magari

  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tungepambana na magari ya umeme badala ya kuhangaika na kuweka mfumo wa gesi kwenye magari

    Dunia inaelekea kwenye magari ya umeme. Cha kushangaza sisi bungeni tunahangaika na kuweka mifumo ya gesi kwenye magari. Miaka ishirini mbele maga karibu yote yatakuwa ya umeme. Habari ya magari sasa ni mabetri, lithium, graphite nk nk, mambo yanayosaidia kuendesha magari ya umeme. Badala ya...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Tabata Mawenzi ina mashimo ya kutisha, magari yote mwezi ujao lazima yafurike gereji

    Kwa magari yanayopita hapo daily, next month andaeni bajeti ya Shockabsorbers, ball joints na bushes za aina mbali mbali. Kuhusu picha mi nimeona aibu kupiga picha, mwenye ujasiri wa kupiga picha aende akapige mwenyewe. ======================== Otherwise mtumie baiskeli
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sylvia Sigula: Watanzania Wanatamani Kutumia Gesi Kwenye Magari Kwasababu Gesi ni Gharama Nafuu

    Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Sylvia Francis Sigula ameihoji Serikali ni magari mangapi ya Serikali yamefungwa mfumo wa gesi baada ya kuanza kwa kuhamasisha matumizi ya mfumo huo. Sigula amehoji hilo Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Makadiro ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mataa ya kuongoza magari yanasababisha foleni

    Mataa yaliundwa ili kuongeza usalama kwenye makutano ya barabara. Lakini yana athari moja mbaya. Yanaleta foleni mijini. Utafiti umefanyika umeonyesha kuwa roundabouts ni salama kuliko mataa na pia hazileti foleni. Mfano hai: Zamani Mbeya kulikuwaga hakuna foleni. Lakini tokea waweke mataa...
  5. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Ipi kampuni bora ya bima ya magari kati ya hizi?

    Wakuu, kati ya kampuni hizi hapa ipi ni bora kwa ajili ya bima ya gari?
  6. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Nini shida magari aina ya "Brevis" mengi kuharibika gear box?

    Inaonekana muundo wa gearbox kwa magari ya "brevis" ni dhaifu sana kwasababu magari karibu yoote used utakuta kipengere ni gearbox! Wajuzi tupe elimu!
  7. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Haya magari ya hivi karibuni yenye namba A yanamilikiwa na akina nani?

    Kwa wenyeji jijini Dar es Salaam bila shaka mtakuwa mmeshakutana na haya ma Land Cruiser mapya mapya ya kuanzia kuanzia miaka ya 2020s yenye namba 'A', tena number plate zenyewe zinaegeshwa tu. Haya magari ni mali ya nani? Polisi wanayaogopa hayasimamishwi wala kukaguliwa. Vijana wa vijiweni...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kuagiza magari

    Waungwana habarini, Kama kuna mtu amewahi/anafanya kazi katika kampuni za kuagiza magari kutoka nje. Mwenye uzoefu na hayo maswala kwa kifupi. Naomba tuwasiliane Normal/Whatsapp 0757520276 Au Ntumie namba yako PM nkutafute Au namna nyingine yoyote unayoona inafaa.
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Magari ya Hybrid yanayofanya vizuri Tanzania

    Huku bei ya mafuta ikiendelea kupanda kila kukicha ndani ya hii miaka mitano (kutoka Tsh 2100/= hadi sasa Tsh 3300/=) na hamna "dalili" kuona bei ikishuka, ni muda wa Watumiaji kubadirisha muelekeo (adaptation). Kwa wanaotafuta gari, ni bora kuangalia "Fuel Efficient cars" au "Hybrid cars" huku...
  10. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatoa ufafananuzi juu ya Magari ya ma-DC na RC 56 yatakayonunuliwa

    Habari ya TAMISEMI inasema "Wakuu wa Wilaya wanajukumu kubwa la kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao ikizingatiwa kuna fedha nyingi zimepelekwa kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Elimu, Afya na Miundombinu. Pia Wakuu wa Wilaya...
  11. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Kwanini graphite inaweza kulinganishwa na dhahabu katika muktadha wa "vita vya teknolojia"?

    Graphite ni aina ya madini inayopatikana katika asili, ambayo ni fomu ya kaboni. Madini haya yamejulikana kwa muda mrefu na hutumiwa katika matumizi mbalimbali kutokana na sifa zake za pekee. Graphite mfumo wake: Hapa kuna baadhi ya mambo muhimu kuhusu madini ya graphite: Muundo wa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Huyu aliyeelekeza magari ya serikali kupaki saa kumi na mbili ana maana gani?

    Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini? Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

    Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA. Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA. Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine? Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Magari 56 ya Wakuu wa Wilaya kununuliwa mwaka wa fedha 2024/25

    Hii ndio Taarifa iliyokuja leo kutokea Bungeni, kama ilivyotolewa na Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI. == Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria Mwendokasi wakosa magari kwa zaidi ya saa nne, vurugu zatokea Kivukoni

    Zipo dalili za uwepo wa mgomo na kuhujumu magari ya Mwendokasi DAR. Leo naambiwa hakuna magari huku madereva wakiwa wametelekeza magari ubungo kwa kisingizio cha uchakavu. Waziri mwenye dhamana na mkuu wa mkoa kwanini mnafumbia macho menejimenti ya kampuni hizi? Kindamba unaona yanayoendelea?
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

    Wakuu kwema. Kusave muda, hii ni kwa wapenda Hybrid na Electric Cars. Haya, Zero Emission Vehicle Mandate (ZEV Mandate) ni "sheria" waliojiwekea nchi za US, EU na China ambapo wana lazimisha makampuni yanayotengeneza au kuingiza magari mapya kwenye izo nchi yatransform kutoka kwenye Internal...
  17. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Magari ya Wanafunzi (SCHOOL BUS) yamekuwa na udereva mbovu na uvunjaji wa Sheria

    Hizi gari madereva wanajiona kama Viwete Kuwa wanahitaji Special Care, mara kadhaa nimeshuhudia Gari la shule likivuka taa za barabarani bila hata kuchukua tahadhar na ilikuwa inawaka Red. Madareva wamekuwa rafu sana wa wanafunzi hawa wadogo, magari yanakimbizwa mnoo, hawachukui tahadhari, na...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

    Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu. Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu? Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini...
  19. ipyax

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Agiza gari kutoka South Africa

    Kupitia uzi huu nitakuwa napost magari ya aina tofauti yanayopatikana South Africa na bei zake. Kama ikitokea mtu yuko interested tutawasiliana ili kujua jinsi ya kukuwezesha kununua gari uitakayo. Nitakua na post gari ambazo zipo kwa dealerships pamoja na ambazo zinauzwa na watu binafsi kwa...
  20. Stability

    JamiiForums Tanzania Kuna magari ya kutoka Moshi hadi Mombasa?

    Nisaidieni wakuu. Au hadi nivuke boda ya holili au pale pale moshi mabasi yapo?
Back
Top Bottom