magari

  1. Tochuku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnatutishia watanzania na magari ya kipolisi na kivita, mnataka kumuua nani ama mtaweza kutuua wote ?

    Je mutaweza kutuua watanzania milioni 50+? Sasa mbona hata hio ni ujumbe tosha hata wapiga kura wasiende kupiga kura.. Huu ni uchaguzi ama vita Free Polepole Free Heche Free Mdude
  2. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Haya magari mapya ya polisi ni ya kivita kabisa. Yote haya ya nini?

    Leo nimeona Magari Magari kweli kweli ya jeshi la Polisi ni magari imara sana kukabiliana na Uhalifu. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wamebadirisha mfumo wa usajili wa magari kutoka Z123AB kwenda Z123ABC!

    Nadhani baada ya kuona namba zinakimbia (zimeshafika PG hivi) ZRA wameona isiwe shida. Tufanye kama wenzetu bara kwa kutumia herufi tatu kwenye usajili wa magari badala ya mbili. Zoezi ilo limeanza rasmi mwezi huu wa October na litakua endelevu kwa muda utakaotangazwa. Kwahiyo huko unaweza...
  5. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Nimejaribu kum search Mtoto wa Angela Kizigha kwenye mtandao unao track import/export ya magari. Mmh!

    Mtandao wa Singapore wa tradedata una taarifa lukuki kuhusiana na mambo ya trade na shiptments mbali mbali. Kwa wanaofanya biashara international wanautumia sana. Basi nimeweka jina la mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Angela Kizigha (mpambe mpendwa wa mama). Katika miezi ya hivi karibuni, ameingiza...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulega: Hata mkiyaona magari ya polisi yanapita msiogope, tokeni mkapige kura

    Mgombea ubunge wa Mkuranga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega "Serikali imejipanga vizuri kuhakikisha kwamba watu watakwenda watapiga kura kwa salama na amani, ukishamaliza kupiga kura yako rejea nyumbani subiri mambo mengine. Hata mkiyaona magari ya polisi yanapita...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukimya magari yenye alama zinazoendana na JWTZ, je raia wengine waige au ni maalum kwa Makonda tu?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amekuwa katika yadhifa za uongozi kwa muda mrefu sasa, kwa nafasi ambazo ameshika, anafahamu kwamba kuna mambo yanayohitaji mipaka. Kabla sijaendelea niweke wazi kuwa ni vizuri kwa kiongozi kuwa Mbunifu, lakini si vyema kuvuka mipaka kwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chaji simu yako, weka bando na usilale. Magari mengi yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Tesha's effect is really

    Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi. Sasa wewe lala upitwe!
  9. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je magari , ndege za kijeshi ni Mali ya chama tawala au imekaaje hii

    Nipo Arusha Leo kwa kweli inasikitisha Ñaona ndege za jeshi zimabandikwa stika za mama zinazunguka hapa zaidi ya saa na nusu hazijatua ziko hewani tu gari zinasomba watu kupeleka stadium kwenye kampeni Hali kwa sasa ni mbaya wananchi wengi wamekerekwa na Namna helcopter zinazunguka TU hapa...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Siku nilipogonganisha magari marafiki ugenini

    Kama kuna mtu ananipenda humu asinichikulie vibaya, yeye aendelee kunipenda tu. It is the past, very long time ago Amina na Ashura walikuwa wahudumu wa duka kubwa la Mpesa mkoani pale. First time nikamwelewa Amina lakini sikuwa nimemzoea na alikuwa mkimya sana kwa hiyo ilileta ugumu kupata...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mabilioni yanayotumika kugawa magari na vifaa kwa Polisi wakati huu, je, Serikali inaboresha na maslahi yao pia?

    Siyo siri moja kati ya majeshi ambayo naweza kukiri imani yake kwa Wananchi wengi ni kama imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matukio mbalimbali yanayowahusu nchini basi ni Jeshi la Polisi. Polisi wanahusiana na Wananchi moja kwa moja tofauti na majedhi mengine, inawezekana hiyo ikawa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yakabidhi magari 24 kwa Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma kuimarisha ulinzi na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025

    https://youtu.be/JBthEm_5Myc?si=xtKNiW05D4y7m1CG Serikali imetoa magari 24 kwa Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuongeza nguvu ya ulinzi na usalama katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo, hususan katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FFU wakabidhiwa Magari 8 na Mkuu wa Mkoa Mwanza kuimarisha Utendaji wa Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekabidhi magari 8 aina ya Toyotaland Cruiser 2 Hardtop na Toyota Hilux Double Cabin 6 kwa Jeshi la Polisi mkoani humo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3. Magari hayo yaliyokabidhiwa katika Viwanja vya Polisi Mabatini Jijini Mwanza, yatatumika...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya magari yamekuja na utapeli mpya wa features subscription!

    Makampuni ya magari (sio Japan, Ulaya, Asia wala America) wameanza kuleta utapeli flani na unazidi kushika kasi sana, wa features subscription. Yaani unanunua gari lina features kadhaa (moja wapo mfano iwe remote start), lakini hauwezi kuitumia hadi uwe unailipia kila mwezi au mwaka...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kutoa magari kwa wagombea ndiyo kunatumika kama kipimo cha usawa?

    Chama cha ACT Wazalendo kimefafanua sababu zilizopelekea kukataa kupokea gari maalum alilokuwa amekabidhiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa chama hicho Luhaga Mpina na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya makao makuu...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: Tunayo magari ya kutuwezesha kufanya kampeni nchi nzima, kwanini tuchukue gari la watanzania?

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina ameendelea kukazia msimamo wake na chama chake kukataa gari la mgombea urais lililotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) "suala la gari kama nilivyosema maelezo aliyoyatoa hapa Mwanasheria Mkuu ndio msimamo wa Chama chetu cha...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hasunga aahidi kuleta magari mawili kusaidia misiba akichaguliwa jimbo la Vwawa

    MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Vwawa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Japhet Hasunga, amesema akichaguliwa ataendelea kutoa huduma ya gari la kusafirisha miili ya marehemu wanaofariki dunia ndani ya jimbo lake ili kuwapunguzia gharama wafiwa. Aidha Hasunga amesema akichaguliwa tena ataongeza...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani magari kuungua moto kila kukicha?

    Kwa sasa nimeona kunaongezeko la magari madogo kuungua moto kila siku. Ndani ya wiki hii nimekutana na magari ya siyo pungua 7 yame ungua moto. Watalaamu shida nini kwenye haya magari ya sasa?
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania China wanataka kupiga marufuku “hidden door handles” kwenye magari, kwa sababu za kiusalama!

    Wakuu. Trend maarufu ya retractable door handles aliyoipa umaarufu bwana Elon Musk kwenye magari ya Tesla na kuigwa kila pande za dunia, baada ya kuonekana ina mapungufu mengi uko China wanaplan ya kuipiga marufuku. Lengo kuu la hidden door handles ni kupunguza drag coefficient, kwahiyo...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha: Magari ya wanaCCM yakiwa na rangi za kijeshi kama magari ya kivita kinyume na utaratibu

    Hii si imezuiliwa kisheria?
Back
Top Bottom