magari

  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Doto Magari Vs Mauki

    1. Wadau hawa wote (Doto na Dr Mauki) ni watu Maarufu nchini a.k.a Influencers. 2. Ukiniuliza mimi nani anastahili kupigiwa mfano kwa kupambana kimaisha na kuwa role model wa vijana naweza kusema tofauti na matarajio ya wengi. Nini maoni yako?
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani Mtu anajiita Msomi halafu inapita Mwezi au Miezi hajafungua hata Email yake ajue kuna nini, kwanini Dotto Magari 'asitudharau' tu na Kumnunia?

    Wasomi wengi sana tunakosa Fursa au Mawasiliano ya maana kwakuwa wengi Wetu hatuna muda wa hata tu Kuangalia / Kuchungulia kuna nini katika Emails zetu ( Inbox ), likiwa ni Suala muhimu sana Kimawasiliano hasa kwa Zama hizi. Wasomi wengi hizi Emails Addresses tumeziweka tu kama Pambo, ila huwa...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hii kauli Dotto Magari kuhusu Elimu. Anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria kwa kupotosha na kutukana umma

    Hi Great Thinkers. Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote. Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa yaanyowekezwa ili watu wasome. Bila elimu hata hilo gari analolinga nalo sidhani kama lingepatikana.
  4. shamimuodd

    JamiiForums Tanzania Kumbe Dotto Magari alikuwa Teja?

    GTs, Kijana anayetukana wasomi alikuwa Teja la unga, je kipato chake ni halali au ndiyo kawa pusher halafu anadanganya watu ana akili biashara imekubali? Nadhani mamlaka ya kuthibiti madawa wamtembelee
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dotto Magari atasababisha watoto wengi kukataa shule

    Habarini za asubuhi. Kama mdau wa elimu sipendezwi na hawa watengeneza maudhui wa mtandaoni ambao wamekua wakikashifu wasomi na elimu kwa ujumla. 1. Ni ukweli usiopingika kwamba wasanii wengi imeonekana wamefanikiwa kuliko wasomi walio wengi lakini haimaanishi elimu haina umuhimu kwa kizazi...
  6. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Iletwe pia SGR treni ya kubeba magari

    Katika maboresho ya SGR na kuongeza wigo wa huduma, ningeshauri iongezwe treni itakayokuwa inabeba magari madogo. Niliwahi kuona treni ya namna hiyo ikifanya kazi Ulaya. Imagine unasafiri kwenda mkoa fulani mfano kutoka Dar hadi Dodoma na unajua utakuwa huko kwa siku kadhaa na unajua katika...
  7. Brojust

    JamiiForums Tanzania Doto magari na wasomi, mamlaka kuweni makini

    Salaam wakuu! Najua huwa anafanya ki utani utani tu na huwa hamaanishi ila sijajua tunajenga kizazi cha namna gani, Amekuwa akipata endorsement kubwa nyingi kutoka makampuni mengi sana na kupata hela ambazo yeye anaona amekuwa Tajiri na kudharau wasomi. Kuna namna baadhi ya vitu anatakiwa...
  8. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Hawa Jamaa ni kweli wanatoa mikopo ya magari mtandaoni au ndio cheche?

  9. Dj ray

    JamiiForums Tanzania Agiza nasi IST New Model

    AGIZA NASI GARI YOYOTE, KUNA SHOWROOM YETU, PIA KWA WALE WANAOTAKA MAGARI YA MKONONI PIA UNAPATA. IST New Model 🔸Year 2009 🔸CC 1490 🔸Automatic 🔸Orange Color 🔸2 Wheel Drive 🔸Seating Capacity 5 🔹DVD Player 🔹Reverse Camera 🔹Side mirror indicators 🔹Back Spoiler 🔹Key to start 🔹Fog lights 🔹Steel...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Magari ya wasiojulikana yanapokosea direction

  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Chama cha wafanyakazi wa magari chawafungulia mashitaka Trump na Elon Musk

    Chama kikubwa cha umoja wa wafanyakazi wa sekta ya uzalishaji magari, ndege na mashine za mashambani wamewafungulia mashitaka Donald Trump na Elon Musk wakilalamika mazungumzo yao ya jana Twitter yalihusisha kauli za kudhalilisha, kutishia na kudhoofisha wafanyakazi wanaogoma kushinikiza...
  12. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  13. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu amtahadharisha Rais Samia, amtaka aache mambo ya ajabu baada ya Polisi kuzuia vijana wa BAVICHA

    Rais Samia usilete mambo ya ajabu ajabu ya Magufuli. Siku ya Vijana Duniani inasherehekewa duniani kote. Kwa nini mapolisi wako wanazuia vijana wa CHADEMA barabarani & kuwakamata? Matumizi ya mapolisi yalimshinda Magufuli, & wewe yatakushinda. Fungua barabara vijana waende Mbeya! Kwa vijana...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ndugu mlipa Kodi shuhudia jinsi Magari ya Serikali yanavyoendeshwa kwa vurugu huko huko Barabarani

    Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba Magari ya Wagonjwa yawe mengi kwa Mkapa Keshokutwa na Madaktari wakae Stand by Hospitali za Jirani na Kubwa Dar es Salaam

    Kwa nilichokipata tu kutoka somewhere huenda kuna wa Kuzimia kuwa Wengi au Kufa na Kuugua vibaya Keshokutwa.
  17. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa magari ya zaidi ya miaka kumi uongezwe hadi 40%

    Au mnasemaje wanabodi ili tuingize vitu vipyaaa na tusalimishe mazingira na afya. Katika kulinganisha viwango vya ushuru vya magari yaliyotumika na nchi nyingine, tunaona tofauti kubwa. Kwa mfano, nchini Kenya, ushuru wa magari yaliyotumika unatozwa kwa kiwango cha 20% kwa magari yenye umri wa...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa mjini wanashangaa baadhi ya wanaume wenye magari kuwa na maisha ya kuungaunga!

    Huyu bi dada anasema wanaume wenye magari huonekana kuwa na uwezo mzuri wa kiuchumi lakini mambo huwa tofauti mtu anapoingia katika mapenzi
  19. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari used

    Habari, naamini uko salama. Mimi ni agent natoa magari madogo na makubwa, container, loose cargo katika bandari ya Dar es Salaam. Pia nauza magari used na chassis pamoja na container za 20 feet na 40 feet...kwa mawasiliano zaidi nichek +255764423726 wasap no. Karibu Sana nikuhudumie.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Magari yanayochukiwa bongo

    Habari zenu. Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Mnawezq nitajia magari yanayochukiwa na wabongo kwa vigezi kwamba hawayataki kutanunua tena kwa vigezi kuwa yanakula sana mafuta, engines zake mbovu zinakuwa na ubovu mara kwa mara, gharama kuyatunza na body lake jepesi ka karatasi AsAnTe
Back
Top Bottom