mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Safari ya Harland Sanders: Kutoka Kituo cha Mafuta Hadi KFC ya Dunia na Mafunzo kwa Vijana wa Leo

    KFC ni kifupi cha Kentucky Fried Chicken, mgahawa maarufu duniani kwa kuuza kuku wa kukaanga. Historia yake inaanzia kwa mtu mmoja aitwaye Harland Sanders, ambaye alizaliwa mwaka 1890 huko Indiana, Marekani. Maisha yake hayakuwa rahisi. Baba yake alifariki akiwa na miaka sita, na hivyo...
  2. Vitisho vya kufunga Straight Hormuz vikitekelezwa tunaweza kufa kwa Kiu ya Mafuta

    Analojia rahisi kwenye hili ni kufananisha Strait ya Hormuz kama mto mdogo wa kijijini ambao 30% ya maji tunapata hapo. Maji haya ndio kiungo muhimu katika shughuri za kila siku za kijiji chetu. Sasa, kuna bwana anyekaa huko kwenye chanzo cha mto aliweka bayana kabisa kuwa ataufunga mto kama...
  3. Dereva mtanzania ajiua nchini Zambia baada ya kukamatwa akiiba mafuta

    Imeripotiwa na CHETE FM. Madereva wa tenki za mafuta kuweni waaminifu. Habari nzima hapo chini. ____________________________ A Tanzanian truck driver working for ANAMOL Transport Company in Dar es Salaam has died after allegedly taking his own lífe by ingèsting an unknown substance moments...
  4. B

    Kuna madhara gani kutumia mafuta ya kupikia chakula yaliyoganda

    Je kwa mtu asiye fanya mazoezi kwa umri kuanzia 20+ mpaka 69 kuna madhara yapi yatatokea kwa kutumia mafuta yanayoganda? Wenye uzoefu karibuni kwa michango naambatanisha na picha moja
  5. Sheikh Kassim Mafuta amkumbuka kanali Muammar Gadafi

    Assalaamu a'laykum. Waislamu na watanzania kwa ujumla wametakiwa kupata mafunzo na mazingatio kutokana na matukio yaliyotukia miaka ya nyuma katika kile kinachotambulika kama " vuguvugu la waarabu " ( Rabiiu'l Arab ) ikiwa pamoja na tukio la mapinduzi kisha mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa...
  6. Sheikh Kassim Mafuta awaasa Waislamu kuilinda amani ya Nchi

    Sheikh Kassim Mafuta awaasa waislamu kuilinda amani ya nchi. Waislamu nchini wameaswa kuilinda amani ya nchi na kuwakataa wale wote wanaohamasisha fikra za uvunjifu wa amani kwa sababu na visingizio vyovyote sawasawa watu hao watakuwa viongozi wa dini au viongozi wa kisiasa. Hayo yamebainishwa...
  7. Israel yapiga makao makuu ya kijeshi Iran pamoja vituo vya kuzalisha mafuta

    Israel pia imesema Ayatollah atapigwa muda usio mrefu.... The IDF confirmed early Sunday morning striking the Iranian Defense Ministry headquarters as well as the “headquarters of the SPND nuclear project, and additional targets.” Israeli jets also struck fuel depots in the country, the...
  8. H

    DOKEZO TO wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Rukwa anatoza mafuta lita 120 kwa ambulance kwenda Mbeya Zonal Hospital

    TO na uongozi wa hospitali hiyo wanatoza lita 120 na chakula na posho kwa kila mgonjwa kwa mgonjwa kutumia ambulance kwenda mbeya na badae kuwasilisha receipt za mafuta na kuchukua fedha hizo serikalini.
  9. B

    Namna ya Kufungua Jicho la Tatu

    Jicho la Tatu (Ajna Center) ni Portali ya Mwanga, siyo tu "organi ya kuona visions" — ni sehemu ambayo Roho safi huunganishwa moja kwa moja na chanzo cha Nguvu (Source Field). Katika maandiko ya kale, Third Eye ilijulikana kama: "The Single Eye" — Yesu alisema: Lakini siri ya kufungua Jicho...
  10. W

    Fundi nilimpa elf 10 ya mafuta, kaenda kununua ya kuchakachua kubana hela, gari haiwaki inabidi nisafishe tenki zima, Mafundi njaa zitawaua !

    Vijana wetu kuna muda mnajishusha tunawapa chance kuwaamini lakini mambo wanayofanya yanatukatisha tamaa ya kuendelea kuwaamini. Gari ilikuwa na matatizo, nikaenda mtaani kutafuta fundi aje kuliangalia. Gari iligoma kuwaka kwajili ya matengenezo tukaona mafuta hayatoshi kuliwasha. Nikampa...
  11. Bei ya mafuta ya kula itakuaje Baada ya Israel kuishambulia iran

    Habari, Baada ya Israel kuishambulia iran Leo usiku ,Bei ya mafuta ya kula itapanda au itashuka ????
  12. Mavazi ya mabinti wa vituo vya kuuzia mafuta yanawadhalilisha na kutia kinyaa!!

    Habari za muda huu waungwana...... Huko kwenye vituo vyenye biashara ya kuuza mafuta ya kuendeshea vyombo vya moto maarufu kama "SHELI" kama ilivyozoeleka na wengi....kuna mavazi ambayo kwa jicho la kiungwana hayaja kaa Sawa...... Sasa sijui ndio muongozo na matakwa ya kazi yao au ni utashi...
  13. Gwajima akitumia mafuta ya kutoa mapepo yanayotengenezwa na Sheikh Mwaipopo, yanaweza kumsaidia kutoa mapepo yanayomsumbua

    Nashauri watu walio karibu na Gwajima wamshauri amuone Sheikh Mwaipopo amsaidie dawa ya kuondoa mapepo. Sheikh huyu anauza mafuta ambayo yanasaidia kuondoa mashaitwani. Nina imani yanaweza msaidia Gwajima kwa tatizo hilo
  14. M

    Naomba muongozo wa biashara ya kituo Cha mafuta deepbond

    Habar wakuu naomba muongozo abc za biashara ya kituo Cha mafuta mchakato wake ukoje faida kwa siku na vibali na eneo l,na Hali ya ushindand ,,NB deepbond njoo uku tunakuhitaji ushauri
  15. AMANI IWE JUU YENU......NAOMBA KUELEWESHWA KUHUSU TOYOTA COROLLA FIELDER NA RUMION IPI NZURI ZAIDI BONGO, ULAJI WA MAFUTA, VIPURI NA UIMARA

    AMANI IWE JUU YENU......NAOMBA KUELEWESHWA KUHUSU TOYOTA COROLLA FIELDER NA RUMION IPI NZURI ZAIDI BONGO, ULAJI WA MAFUTA, VIPURI NA UIMARA
  16. Kumekucha: Wanaume wengi wa Dar hawana Nguvu za Kiume kwa kupenda kula Chips zenye Mafuta mengi hivyo waanze kula Chips zinazokaangwa na Maji

    Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
  17. Riwaya: mafuta ya masaji (Action na Mapenzi)

    𝐌𝐭𝐮𝐧𝐳𝐢: Saul David Bril 0756862047 __________________ Sehemu ya kwanza... UTANGULIZI Sikujua kama mwanzo wa mapenzi ni mwisho wa amani yangu. Kila kitu kilibadilika siku ambayo nilimwona kwa mara ya kwanza mwanamke fulani wa hadhi ya juu. Alikuwa akibadilisha mavazi ndani ya gari bila kujua...
  18. Kwanini vituo vya mafuta vingi wanaezeka bati kwa style ya flat roof?

    Vituo vingi vya mafuta hutumia bati la paa bapa (flat roof) kwa sababu kadhaa za kiufundi na kiusalama: ✅ Usalama wa Moto – Paa bapa husaidia kudhibiti moto kwa urahisi ikiwa kuna dharura. Moto husambaa polepole kwenye paa bapa kuliko paa lenye mteremko⁽¹⁾. ✅ Udhibiti wa Joto – Flat roofs...
  19. I

    Mpakwa Mafuta wa Bwana Akimbilia Zone X baada ya Kumbatio la Covenant kufeli na kufutwa rasmi. Kibarua kimeota nyasi

    🕶️ UNDERGROUND INTEL DROP: MPB-09 Source: Silent Wharf Clearance Level: BLACK VEIL Operative mmoja wa daraja la katikati kwenye safu ya Green Circuit, anayetambuliwa ndani ya mfumo kama MPB-09 (wakati mwingine hujulikana kwa jina la kificho “The Anointed Courier”), ameripotiwa kuondoka kwenye...
  20. Q

    Nauza Mafuta ya sandalwood

    Karibuni mafuta ya sandal wood, original toka kiwandani. Litre 1 au Kg 1 ni $1200 tu. Mwenye uhitaji anipigie kwa namba 0612373688. Karibuni sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…