The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.
Imekuwa ni kawaida kila inapokaribia wiki ambayo bei mpya ya mafuta hutangazwa, vituo pendwa vinavyomilikiwa na wanasiasa maarufu, hudai hawana mafuta kungojea bei mpya. Hii huwa ni dalili ya kupanda kwa bei ya mafuta.
Swali la kujiuliza wanajuaje mapema kuwa mafuta yatapanda bei? Huu mtandao...
Wadau habari zenu? Poleni na majukumu ya siku. Zipo habari kwamba, tenda ya kuingiza mafuta nchini ambayo wamepewa baadhi ya wafanyabiashara wachache nchini ambao wana uswahiba na kigogo wa wizara hiyo.
Kwa mujibu wa mtoa habari mmoja wa ndani ya wizara hiyo, kigogo huyo amewapa tenda...
Serikali imetenga Bil 150 kugharamia ruzuku ya mbolea itakayotolewa kwa wakulima nchini kwa ajili ya kupunguzwa makali ya bei ya mbolea. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua mpango wa utoaji wa ruzuku ya mbolea katika kilele cha maonyesho ya Nanenane, yatakayofanyika mkoani Mbeya...
Zile ajira takribani 10,000 ambazo Watanzania waliahidiwa kunufaika nazo katika ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda handi Chongoleani Tanga zimeanza kutangazwa.
Kupitia gazeti la Mwananchi toleo namba 0856-7573 la Jumatatu, 26/07/2022 ajira 87 za moja...
Malori manne ya mafuta ya Kampuni ya Lake Oil yamekamatwa Mkoani Songwe yakiwa yamebeba shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku Nchini ambayo yalikuwa yakitokea DRC huku madereva wa magari hayo wakiyatelekeza.
Meneja Ukaguzi wa Kampuni ya Lake Oil, Ali Sharif amesema magari yao yana mfumo wa...
Kuna malalamiko makubwa kutoka kwa waendesha Bodaboda na Bajaji walioshiriki kikao baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka kuhusiana na hamasa ya sensa lakini awali wakati wanajiandisha asubuhi waliahidiwa kupewa lita 2 za mafuta.
Baada ya kumaliza mkutano baada ya Mkuu wa Mkoa wa...
Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha!
Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi!
Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi,
Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila bila!!Leo nimeulizia gunia la mahindi,bati,simenti na sukari nikasema Hadi januari lazima mchutame...
UTANGULIZI
Sekta ya kilimo inachangia zaidi ya 40% ya pato la taifa. Ili taifa loloteliweze kukua vizuri kiuchumi lazima liwe na mikakati dhabiti na endelevu juu ya kilimo bora na chenye tija kwa taifa na kwa wananchi wake
Kilimo za alizeti...
Wakati Tanzania tunapata unafuu wa Bei za mafuta kupitia ruzuku lakini Rais Museveni wa Uganda amesema ruzuku haisaidii lolote.
Uganda wameanza Mfumo wa kuyabadili magari yaanze kutumia Umeme.
Rais Museveni alikuwa akichangia nada kwenye kikao cha wakuu wa nchi za EA.
Chanzo: ITV Habari
Wanajamvi na wafuatiliaji wa mambo,kuna habari nimeikuta mitandaoni imenishangaza sana.
Siku zote mataifa ya kiarabu hasa saudi arabia ni mfuasi mkubwa wa USA na EU, sasa leo yeye tu Saud Arabia ni mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani, halafu anaenda kununua mafuta mengi ya bei ya chini kwa...
Hungary ni nchi ya ulaya ambayo ilikubali mapema kabisa kulipia gesi ya urusi kwa ruble, na ni nchi pekee kwenye umoja wa ulaya iliyokataa kuiwekea vikwazo binafsi urusi na pia ilikataa kuisaidia ukraine silaha. Halafu hungary pia hairuhusu nchi nyingine kupitishia silaha nchini mwake...
Wakati Marekani ikiwa katika harakati za kuishirikisha China ikubali kudhulumu mafuta ya Urusi, ikidai kuwa hilo ndilo takwa la "jumuia ya kimataifa", China imeikebehi Marekani kwa kuweka ramani mbili za dunia zinazoonesha jumuiya ya kimataifa: Moja ambayo ndiyo jumuiya halisi ya kimataifa...
Marekani ni taifa ovu kupiltiliza!! Marekani imepokonya mabilioni ya dola za marekani mali ya urusi! Kama hiyo haitoshi imepokonya mabilioni ya dola za marekani zikiwa ni pesa binafsi za raia matajiri wa Urusi, na imepokonya mali za raia hao kama majumba, ndege, mashua za starehe nk. Kwa...
Marekani imesusia mafuta ya urusi bado urusi inapeta! Nchi za magharibi zimeiwekea urusi vikwazo vya kiuchumi zaidi ya 6,000 lakini ndo sasa inapata pesa zaidi! Marekani inaumiza kichwa kuwaza waifanyieje Urusi ili kuikomoa kiuchumi?
Marekani imekuja na wazo lisilotekelezeka!! Inasema itaweka...
Week hii bei ya mafuta ghafi imeshuka kwa 11% mpaka kufika chini ya $100 kwa pipa.
Sababu kubwa inachangiwa na kushuka Kwa demand ambayo imesababishwa na kuanguka kwa uchumi za nchi nyingi hasa dunia ya kwanza.
Na nyingine, nchi zinachimba mafuta zimekubaliana kuongeza uzalishaji wa mafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.