mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi zao la alizeti linaweza kupunguza uhaba wa mafuta ya kupikia

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo inachangia zaidi ya 40% ya pato la taifa. Ili taifa loloteliweze kukua vizuri kiuchumi lazima liwe na mikakati dhabiti na endelevu juu ya kilimo bora na chenye tija kwa taifa na kwa wananchi wake Kilimo za alizeti...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya tumeweka ruzuku kwenye mafuta. Rais Museveni asema hiyo haisaidii yeye ataka Magari ya Umeme

    Wakati Tanzania tunapata unafuu wa Bei za mafuta kupitia ruzuku lakini Rais Museveni wa Uganda amesema ruzuku haisaidii lolote. Uganda wameanza Mfumo wa kuyabadili magari yaanze kutumia Umeme. Rais Museveni alikuwa akichangia nada kwenye kikao cha wakuu wa nchi za EA. Chanzo: ITV Habari
  3. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yanunua tani maradufu za mafuta Urusi. Je, ushawishi wa USA na EU umepungua duniani?

    Wanajamvi na wafuatiliaji wa mambo,kuna habari nimeikuta mitandaoni imenishangaza sana. Siku zote mataifa ya kiarabu hasa saudi arabia ni mfuasi mkubwa wa USA na EU, sasa leo yeye tu Saud Arabia ni mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani, halafu anaenda kununua mafuta mengi ya bei ya chini kwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mafuta pure 100% ya parachichi

    .
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mafuta pure 100% ya parachichi

    .
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hungary inanuniwa huko ulaya: Kisa inauza mafuta na gesi kwa raia wake kwa bei ndogo, akija raia wa nchi nyingine anauziwa kwa bei kubwa!

    Hungary ni nchi ya ulaya ambayo ilikubali mapema kabisa kulipia gesi ya urusi kwa ruble, na ni nchi pekee kwenye umoja wa ulaya iliyokataa kuiwekea vikwazo binafsi urusi na pia ilikataa kuisaidia ukraine silaha. Halafu hungary pia hairuhusu nchi nyingine kupitishia silaha nchini mwake...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani ikiitaka China ishiriki kudhulumu mafuta ya Urusi, China imeikebehi Marekani kuhusu uelewa wake kuhusu "Jumuiya ya Kimataifa"

    Wakati Marekani ikiwa katika harakati za kuishirikisha China ikubali kudhulumu mafuta ya Urusi, ikidai kuwa hilo ndilo takwa la "jumuia ya kimataifa", China imeikebehi Marekani kwa kuweka ramani mbili za dunia zinazoonesha jumuiya ya kimataifa: Moja ambayo ndiyo jumuiya halisi ya kimataifa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uovu wa Marekani umekithiri! Bila aibu inadhani inaweza kuishawishi India na China kudhulumu mafuta ya Urusi

    Marekani ni taifa ovu kupiltiliza!! Marekani imepokonya mabilioni ya dola za marekani mali ya urusi! Kama hiyo haitoshi imepokonya mabilioni ya dola za marekani zikiwa ni pesa binafsi za raia matajiri wa Urusi, na imepokonya mali za raia hao kama majumba, ndege, mashua za starehe nk. Kwa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Avocado oil press machine

    Salama humu ndani! natafuta mashine ya kukamulia mafuta ya parachichi yenye uwezo wa kuzalisha kati ya 10 na 20KG kwa siku.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Marekani inaionea wivu Urusi, Pamoja na vikwazo bado inapata pesa zaidi sasa kuliko hapo kabla. Sasa inawaza kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya Urusi

    Marekani imesusia mafuta ya urusi bado urusi inapeta! Nchi za magharibi zimeiwekea urusi vikwazo vya kiuchumi zaidi ya 6,000 lakini ndo sasa inapata pesa zaidi! Marekani inaumiza kichwa kuwaza waifanyieje Urusi ili kuikomoa kiuchumi? Marekani imekuja na wazo lisilotekelezeka!! Inasema itaweka...
  11. JamiiForums Tanzania Mafuta yameanza kushuka bei kwenye soko la Dunia

    Week hii bei ya mafuta ghafi imeshuka kwa 11% mpaka kufika chini ya $100 kwa pipa. Sababu kubwa inachangiwa na kushuka Kwa demand ambayo imesababishwa na kuanguka kwa uchumi za nchi nyingi hasa dunia ya kwanza. Na nyingine, nchi zinachimba mafuta zimekubaliana kuongeza uzalishaji wa mafuta...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini ardhi hai collapse baada ya miaka mingi ya kuchimba mafuta?

    Mafuta yanapotoka huko chini yanaacha nafasi. Ardhi iliyopo juu yake haiwezi kuzama chini? Kwanini miaka mingi hili halijawahi kutokea?
  13. JamiiForums Tanzania Ni kazi sana kuikagua kampuni inayochimba madini au mafuta endapo muda wa kugawana faida umefika au bado.

  14. JamiiForums Tanzania Tumechezwa shere! Ruzuku ya bilioni 100 kwenye mafuta ni changa la macho

    EWURA imetangaza bei mpya za mafuta Tanzania kwa mwezi July. Ni bei kikomo na bei elekezi.. Maumivu ni kwamba mafuta yamepanda tena bei, kwa hiyo vilio zaidi vinakuja. Hapa kuna kitu cha kushangaza mno kuhusu serikali yetu, na watu inaowaamini katika kutoa maamuzi...Hivi kuna haja gani ya kutoa...
  15. JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta: Rais Samia, badili uongozi wa juu ili wananchi tupate ahuweni

    Chonde Rais Samia, utuonee huruma wananchi wako. Tunaonba sana, kwa aina ya uongozi wa Juu kabisa uliouweka kwenye nishati, na kama ukiendelea kuwepo tutaumia na kuishia kukulaumu wewe kila uchao. Pamoja nar udhuku unayo toa, italiwa na mafuta yatazidi kupaa na bei za Vitu vingine vitapanda...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa vikokotoo, Bilioni 100 imepunguza Ukali wa Bei ya Mafuta kwa kiasi Gani? Kuna Haja ya kuendelea na hii Ruzuku?

    Habari JF, Bei mpya zimetangazwa kuanza kutumika Tar 6/7/2022, hivi hizi pesa tulikopo IFM na Benki ya Dunia bilioni 100 za ruzuku zimepunguza ukali wa bei ya Mafuta kwa kiasi Gani? Ukiringanisha na kabla ya bilioni 100. Je, kuna Haja ya kuendelea kukopa?
  17. JamiiForums Tanzania Vijana waliopo Tanzania wanashangilia ubabe wa Putin

    Kijana mmeba box nikipata nafasi ya kupumzika huwa napitia sana mitandaoni si unajua huku hauli bila kazi, kilichonishangaza ni update za Vijana waliopo Tanzania wakishangilia ubabe wa Putin na story kuhusu uharibifu wa Putini. Nikajiuliza Vijana hawa wanafahamu balaa lililopo mbele Yao hawa...
  18. JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya za mafuta ya Julai, 2022. Petroli, Dizeli zapanda

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazo anza kutumika Tarehe 6 Julai 2022 saa 6:01 usiku. Aidha, Katika kukabiliana na ongezeko la bei za mafuta hapa nchini, Serikali imetoa ruzuku nyingine ya Shilingi...
  19. JamiiForums Tanzania Sri Lanka yaishiwa mafuta ya petroli

    Waziri wa Nishati, Kanchana Wijesekera amesema Taifa hilo lina Petroli ya kutosha siku isiyozidi moja kwa mahitaji ya kawaida. Wiki iliyopita, Taifa hilo linalokabiliwa na mdororo mbaya wa kiuchumi lilisitisha mauzo ya Petroli na Dizeli kwa baadhi ya Magari Kwa Mujibu wa Waziri huyo, Tani...
  20. JamiiForums Tanzania Majanga: TRA wanashirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta kuhujumu kodi kupitia risti?!

    Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu. Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta. Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…