Wakuu,
Mambo yameendelea kuwa sukari huko Singida kwenye kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Lissu akiwa anazungumza leo Singida amesema kuwa CHADEMA itashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa haki na hata kukiwa na bunduki pamoja na magari ya vita bado tu watashinda.
"Nyie Mapolisi...
Hivi Kwa gharama za zaidi ya Bilioni 16 zilizotumika kujenga Soko la Mwanjelwa ndiyo tumeamua kuligeuza Parking ya magari?
Licha ya gharama kubwa zilizotumika kulijenga Soko hilo lakini limeshindwa kabisa kuwavutia wafanyabiashara kuhamia hapo au kuanzisha biashara hapo.
Mwanzo sababu ilikuwa...
Speed ya China kwenye sekta ya magari inazidi kutishia ulimwengu.
Pamoja na vikwazo vingi alivyowekewa nchi za magharibi na Marekani, bado jamaa anaendelea kutusua, na sasa ameingiza makampuni mawili kwenye top 10.
Kuanzia BYD, ambayo imeshika nafasi ya 6 na inazidi kupanda kwa kasi ya ajabu...
Watu wa magari au wenye uelewa na hizi namba za magari mtueleweshe kwanini hiyo herufi huwa haipo kwenye mtiririko wa usajili au plate number?
Nimezoea kuona magari yenye namba za usajili kama T 567 DJJ au EJK au vyovyote lakini heru I/ài/ huwezi kuikuta.
mafano huwezi kukuta gari lina...
BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUFUNGA MIZANI MITATU YA KUPIMA UZITO WA MAGARI TUNDUMA.
📌 Ashuhudia foleni kubwa ya Malori Tunduma
📌 Atoa mwezi mmoja ujenzi wa kituo cha maegesho Chimbuya kukamilishwa
📌 Aagiza upembuzi kufanyika ili kujenga barabara ya Mchepuo, magari yanapita kwa kupokezana...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuelekeza Wakala ya Barabara (TANROADS) kufunga mizani mitatu inayohamishika (mobile weighbridge) ya kudhibiti uzito wa magari katika eneo la Tunduma ili kuongeza kasi ya upimaji wa magari na kupunguza msongamano wa malori yanayosubiria kwa muda mrefu...
Nalizungumza hili kwa experience sababu namimi ni mtumishi wa umma. Magari mengi ya watu binafsi utasikia kila siku garage trip kidogo gari lazima lipate hitilafu.
HI ni tofauti hizi gari za serikali zinafanya kazi sana lakini huwezi kisikia kila siku lipo garage utakuta mara nyingi ni service...
Wadau hamjamboni nyote?
Kiwanda cha magari cha saipa kilijengwa na Serikali ya Iran huko Syria mwaka 2004 kwa ajili ya kuzalisha magari
Hakuna kiwanda cha Iran kinachoendelea na uzalishaji nchini Syria kwa sasa
Serikali ya Iran ikimiliki asilimia 80 huku Syria ikimiliki asilimia 20
Syria...
Hizi ni baadhi ya Model chache za magari ya TOYOTA na maana zake.
Baadhi ya Model za Toyota na tafsiri zake.
CAMRY - japanese for crown(taji)
LAND CRUISER - uwezo wa kwenda popote
RAV4 -Recreational active vehicle with 4WD gari ya burudani inayotumika yenye magurudumu manne yanayoendesha...
Najua kwa namna moja au nyingine muhusika atapata huu ujumbe, na sio tu kwa hii chuma na kwa vyuma vingine.
Kwa mfano Nissan Leaf 2019 naona kwenye kikokotoo chenu mme-estimate kwamba CIF yake ni $16,600 kitu ambacho sio kweli, market price sahivi ya hii gari kwa huo mwaka ni CIF ya $8,000...
Kila siku nasema.
Tatizo letu Tanzania sio uwepo wa rasilimali bali ni kuwa na watu wenye akili sahihi za kutupeleka kuwa nchi ya ahadi.
Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi kiasi cha ujazo wa trilioni 57 ikiendelea kuagiza mafuta kutoka nje tena kwa fedha za kigeni ili kutumia kwenye magari...
Ishu ya kuuziwa gari na fake kilometers ni jambo la kawaida sana kwa mtu ambae hata kuwa na umakini wa "umakini" tumezoea magari Used kuchezewa kilometa kwenye yard za bongo, lakini kumbe hata Japan wanacheza nayo vile vile. Nina mfano hapa chini wa INSPECTION CERTIFICATE na EXPORT CERTIFICATE...
Wananchi na watumiaji wa vyombo vya moto wamehimizwa kuwa makini wanapoyapita magari hayo ili kuepuka kuyagonga. Pia wametakiwa kutolisogelea gari lililobeba kemikali ya sianidi (Sodium Cyanide) pindi linapopata ajali badala yake wachukue tahadhari kwa kukaa umbali wa mita 100 ili kutopata...
Leo nawasanua mabosi wa mabasi acheni kukomaa na Njia za dar-moro, chalinze-moshi na Dodoma-Moro pekeake Kuna hili chimbo la Dodoma Arusha gari ni chache aisee halafu abiria ni kibwena yaani kama wenzenu walikataa kuwashtua mi ndo nawasanua hivyo
Kiukweli hii barabara iko busy sana ila...
Jamani kwema?
Nisiwachoshe.
Wiki ilopita nilikuwa kitaa na Binti mmoja ni Binti ambaye kiukweli nimekuwa nampigia hesabu za kumtongoza toka kitambo.
Sasa nikaanza zile hatua za mwanzo zikiwemo kumuweka karibu namm Ili nimuingize kwenye line nijiweke nijipunzishe maisha yaendelee.
Sasa wiki...
Habari ya uzima.
Kwa MTU yeyote au Kampuni inayohitaji huduma ya usafirishaji mizigo , Local cargo au transit cargo , naomba tuwasiliane .
Tunayo Magari Aina ya flatbed pamoja Tipper
Haya magari yote maximum yana uwezo wa kubeba 30-32Tons.
Waweza kutupigia kwa +25565812488 call and WhatsApp...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.