mafuriko

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mafuriko yaua zaidi ya watu 50 Afghanistan, Pakistan

    Mafuriko yameua zaidi ya watu 50 katika Jimbo la Logar Nchini Afghanistan na sehemu ya Nchi ya jirani ya Pakistan huku baadhi ya watu wengine wakiwa hawajulikani walipo. Hasara nyingine ni nyumba zaidi ya elfu moja kuharibiwa, mazao yaliyokuwa shambani yameharibika, Wanyama wamepotea na wengine...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania China: Watu 16 wafariki katika mafuriko, 36 hawajulikani walipo

    Watu 16 wamefariki Dunia na wengine 36 hawajulikani walipo kutokana na mafuriko yaliyotokea katika Jimbo la Qinghai, China. Mvua ya ghafla iliyonyesha imesababisha maporomoko ya ardhi ambayo yalifanya mto ujae maji. Mafuriko hayo yameathiri eneo lenye idadi zaidi yaa Watu 6,000 na zaidi ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hongeraaa Sana mama Samia kwa mafuriko ya watalii

    Kwanza nianze kumpongeza mh Rais kwa ziara yake anayoendelea nayo mkoani mbeya, Baada ya utangulizi huo naomba Sasa nianze kwa kusema hongera Sanaa mh Rais kwa kuikuza secta ya utalii, kiukweli kwa mafuriko ya watalii yanavyoendelea kushuhudia hapa nchini Nina kila sababu ya kumpongeza mh Rais...
  4. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya watalii nchini, nampongeza Rais Samia Suluhu

    Tanzania kama ilivyo baadhi ya mataifa, imejaliwa kuwa na vivutio mbalimbali vya utalii ikiwemo Hifadhi ya Ngorongoro ambayo inatajwa kuwa miongoni mwa zilizo katika maajabu saba ya dunia kwa kuwa na wanyama adimu duniani. Filamu ya Royal Tour inaonesha vivutio vya utalii vilivyoko Tanzania...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Iran: Mafuriko ya siku mbili yauwa watu 53

    Mafuriko ya siku mbili maeneo ya Tehran yameuwa Watu 53 kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Serikali. Mkuu wa Kitengo cha Msalaba Mwekundu, Mehdi Valipour amesema Watu wengine 16 hawajulikani walipo baada ya tukio kuathiri Watu 400 katika Vijiji 18 na kusababisha miundombinu mingi kuharibika. Wiki...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Takriban watu 45 wadaiwa kufariki kwa mafuriko nchini Bangladesh

    Mvua kubwa iliyonyesha kwa takriban wiki moja inadaiwa kusababisha mafuriko makubwa ambayo yameacha mamilioni ya watu bila makazi Inaelezwa kuwa baadhi ya shule zimegeuzwa hifadhi za muda kwa waathirika ambao vijiji vyao vimefurika baada ya mito kupasuka kingo, huku wanajeshi wakiendeleza...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Watu 87 hawajulikani walipo baada ya Mafuriko ya Mwezi Aprili nchini Afrika Kusini

    Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi, yaliyosababishwa na mvua kubwa ya mwezi Aprili imefikia 461 huku watu 90 bado hawajulikani walipo miezi miwili baada ya mafuriko mabaya zaidi kuukumba mji wa Durban Waziri Mkuu wa serikali ya jimbo la KwaZulu-Natal kusini...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mafuriko yafanya uharibifu mkubwa Afrika Kusini

    Mvua kubwa imetokea Afrika Kusini wikiendi hii na kusababisha mafuriko makubwa kwa wakazi wa maeneo ya Pwani ya Mashariki ambao wengi wao wamelazimika kuhamishwa katika makazi yao. Mafuriko hayo yameharibu miundombinu mingi ikiwemo barabara, majengo, hasa maneo ya Durban. Uharibifu huo umetokea...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Vifo kutokana na mafuriko vyafikia 443

    Kiongozi wa Jimbo la KwaZulu-Natal, Sihle Zikalala amesema idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa zilizopeleka maporomoko ya ardhi na mafuriko imeongezeka kufikia 443 Mbali na vifo, watu wengine 63 bado hawajulikani walipo. Mafuriko hayo yaliyotokana na mvua kubwa kunyesha kwa siku...
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatangaza nafasi za kazi 1,650

    Kila la heri mtakaopata. == JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA Telegrams “AFYA”, DODOMA Mji wa Serikali - Mtumba, Nambari ya simu: +255-026-2323267/2351196 Barabara ya Afya, Nukushi Na: +255-22-213806 S. L. P 743, 40478 DODOMA. TAARIFA KWA UMMA SERIKALI YATOA KIBALI CHA...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma rambirambi Afrika Kusini kwa mafuriko yaliyoua watu zaidi ya 300

    Kufuatia kutokea kwa mafuriko yaliyosababisha zaidi ya vifo 300 katika Jimbo la KwaZulu-Natal Nchini Afrika Kusini, siku chache zilizopita, Rais Samia Suluhu amtuma salamu za rambirambi Rais wa taifa hilo, Rais Cyril Ramaphosa. “Kwa niaba ya Serikali na Watanzania natuma salamu za rambirambi...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mafuriko yafikia 306

    Mamlaka za Mji wa Durban zinasema takriban watu 306 wamepoteza maisha katika mafuriko, huku zikionya kuwa watu wengi zaidi bado wanahofiwa kupotea Mvua zilizonyesha kwa siku kadhaa zimesababisha maporomoko ya udongo na kusomba makazi ya watu. Idadi ya waliofariki inatarajiwa kuongezeka wakati...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Brazil: Watu 176 wafariki kutokana na mafuriko

    Idadi ya waliofariki kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Petropolis, Rio De Janeiro nchini Brazil imefikia 176 ikiwa ni idadi kubwa kurekodiwa katika historia ya mji huo. Mvua kubwa nyingine kurekodiwa ilikuwa 1988 iliua watu 171. Mvua hiyo iliyonyesha Februari 15 iliwafunika watu wengi kwenye...
  14. Hakainde

    JamiiForums Tanzania Mafuriko: Makanya, Same, Kilimanjaro

    Makanya, Same, Kilimanjaro, barabara haipitiki kwa sababu mvua imesababisha maji kupita juu ya daraja, na kusababisha msururu mrefu wa magari yanayotoka na kuingia Mkoa wa Kilimanjaro. Mamlaka husika, hususani Mkoa wa Kilimanjaro, zichukue hatua za dharura kunusuru abiria na magari, na pia...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mtaa wa Ufipa yalipo makao makuu ya CHADEMA wakumbwa na mafuriko, wakazi waililia Serikali

    Mtaa maarufu wa Ufipa uliopo wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam umekumbwa na mafuriko kufuatia mvua iliyonyesha leo. Wakazi wa mtaa huo wameiomba serikali kuwaondolea kero hiyo inayosababishwa na ujenzi wa barabara. Ufipa st ndipo yalipo makao makuu ya chama kikuu cha upinzani (Chadema)...
  16. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Swaswa Dodoma na Mafuriko

    Wakazi wa Swaswa jijini Dodoma waanza kujiandaa na mafuriko, ni kitu kimenishangaza sana mara baada ya kuspend muda kwa wiki yote iliyopita katika jiji hili. Kuna mwenyeji wangu amekuwa akinishauri nije kujenga Dom nikasema ngoja niende, zunguruka na madalali kutafuta viwanja ndio nikaonyeshwa...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Waafrika milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali ifikapo 2030

    Umoja wa Mataifa(UN) umetahadharisha kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi ambayo yanahatarisha maisha waafrika milioni 118 ambao ni masikini wanaoishi chini ya dola 1.9. Imekadiriwa kufikia 2030 watu milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali kama hatua za makusudi hazitachukuliwa...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Sudan: Watu zaidi ya 80 wafariki dunia kutokana na mafuriko

    Watu 84 wamefariki dunia na wengine 67 kujeruhiwa tangu kuanza kwa msimu wa mvua mwezi Julai. Mvua hizo zimeathiri Majimbo 14 kati ya 18 huku nyumba 30,000 zikiharibiwa. Umoja wa Mataifa (UN) unakadiria takriban watu 102,000 wameathiriwa na mvua kubwa Nchini humo. Mwaka 2020, Sudan ilitangaza...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji suluhisho la mafuriko mto msimbazi na siyo kujikita kwenye usafiri Jangwani tu

    kwa mda mrefu jiji la Dar hukumbwa na mafuriko katika mto msimbazi yanayopelekea nyumba kadhaa kando kando ya mto msimbazi kuzingirwa na maji huku baadhi ya barabara kama magomeni eneo la jangwani kutopitika. inashangaza kuona serikali inapanga kujenga daraja jangwani kama ndiyo suluhisho la...
  20. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Mbinu na jitihada muhimu za kuchukua pale unapopatwa na mafuriko

    Hivi karibuni tumeshuhudia nchi mbalimbali ziiathirika na majanga ya mafuriko na mioto ya msituni. Je ushajiuliza kama janga kama hilo likitokea eno lako hatua za kuchukua na hatua gani ya kuanza nayo? Nchi ambazo zina miundombinu bora lakini bado zimeathiriwa na mafuriko kama Ujerumani...
Back
Top Bottom