mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Ferruccio Lamborghini

    Rais Samia amechagua njia sahihi kushusha bei mafuta

    RAIS Samia Suluhu Hassan, ameamua kulikabili sakata la mgogoro wa mafuta kwa kutoa maelekezo ya kujibana katika matumizi ya ndani ya Serikali. Kwa nini hii ndio njia sahihi? Nitaeleza; Wapo waliopendekeza kuondoa tozo mbalimbali kwenye mafuta ili bei ipungue. Ni mawazo lakini msaada wake upo...
  2. K

    Pata Mafuta ya Best choice kwa afya yako kwa bei nafuu kabisa.

    Ni mafuta safi kabisa yanayozaliswa na kiwanda cha QSTEK FARMING LTD kilichoko mjini manyoni mkoani singida. Mafuta ya best choice yametengenezwa kwa kutumia mbegu halisi za alizeti zinazozalishwa hapa hapa Tanzania. Mafuta ya best choice hayajaongezwa kemikali yoyote hivyo ni salama kwa afya...
  3. Mwande na Mndewa

    Maoni ya Ishomile juu ya kupanda kwa mafuta

    MAONI YA ISHOMILE JUU YA KUPANDA KWA MAFUTA;- Mtangazaji:Habari Mh,tupe maoni yako juu ya kupanda kwa mafuta. ISHOMILE:let me abruptly regurgitate my point of view vis a vis fuel increase,I absquatulate using my perspicacity and ratiocination as a composimentis homo sapiens and as an erudite...
  4. Ileje

    Ruzuku ya serikali ya bilioni mia moja kwenye mafuta ni kituko katika kupunguza bei ya mafuta

    Hakika serikali inacheza na akili zetu ni afadhali ingekaa kimya kuliko kutoa matumaini ya unafuu wa maisha ambao haupo. Ni ukweli uliowazi kuwa serikali imehusika kwa kiasi kikubwa kupanda kwa gharama za maisha kwa sababu ingewezekana kabisa serikali kuchukua hatua za kuzuia kupanda kwa bei za...
  5. JF Member

    Bei ya Mafuta kushuka kwa Shilingi 29, Mnaelewaje hapa?

    Hii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
  6. BestOfMyKind

    Hivi hii nchi yetu yote hakuna sehemu kuna mafuta tuchimbe?

    Uganda wana mafuta ghafi, wanafanya uzembe wanauzia Total. Hivi sisi nchi yote hii haina sehemu kuna mafuta kweli?
  7. Mystery

    Hivi watawala wetu wapo "serious" kweli Katika kujibana na kujinyima Ili kukabiliana na kupanda Sana kwa bei ya mafuta Duniani?

    Nimeisikiliza hotuba ya Rais Samia, aliyoitoa jana, kuhusiana na kilio cha wananchi kuhusu kupanda Sana kwa bei ya mafuta Duniani. Katika hotuba hiyo nime-highlight, jambo muhimu Sana aliloliongelea, anasema kuwa ni LAZIMA watendaji wa Serikali, TUJIBANE na KUJINYIMA, Katika kipindi hiki...
  8. W

    Mjadala: Je, ruzuku ya bilioni 100 kwenye mafuta itapunguza bei ya mafuta kwa kiasi gani? "Jambo letu hatarini"

    Ndugu zangu, Leo siku ya jumanne tarehe 10.05.2022 Ndugu Januari Makamba, Waziri wa Nishati akiwa bungeni ametangaza uamuzi wa serikali kutoa ruzuku ya takribani bilioni 100 za kitanzania. Nikirejea uamuzi wa Waziri Makamba miezi michache iliyopita wa kuondoa tozo ya shilingi 100 kwenye mafuta...
  9. Lady Whistledown

    Safari za ndege kuahirishwa kutokana na uhaba wa mafuta Afrika Kusini

    Uhaba wa mafuta katika uwanja wa ndege wa OR Tambo wasababisha Safari 14 kuahirishwa na kuathiri zaidi ya abiria 3,000, huku mamlaka ikisema inajitahidi kukabiliana na uhaba huo. Maafuriko ya Mwezi uliopita KwaZulu Natal yanatajwa kuharibu reli ambayo ndio miundombinu ya usambazaji mkuu wa...
  10. comte

    Kodi kwenye mafuta haiepukiki

  11. Lady Whistledown

    G7 yapiga marufuku ununuzi wa mafuta Urusi

    Mataifa yenye uchumi mkubwa Duniani yanayounda Kundi la G7 yametoa kauli ya pamoja ya kupiga marufuku au kutonunua mafuta ya Urusi ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa vikwazo kwa taifa hilo lililoivamia Ukraine kijeshi tangu Februari 24, 2022. Wamechukua maamuzi hayo baada ya mkutano wao wa...
  12. Greatest Of All Time

    Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo Tutarajie tamko la namna...
  13. sky soldier

    Mafuta kwa Zanzibar bei nafuu, mishahara yapandishwa kwa asilimia 15. Zanzibar ni kama mkoa?

    Hali ndivyo ilivyo hapo.. Wana raisi wao na huku pia ni lazima (sio ombi) aidha awepo raisi au makamu wa raisi wa Zanzibar mwenye kitambulisho cha uraia wa Zenji. Achana na bei za mafuta kwa zanzibar kuwa 2600 huku kwetu yakiwa 3,300. Hii ya ongezeko la mihahara kwa asilimia 15.6 bado zanzibar...
  14. B

    Hali mbaya ya mafuta, wasafirishaji wasibughudhiwe

    Bei ya diesel kwa mara ya kwanza duniani (hapa kwetu) ipo juu kuliko petrol. Bila shaka lengo ni kuwapa wepesi boda boda na wenye vi IST waache kumpigia mbuzi kelele. Ngoma ipo kwa wasafirishaji bidhaa na watu. Tulipo sasa, kwa hakika tunauhitaji sana ubinadamu wa kila mtu akiwamo serikali...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Lissu uko wapi bei za mafuta zinapanda kiholela mbona huongelei chochote ujue taifa linakutegemea

    Bro Lissu naandika huu uzi ukufikie hapo alipo sasa. Najua unaendelea vizuri hapo ulaya. Bro Tanzania imekua na matatizo mengi kwasasa, bora haki ingechukuliwa lakini bei za bidhaa zipunguzwe gharama za maisha zipungue. Maisha yamekua ni magumu Bro, huko Singida bei ya lita ya mafuta ya...
  16. CM 1774858

    Rais Samia Suluhu anafanya vizuri bei ya mafuta ukanda wa maziwa makuu

    === Kwa unyenyekevu mkubwa hebu pitia hizi taarifa za World Petrol Price uone majirani zetu wanavyoteseka kwa bei kubwa ya Mafuta pengine itakuzindua uache lawama kwa Rais wako anayekupambania usiku na Mchana, === Pamoja na kwamba Rais Samia Suluhu Hassan sio rais wa nchi ya Burundi bei ya...
  17. B

    Serikali izingatie haya ili bei ya mafuta nchini ishuke

    SERIKALI IZINGATIE HAYA SAKATA LA KUPANDA BEI YA MAFUTA NCHINI ILI YASHUKE. Na Bwanku M Bwanku. Jana Ijumaa Mei 06, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua Vita ya Urusi na Ukraine ilivyopaisha Sakata la Kupanda kwa Bei ya Mafuta kwenye Soko la Dunia kulikoathiri Bei...
  18. S

    Kodi kubwa kwenye mafuta ndio chanzo kikuu cha bei ya mafuta kuwa juu nchi hii

    Waulizeni watawala wanatoza kodi kiasi gani kwa kill lita moja ya mafuta yanayoingia nchini ndio mtajua nini hasa chanzo cha hizi bei kuwa juu. Sasa kwakuwa kodi ziko juu, issue ya vita inafanya bei ambazo teyari ziko juu, ziwe juu zaid na hiki ndio kinatutesa leo hii. Suluhisho ni kwa...
  19. N

    Data: Bei za mafuta DRC, Burundi, Rwanda, Zambia ziko chini

    Dah jamani hii vita ya ukraine imetukalia vibaya sisi tu au hawa jirani zetu wao wanachimba mafuta? si wanapitisha mafuta hapahapa bandarini kwetu jamani? Tunaongelea vita lakini hawa jamaa wa Drc congo wana vita na waasi miaka 25 sasa , tunahitaji maombi maalumu nchii hii hali tete sana
  20. MIMI BABA YENU

    Maoni ya mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta nchini

    Nimependa hoja zilizotolewa na mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta. Watanzania wote tungekuwa na uelewa kama wake, hakika tungeacha kueneza uzushi juu la suala hilo kwa kuwa kupanda kwa bei za mafuta ni tatizo la dunia nzima na siyo Tanzania pekee.
Back
Top Bottom