magari

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kupaka rangi za bendera inaweza kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya magari ya serikali

    Kuna kijana huko Kenya amependekeza magari yote ya serikali ya Kenya yapakwe rangi ya bendera za Taifa ili kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya hayo magari, Je vipi wazo hili kwa Tanzania?
  2. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Geita: Wakuu wa Wilaya wapewa Magari 3 mapya yaliyogharimu Tsh. Milioni 840

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela amekabidhi magari matatu mapya kwa Wakuu wa Wilaya ya Geita, Mbogwe na Nyang’hwale yenye thamani ya zaidi ya Tsh. milioni 840. Akikabidhi magari hayo katika Kata ya Bombambili Halmashauri ya Mji wa Geita, Shigela amewataka Wakuu wa Wilaya kuyatumia vizuri...
  3. L

    JamiiForums Tanzania China yailaani Tume ye Umoja wa Ulaya kwa kutaka siri za kibiashara katika uchunguzi wa magari ya umeme

    Wizara ya Biashara ya China hivi karibuni imelaani vikali uchunguzi unaofanywa na Tume ya Umoja wa Ulaya kuhusu uchunguzi wa kampuni zinazotengeneza magari ya umeme, ambapo Umoja wa Ulaya unataka kiasi kikubwa cha taarifa zinazohusiana na siri za kibiashara za viwanda hivyo. Wizara hiyo imerejea...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaweza omba magari wakapewa pia?

  5. wilsonwizzy

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenyeji wa Mwanza hivi kuna sehemu wanawafikia hawa jamaa kwa huduma za kwenye magari

    Hawa jamaa wanapatikana Igoma,bango,(SUPER BLUE SKY) Wanatoa huduma zote iwe kuweka mafuta, service kwenye gari yako, parking ya gari yako,kuosha gari yako,wana kila kitu mpaka mizani ya kupimia uzito wa mizigo kwenye magari ya mizigo na ni kwa njia za kisasa kabisa na ni b ei rahisi halafu...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Mfumo wa kusoma madeni ya parking ulipata hitilafu ukashindwa kutuma ujumbe kwa wenye magari

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna utaratibu mbovu unaendeshwa na watu wanaohusika kukusanya madeni ya maegesho ya magari, mamlaka zimetolea ufafanuzi malalamiko hayo. Mdau huyo alidai wahusika wanatega njiani, wanasimamisha gari na kumfuata Dereva wakiwa wengi katika...
  7. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Bado Una Swali: Kwa Nini Bei za Magari Kutoka Ulaya Ziko Juu Sana Tanzania?

    Katika makala hii, tutachunguza sababu kuu zinazosababisha ongezeko kubwa la bei za magari yanayoagizwa kutoka Ulaya hadi Tanzania. Tutajadili kodi, ushuru, gharama za usafirishaji, na athari zake kwa wateja, huku tukitoa mifano halisi na mapendekezo ya jinsi ya kupunguza mzigo huu wa kifedha...
  8. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wasanii Kenya wako na Wananchi, hii ni Kinyume na wasanii wa nchi ya wakujikomba(Tanzania)

    Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii. Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wazungu walijuaje kuwa miji yao itakuja kuwa na foleni za magari miaka 200 kabla wakaweka road reserve pana?

    Nafahamu kuwa huko USA na Ulaya kuna miji ilibomolewana kusukwa upya, ila kuna miji haijapoteza uhalisia wake kwa miaka na miaka, cha kushangaza kuna miji ina barabara za lane 8 na ni masterplan ya karne mbilli zilizopita, jamaa walijuaje kuwa kutakuja kuwa na foleni hapo baadae maana usafiri wa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatuna injini za magari zinazoendeshwa kwa maji?

    Maji yana molekyuli mbili, Hydrogen na Oxygen. Tunaweza kutenganisha molecules hizi na kutumia hydrogen ambayo ni combustible ili kuendesha injini za aina zote. Tunakwama wapi? Kuna mahali nilisoma kwamba mvumbuzi fulani wa injini isiyotumia maji alipotelea kusikojulikana!
  11. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vijana wawili wenye uhitaji wa kujifunza Car Diagnosis, repairs na umeme wa magari kiujumla.

    Sifa Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia). Muaminifu na mchapakazi Garage iko Iko Makuburi, Ubungo. Hakuna malipo. Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania 24 Hours of Le Mans: Shindano la Magari linalodumu kwa Masaa 24!

    Kwema wakuu? Kuna hili shindano la magari linalofanyika kila mwaka mwezi wa sita katika mji wa Le Mans, Ufaransa, linaitwa "24 Hours of Le Mans". Hili shindano linakua nas magari sitini (60), ila yanagawanywa katika classes kama nne (4) hivi kutokana na performance, technology na aina ya gari...
  13. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Ni Faida gani na Hasara gani zinazohusiana na Magari yanayojiendesha (self-driving cars)?

    Magari yanayojiendesha (self-driving cars) ni magari yanayotumia teknolojia za hali ya juu kama vile akili bandia (AI), sensa, na urambazaji wa GPS ili kujiongoza bila hitaji la dereva. Haya ni baadhi ya faida na hasara zinazohusiana na magari haya: Faida za Magari Yanayojiendesha 1...
  14. Malick M. Malick

    JamiiForums Tanzania SoC04 Punguzo la tozo namba za usajili maalum za magari katika kuongeza pato la Serikali Tanzania

    Katika Nchi tuna utaratibu wa kila chombo cha Moto kupata usajili kupata namba maalumu [maalufu kama Plata Namba] Kwa magali tunaanza na T AAA na Sasa Tupo T EAA ,na Pikipiki zinaanza MC [Vyombo vya miguu miwili au mitatu ] MC ambayo zina gharama za kawaida Ila serikaĺi imeweka utaratibu kwa...
  15. mr.general

    JamiiForums Tanzania Fundi magari apata ajali

    #HABARI: Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, aliyetambulika kama fundi wa magari, amepata ajali maeneo ya River side Ubungo, jijini Dar es Salaam, wakati akipeleka gari yenye namba za usajili T 120 ANP, kwa mmiliki wa gari hiyo maeneo ya Temeke. Mashuhuda wa ajali hiyo...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Nauza magari used, viwanja na nyumba

  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Huduma za Uvushaji wa MV Kigamboni zasitishwa

    KUSITISHA UTOAJI HUDUMA YA UVUSHAJI KWA KIVUKO MV. KIGAMBONI Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unawataarifu watumiaji wa kivuko Magogoni Kigamboni na wananchi kwa ujumla kuwa, Kivuko MV. KIGAMBONI kinachotoa huduma eneo hilo, kitasimama kutoa huduma kuanzia alfajiri ya siku ya Ijumaa...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Magari ya Ford: Wametoa Explorer EV

    Ford, wametoa Explorer EV ambayo ni SUV yenye siti 5. Kwa kutumia MEB EV platformya Volkswagen, hii SUV ina uwezo wa kuchajiwa kutoka 10% hadi 80% kwa dakika 25 tu. Kwa single charge, inaweza kutembea kilometa 600, na inapatikana kwa option ya either single motor RWD au motor mbili AWD...
  19. Hhimay77

    JamiiForums Tanzania Magari ya kukodi / Car rentals

    RHOND'S COMPANY LIMITED Karibu kwenye huduma zetu za kukodisha magari(car rental), ambapo tunakuhakikishia usafiri wa uhakika na wa kuaminika. Tunatoa magari ya kisasa kwa bei nafuu na huduma bora kwa wateja wetu wote. Tunatoa: Magari ya Aina Zote: Kuanzia magari madogo, magari ya familia...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Aweka Wazi Miradi Itakayoondoa Msongamano wa Magari katika Majiji

    BASHUNGWA AWEKA WAZI MIRADI ITAKAYOONDOA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MAJIJI. Serikali itaendelea na utekelezaji wa miradi inayolenga kuondoa kero ya msongamano wa magari katika majiji. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na...
Back
Top Bottom