Hatimaye siri imefichuka baada Katibu itikadi na uenezi CCM, kuwatisha wabunge washindi wa kura za maoni, sasa wabunge hao waibuka na janjajanja wasikatwe.
Mbinu inayotumiwa na mafisadi wa CCM walionunua wajumbe, ni kuwatuma wafuasi wao katika misafara ya Tundu Lissu anayesaka wadhamini...
MAFURIKO ya Tundu Lisu, yaweza kubadili kanuni za uuwindaji. Yaani, Mbuni kuanzia kumuwinda Tembo. Au sungura kuanzia kumwinda mbwa!
Katika siasa Hakuna jambo linaloweza kutokea kwa bahati mbaya. Matukio yote hupangwa kwa njia za haki au hila! Hupangwa mchana au usiku! Sirini au kwenye Meza...
Mwaka 2019 rafiki yangu wa karibu alinishauri ifikapo 2020 nigombee ubunge. Baada ya kukataa ushauri wake alisema ndani ya CCM hususana serikali ya awamu ya 5 hata ukishindwa ubunge unaweza fikiriwa nafasi nyingine za uteuzi kama ukurugenzi, ukuu wa mkoa, wilaya na makatibu tawala mikoa na...
Heavy Rains, Human Activity, and Rising Waters at Lake Victoria
Water levels in Africa’s largest lake have risen over a meter since last fall and continue to increase as land use changes and heavy rains enhance the flow.
Heavy Rains, Human Activity, and Rising Waters at Lake Victoria - Eos...
Magazeti tofauti, waandishi tofauti kichwa cha habari kinachofanana hadi maneno yalivyoandikwa. Je, mwandishi wa magazeti haya ni mmoja au yanaandika kwa maelekezo kutoka upande fulani?
SERIKALI itaachana na matumizi ya nguzo za umeme zitokanazo na miti na badala yake itatumia nguzo za zege ili kuepukana na uharibifu wa nguzo kuoza na kusababisha tatizo la ukatikaji wa umeme.
Hayo yamesemwa wilayani Rufiji mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu wakati...
Tuliambiwa kuwa Bunge litapovunjwa au kukaribia kuvunjwa,Wabunge wa upinzani, hasa wa CHADEMA, wangehama kwa wingi mithili ya maji ya mafuriko kwenda CCM na kwamba CHADEMA ndio ingekufa rasimi.
Swali: Mafuriko hayo yako wapi?
Je, wale Wabunge Bunge wa viti maalumu waliohama hivi karibuni...
(SEE SWAHILI VERSION BELOW: SOMA CHAPISHO LA KISWAHILI CHINI)
Big earthquakes might make sea level rise worse. Here's how.
The Samoan islands are sinking faster than expected due to warming alone, and a pair of huge quakes is likely to blame.
Source: Big earthquakes might make sea level...
Hizi nilizopewa ni za ndani kabisa na mtu aliyeniambia ni mtu wa ndani ndani ya CHADEMA.
Kile kilichotokea tarime ni kama mfano tu pamoja na wanachama wa chadema kufanya vurugu na kupopoa mawe gari la NCCR Mageuzi.
Inasemekana ndani ya CHADEMA kuna uozo mwingi na ukiritimba bali watu walikuwa...
KWA muda wa saa 24 zilizopita watu 30 wamepoteza maisha yao kutokana na mafuriko.
Waziri wa Ugatuzi Eugene Wamalwa amesema Jumatano idadi jumla ya waliofariki kutokana na mvua kubwa inayoendelea kushuhudiwa maeneo mbalimbali nchini imefikia 194.
Bw Wamalwa alitaja maeneo ya Garissa, Tana...
Wakuu poleni na janga la Corona , pamoja na taarifa nyingi sana kutoka kwenye vyombo vya habari ni kuhusu Corona , lakini nchini Tanzania kuna tatizo kubwa sana la mafuriko kwenye maeneo mengi , na hivyo kuleta shida kubwa sana kwa wananchi wa maeneo husika.
Kumekuwa na uharibifu wa makazi ya...
Baada ya Haji Manara kuweka Wazi Bei ya ' Kumng'oa ' Simba Sports Club Mchezaji ' Mahiri ' na ' Mtaalam ' kabisa akiwa ndiyo ' Play Maker ' Clatous Chota Chama kuwa ni kati ya Dola za Kimarekani 350,000 hadi 400,000 ambazo ni sawa na Shilingi Milioni 850 hadi Milioni 900 wale ' Wapuuzi Mafuriko...
Wabunge wastaafu na wale watarajiwa wa CCM wamejianzishia mtaa wao huko Ununio na kuuita Bunge Btreet, miongoni mwao ni Mzee Kimiti, Mh. Foya wa Hai, Mh. Adam wa Muleba na Mh. Kippi anayetarajia kugombea Kawe.
Cha kusikitisha wabunge hawa wamefunga barabara na kuzuia mkondo wa maji hali...
Msikilize Mbunge Mohamed Mchengerwa wa Rufiji kwenye hiyo video. Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge wa CCM anasema hivyo. Ina maana yamemfika shingoni na ni HATARI KUBWA. Wana JF tupieni macho huko tuweze kuona jinsi ya kusaidia Watanzania wenzetu. na watu...
March 18, 2020
LIVE: MAFURIKO RUFIJI | WANANCHI WANAVYOMLILIA JPM
Wananchi wa Rufiji mkoani Pwani waamua kujitokeza baada ya kuona hakuna hatua za dhati za viongozi wa maeneo yao kuifahamisha serikali kuu kuchukua majukumu kuwasaidia.
Serikali ya CCM Mpya vilio hivi vya wana Rufiji...
Shule nne za msingi zilizopo katika kata ya Muhoro, wilayani Rufi ji, mkoa wa Pwani zimefugwa baada ya kuzingirwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini.
Shule zilizofungwa ni hizo Nyambapu, Muhoro, Kingongo na Kipoka na jumla ya...
March 7, 2020
Morogoro, Tanzania
Mvua kubwa iliyonyesha milima ya Uluguru inayoizunguka mji kasoro bahari wa Morogoro umejikuta wakazi na wafanyabishara wa mjini kati yaani down town city centre ukiwa na mafuriko ya tope jingi na maji. Wakazi waomba miundo mbinu ya mifereji na mto unaokatiza...
Mzuqa wanajamvi,
Mvua kubwa na kali inayoendelea kunyesha nchini Uingereza inaiweka Timu ya Liverpool pabaya na njia panda kutokutwaa ubingwa wa EPL ambayo wameisubiri miaka 30.
Mvua iyo kubwa inayoambatana na radi inanyesha kila siku nchini uingereza na kusababisha maafa na uharibifu wa...
Haya ndiyo madini ya ukweli aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi kama alivyonukuliwa
-----
Watanzania tumejenga kwenye mikondo ya maji haizibi, mvua ikija kuwachukua mnapiga kelele ni mafuriko, mnajifurika wenyewe, mlima upo hutaki kujenga unakwenda kujenga kwenye...
Picha haihusiani na tukio
Zaidi ya wananchi 4500 wa vijiji sita wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi hawana mahala pa kuishi baada ya nyumba zao kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha mkoani humo.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Januari 27, 2020 mkuu wa Wilaya hiyo, Christopher...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.