Meli zinazosafirisha mafuta ya Urusi kinyemela kusakwa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,401
Baada ya Urusi kupigwa pini, imekua ikisafirisha mafuta kinyemela kwa kutumia meli za wavuvi, ndio kete iliyokua imesalia, zitasakwa zote.....

Putin's oil plans
In December 2022, The Financial Times estimated that Russia had amassed a fleet of roughly 100 older oil tankers to help facilitate the sale of the country’s oil.

The shadow fleet
“The Kremlin’s push to assemble what the oil shipping industry calls Russia’s ‘shadow fleet’ is an attempt to overcome new international curbs on the country’s oil, wrote Financial Times journalist Miraz Shehnaz, and the move appears to have worked.

Since Russia invaded Ukraine, The European Union and the United States have worked together in order to curb Putin’s oil exports and limit Russia’s ability to fund its war effort.

😂😂😂😀Unachekesha Russia ni lini kapigwa pini kuuza mafuta yake? Hajapigwa pinu kuuza mafuta sema hao gays wenzio walisusa kununua mafuta yake lakini nchi yoyote ipo huru kununua mafuta kwa Urusi na hata hao gays pia wananua kimyakimya kwa Rubble,ajifichefiche kuuza mafuta kinyemela nani ambaye amemzuia?

Nchi za North Africa pekee kuanzia january mpk March hii zimeshaimport Barrels 2.8 million za mafuta ya Urusi na mpaka sasa tunavyoongea kuna meli ya urusi imetia nanga Morocco imeleta mafuta hiyo BAN na sanctions inatambulika hukohuko kwenye jamii zenu za mashiga za EU
 
Whos-Been-Buying-Russian-Fossil-Fuels-Mar-1.jpg

Na hizi ndizo nchi zinazonunua mafuta kwa urusi mpaka sasa, na hizi ni data za February this year,nadhani unaona mashoga wenu ambao wanajifanya kususa wakati hadi kesho bila Urusi maisha yao yanaangamia, haya we tuambie hizo meli za kusafirisha mafuta kimagendo uliziona wapi@? Currently kuna meli Morocco inashusha mafuta kutoka Urusi na nyingine ioo njiani kuelekea Egypt
 
😂😂😂😀Unachekesha Russia ni lini kapigwa pini kuuza mafuta yake!!??,Hajapigwa pinu kuuza mafuta sema hao gays wenzio walisusa kununua mafuta yake lakini nchi yoyote ipo huru kununua mafuta kwa Urusi na hata hao gays pia wananua kimyakimya kwa Rubble,ajifichefiche kuuza mafuta kinyemela nani ambaye amemzuia...

Liinsha lote hili unaandikia nani, huyo Putin keshafikishwa mwisho, meli zinasakwa sasa....
 
View attachment 2561403
Na hizi ndizo nchi zinazonunua mafuta kwa urusi mpaka sasa, na hizi ni data za February this year,nadhani unaona mashoga wenu ambao wanajifanya kususa wakati hadi kesho bila Urusi maisha yao yanaangamia,haya we tuambie hizo meli za kusafirisha mafuta kimagendo uliziona wapi@? Currently kuna meli Morocco inashusha mafuta kutoka Urusi na nyingine ioo njiani kuelekea Egypt

Mchina amepata sehemu ya kufyonza mpaka basi...hehehe
 
Wazungu walimzuia Gadaffi kuuza mafuta yake akawapa jirani bure nakumbuka mpaka Somalia aliwapa

Iraq wameiba sana mafuta wakiyapitisha Turkey
Syria kadhalika yaani ni muendelezo wa kuiba mafuta tu na artifacts za nchi za kizamani na leo Vito vinauzwa London, Paris na NY

Leo wanasaka meli za Putin

Wanaongelea Putin na Xi wamekula dinner kwa masaa mangapi hivi inawahusu na hiyo au ni umbea tu

Acha niweke shares kwenye machimbo ya mafuta Urusi
 
Wazungu walimzuia Gadaffi kuuza mafuta yake akawapa jirani bure nakumbuka mpaka Somalia aliwapa....

Sasa hapo Urusi nani kamuibia mafuta.... yeye mbona ameiba ardhi ya Ukraine mnamsifia...
 
😂😂😂😀Unachekesha Russia ni lini kapigwa pini kuuza mafuta yake!!??,Hajapigwa pinu kuuza mafuta sema hao gays wenzio walisusa kununua mafuta yake lakini nchi yoyote ipo huru...
Putin hali mbaya mpaka anauza mafuta magendo taifa tuliloambiwa ni superpower, inasikitisha sana
 
Aliwaonya hamkumsikia mmetoka mlikotoka mnaweka kambi kama kwenu
Yeye Mrusi anaangalia usalama wa nchi yake na wao kutwa kupeleka manowari ya kijeshi
Mara ooh mazoezi ya kijeshi ya NATO
Hao NATO kwanini hawafanyi mazoezi yao Somalia? Au Kenya
Superpower apishwe
 
Somalia wenyewe wanakufaa njaa , Kenya ukamee hata $ hawana , Mabeberu ni wajanja sana wanapigana kwenye Mali mkuu
 
Jamaa ni kilaza sana, UNABABAISHWA NA SANCTION BUNZI. Kawaulize kwanza Greece walivyojishebedua kukamata meri ya mafutaya Irani iliyokuwa inapeleke mafuta Yemen nini liliwapata?

HAKUNA TAIFA LENYE UBAVU WA KUKAKMATA MELI YA RUSSIA ILIYOBEBA MAFUTA. walioweka sanctions ni kama wamejipiga sanctions wenyewe ya kutonunua mafuta ya Russia
 
View attachment 2561403
Na hizi ndizo nchi zinazonunua mafuta kwa urusi mpaka sasa, na hizi ni data za February this year,nadhani unaona mashoga wenu ambao wanajifanya kususa wakati hadi kesho bila Urusi maisha yao yanaangamia,haya we tuambie hizo meli za kusafirisha mafuta kimagendo uliziona wapi@? Currently kuna meli Morocco inashusha mafuta kutoka Urusi na nyingine ioo njiani kuelekea Egypt
RUSSIA NI KAMA MAJI. haikwepeki
 
Mchina amepata sehemu ya kufyonza mpaka basi...hehehe

Putin hali mbaya mpaka anauza mafuta magendo taifa tuliloambiwa ni superpower, inasikitisha sana
Nyie hamna akili blahblah tu bila facts,ubongo wenu ndipo ulipoishia hapw maana zaidi ya kinyesi hamna cha maana kichwani..Bunge la Uganda limeshawapiga marufuku huko msijithubutu kuingia Uganda mtafungwa
 
Unachekesha Russia ni lini kapigwa pini kuuza mafuta yake? Hajapigwa pinu kuuza mafuta sema hao gays wenzio walisusa kununua mafuta yake lakini nchi yoyote ipo huru kununua mafuta kwa Urusi na hata hao gays pia wananua kimyakimya kwa Rubble,ajifichefiche kuuza mafuta kinyemela nani ambaye amemzuia?

Nchi za North Africa pekee kuanzia january mpk March hii zimeshaimport Barrels 2.8 million za mafuta ya Urusi na mpaka sasa tunavyoongea kuna meli ya urusi imetia nanga Morocco imeleta mafuta hiyo BAN na sanctions inatambulika hukohuko kwenye jamii zenu za mashiga za EU
Malizia kwa kumwambia tena ni bei chee
 
View attachment 2561403
Na hizi ndizo nchi zinazonunua mafuta kwa urusi mpaka sasa, na hizi ni data za February this year,nadhani unaona mashoga wenu ambao wanajifanya kususa wakati hadi kesho bila Urusi maisha yao yanaangamia, haya we tuambie hizo meli za kusafirisha mafuta kimagendo uliziona wapi@? Currently kuna meli Morocco inashusha mafuta kutoka Urusi na nyingine ioo njiani kuelekea Egypt
Ndio maana juzi kati nikamsikia Rais wa Ukraine analalamika kuwa nchi hazitekelezi vikwazo
 
Wanasema vikwanzo kwa Russia vya kutonunua mafuta na mbolea labda baada ya miaka 20, yaani mpaka wapate mbadala
 
MK254 na kp kipanya44 hawa jamaa ni wa kupimwa akili. Kila kitu kipo wazi, lakini ni wabishi kuliko pumbu. Russia ana washirika wake na hawawezi kumtupa. Nchi kama iran haiwezi nahaitakaa imtupe Russia. Uchina, North Korea hizi zimepata teknolojia ya silaha toka kwa russia. Hawawezi kumtupa. Mbwa nyie.
 
Back
Top Bottom