugai kuipokea amempa kazi katibu wa...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 ZANU-PF: Marekani achaneni na Tanzania ya Magufuli

    Chama tawala nchin Zimbabwe cha ZANU PF kimeitaka nchi ya Marekani kuacha kuingilia mambo ya Tanzania kwani nchi hiyo ni huru. Source: CRI kiswahili ======== ZIMBABWE ruling party ZANU-PF has called the US to stop issuing threats of imposing sanctions against Tanzania and not to interfere...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Katika awamu hii chini ya Rais mpya Malawi, Magufuli atumie fursa hii kutatua mgogoro wa mpaka kati ya Malawi na Tanzania

    Hili tatizo la mpaka kati ya Tanzania na Malawi hadi leo halijatatuliwa. Suala ni kwamba, kuna dalili za mafuta ndani ya Ziwa Nyasa, ambalo Malawi wanaliita Ziwa Malawi. Na suala la uwezekano wa mafuta lilizua upendezi mpya wa ziwa kwa Malawi wakasema kwamba mpaka kati ya Tanzania na Malawi siku...
  17. JamiiForums Tanzania Prof. Lumumba: Hongera Magufuli, hongera Watanzania

    Hizi ndio Salam za pongezi kutoka kwa Prof. Lumumba. Imani yake bado ni kubwa kwa Rais Magufuli
  18. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wake kwa ushindi uchaguzi mkuu. Amhakikishia kuendeleza uhusiano

    Namnukuu On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect @JoeBiden and Vice President-elect @KamalaHarris on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli za Sisi 'Wanasiasa' ndiyo muda mwingine zinatufanya 'Wananchi' wasituamini na waendelee kumpa 'Kura' Rais Magufuli na CCM yake tu

    Kauli ya Mwanasiasa GENTAMYCINE wiki Mbili zilizopita.... "Namalizia Kampeni zangu za Kupambana na Magufuli ila Uchaguzi Mkuu ukiisha tu naenda Kijijini Butiama Mkoani Mara Kutibiwa zangu Kienyeji kutokana na Matatizo makubwa sana niliyoyapata ya Kung'atwa na Mbwa Mkali wa Ziwani na Meno yake...
  20. JamiiForums Tanzania Akitoa hotuba wakati wa kuapishwa Dkt Magufuli. Je, mtazamo wa Museveni unahakisi ule wa wengi wa Marais wa Afrika juu ya demokrasia ya vyama vingi?

    Nimejaribu kumsikiliza Rais Museveni wa Uganda wakati wa kuapishwa kwa Rais Dr Magufuli ili kuelewa anasema nini hasa. Nakubaliana nae juu ya mambo manne aliyoyasema- liberation, prosperity, strategic security na brotherhood. Ingawaje hiyo strategic security sikuielewa vizuri. Pia alisema kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…