mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Heche ampinga Jerry Silaa hoja ya kuongeza bei ya mafuta

    hechejohn Hivi ccm huwa inatoa wapi wabunge wajinga wa kiwango hiki!!!!! Imagine huyu ni kijana, kwasababu ya mshahara mkubwa na Posho hajui jinsi maisha yalivyo magumu kwa watu.. Bado anataka kuongeza mzigo!!! Pesa zipo za kutosha lakini zinaibiwa kwasababu ya wajinga kama huyu Kushindwa...
  2. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Serikali iweke Tozo ya Tsh. 100 kwenye mafuta yanayonunuliwa Dar ili Kupata Pesa za Kujenga Barabara za Jiji

    Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam. Jerry Silaa amesema amesema...
  3. JamiiForums Tanzania Watu 300-350 wanafika hospitali kila siku kwa matatizo ya Moyo, soma jinsi Pombe, Sigara na Mafuta zinavyochangia

    Kutokana na changamoto ya magonjwa ya Moyo ambayo yamekuwa yakisumbua watu wengi hasa miaka ya hivi karibuni, nimezungumza na Dkt. Pedro Pallangyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ya Dar es Salaam ambaye anafafanua kitaalam na katika lugha nyepesi changamoto mbalimbali kuhudu...
  4. JamiiForums Tanzania Bunge la Nigeria lajadili wizi mkubwa sana wa mafuta uliofanywa na China

    Hii China ambayo huonwa kama kimbilio la Afrika, kila mnapoisuta Marekani lazima mtaje China kama mbadala. Nigerian lawmakers have begun a probe into the sale of stolen 48 million barrels of crude oil to China. “It is quite alarming that illegal deals with China cost Nigeria $2.4 billion...
  5. JamiiForums Tanzania Faida za Omega 3 Fat Acid mwilini

    ZIJUE FAIDA ZA MAFUTA YA SAMAKI MWILINI 🦈OMEGA 3 FAT ACIDS Mafuta haya ya samaki, yana vitu vikuu viwili ikiwemo EPA & DHA ambayo husaidia ku-regulate pressure ikae kwenye level yake. Faida za kutumia mafuta ya samaki(omega 3) 1) AFYA YA MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU. 👉Mafuta ya samaki yenye...
  6. JamiiForums Tanzania Mafuta yameshuka bei, EWURA yatangaza bei mpya za April 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi April huku zitakazoanza kutumika Jumatano tarehe 05/04/2023. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mafuta ya Petroli yameshuka bei kwa Tsh 187/Ltr, Dizeli Tsh 284/Ltr na mafuta ya taa 169/Ltr kwa mafuta...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini sisi tusiwaombe hawa jamaa zetu waturuhusu kununua ya mafuta ya bei nafuu?

    Japan waliruhusiwa na G7 kununua haya mafuta yaliyowekewa international sanction ya bei nafuu. Kwa nini na sisi tusiwaombe hawa rafiki zetu waturuhusu na sisi kuyanunua haya mafuta ili kunusuru uchumi wetu?
  8. JamiiForums Tanzania Unafanyaje kukaanga nyama au samaki bila mafuta kukurukia?

    Wakuu katika vitu vinanifanya nisile nyama au samaki za kuunga ni vile unavyokaanga halafu mafuta yanakurukia. Yaani unakuwa unapika sura umeweka Magharibi mkono unaogeuza mboga kwenye mafuta uko mashariki. Mimi huwa napaka unga wa ngano, lakini wakati mwingine huwa sitaki kupata ladha na...
  9. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia na Washirika wa OPEC+ wakubaliana kupunguza uzalishaji Mafuta ili kulinda Soko

    Muungano huo ukiongozwa na Saudi Arabia utapunguza kiasi cha Mapipa Milioni 1.5 kila siku kuanzia Mei 2023 huku ukiita hatua hiyo ni ya tahadhari na inayolenga utulivu wa soko. Saudi Arabia itapunguza Pipa 500,000, Iraq 211,000, Umoja wa Falme za Kiarabu 144,000, Kuwait 128,000, Oman 40,000...
  10. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wakamatwa wakisafirisha shehena ya vipodozi vyenye viambata sumu kwenye tanker la mafuta

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako na doria za nguvu na zenye tija katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya na kupata mafanikio makubwa ikiwemo kukamata watuhumiwa 14 kati yao wanaume ni 11 na wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa kusafirisha vipodozi vyenye viambata sumu na...
  11. JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui hii ndio mikataba ya Utafutaji wa mafuta na gesi na ugawanaji mapato

    Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato - wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara lilianzishwa kwenye miaka ya 1950. Kwanza kabisa, wazo hili lilianzishwa Indonesia mwaka 1966. Mikataba ya Utafutaji wa mafuta na...
  12. JamiiForums Tanzania Meli zinazosafirisha mafuta ya Urusi kinyemela kusakwa

    Baada ya Urusi kupigwa pini, imekua ikisafirisha mafuta kinyemela kwa kutumia meli za wavuvi, ndio kete iliyokua imesalia, zitasakwa zote..... Putin's oil plans In December 2022, The Financial Times estimated that Russia had amassed a fleet of roughly 100 older oil tankers to help facilitate...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

    Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao. 'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mafuta ya alizeti - lita 20-72,000

    Kwa anaehitaji mafuta ya alizeti pure. Lita 20 - 70,000 Lita 5 - 22,000 Karibu sana: Kwa walioko Daresalaam tu. Call: 0752329591.
  15. JamiiForums Tanzania TANESCO mnapokata umeme toeni taarifa in advance. Mafundi wenu hutumia mwanya huo kuiba mafuta ya transfoma

    Kichwa cha habari kinajieleza, inafaa mnapokata umeme mtoe taarifa kwa wakazi wa maeneo husika ili tutambue katizo hilo ni official, msipotoa taarifa mnakosa ushirikiano wa wananchi kuweka attention kwenye transforma zenu ambapo mara nyingi wengi huwa tunadhani mmekata kwaajili ya matengenezo...
  16. JamiiForums Tanzania NADHARIA Mafuta ya nywele ya Body Luxe yanasababisha Mvi za mapema kwa Mtumiaji

    Matumizi ya muda mrefu ya mafuta ya nywele aina ya body luxe (body luxe hair oil) husababisha mvi kuota kwa kasi katika umri mdogo. Hapa nazungumzia haya mafuta ya nywele ya body luxe yenye kopo la pink lenye picha ya mwanamke ana nywele ndefu. Picha: Muonekano wa chupa za mafuta ya Body Luxe...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Mafuta ya Alizeti mazuri sana

    Nauza mafuta ya alizeti kwa jumla na rejareja. Dumu la 5ltrs kwa 25,000 tu na 20ltrs kwa 96,000 tu. Mzigo upo Sinza, Dar.
  18. JamiiForums Tanzania Walioguswa na Mradi wa Bomba la Mafuta Nkomelo wakabidhiwa nyumba zao mpya

    Ilikuwa ni furaha na tabasamu kwa wanakijiji 10 wa Nkomelo wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya kukabidhiwa nyumba zao mpya zkama sehemu ya fidia kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) linalotarajiwa kuanza ujenzi baadae mwaka huu. Nyumba hizo...
  19. JamiiForums Tanzania Pamoja na gharama za maisha kuwa juu Bei ya mafuta yaongezeka kwa sh.149 kwa lita. Ruzuku ina faida gani?

    Hawa Ewura naona wanamkakati wananchi tutembee kwa miguu katika shughuli zetu za kila siku. Pamoja na gharama za maisha kuwa juu bado bei ya mafuta imepanda kwa Tshs. 149 kwa lita. Mafuta ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wa nchi hivyo kama yakipanda bei basi ni mara moja tu madhara yake...
  20. JamiiForums Tanzania Ubunifu, Kanasaidia uchujaji wa polepole mafuta ya nyonyo warm pressed castor oil

    Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil. Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil Kimashine kinaweza kuundwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…