mafanikio

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mke anaweza kukuharibia mafanikio maishani

    Kijana chunga sana mtu unayemuoa. Kuna baadhi yao wanaweza kukuharibia malengo yako. Usifuate wezere tu.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Why watu wenye mafanikio wamesoma kayumba? Samatta, Diamond, Doctors, Engineers, President etc

    Habari wadau.. Mbona watu wengi wenye mafanikio wamesoma kayumba? Hizi shule za kizungu zinakosea nini kuandaa watoto ? Nimepima sector zote.. kuanzia michezo, business, politics, music, engineering naona kayumba wanaongoza... Nawaza tu hizi shule za mtoto kubeba begi kubwa na kuchukuliwa na...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wote wa Corona wa Faeroe Islands wapona, hakuna kifo, Waziri Mkuu aanika siri ya mafanikio

    Wagonjwa wote 187 walioambukizwa covid-19 katika kisiwa cha Faeroe kilichopo kaskazini mwa UK wamepona na hakuna aliyekufa. Faeroe ni nchi inayojitegemea sio sehemu ya UK. Waziri mkuu wa Faero Bárður á Steig Nielsen awashukuru watu wake na kutaja siri ya ushindi huu: 1. Kufunga shughuli...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Kwanza ningependa kukupongeza kwa juhudi zako za kutaka kuliboresha jiji letu hili la Dar. Nimekuwa nikifuatilia juhudi zako tangu ulipokuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni. Naamini jitihada zako za kutaka kuboresha wilaya ya Kinondoni ndizo zilizomfanya Raisi akuongezee majukumu kutokana na kuona...
  5. JamiiForums Tanzania Ukikutana na mtu aliyekuzidi akili, fedha au mafanikio, muulize swali hili moja kama unataka kufika viwango vyake

    Haijalishi umepiga hatua gani kwenye maisha yako, kuna mtu ambaye amepiga hatua zaidi kwenye eneo hilo. Na uwepo wa watu ambao wamepiga hatua zaidi yako ni kiashiria kwamba hata wewe unaweza kupiga hatua zaidi ya hapo ulipo sasa. Lakini je tunawezaje kupiga hatua kubwa kama ambazo wamepiga...
  6. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  7. JamiiForums Tanzania Sauti za wananchi juu ya juhudi za awamu ya tano mafanikio na changamoto

    Wananchi wanasema stand ya mabasi waliyoambiwa imejengwa kwa million 800, haina ubora na thamani ya pesa hiyo. Elimu bure ndiyo lakini hakuna walimu mashuleni na kuna shule hazina majengo.
  8. JamiiForums Tanzania CCM ikitaka kupata Airtime ya kutosha iwanunue Mbowe, Mnyika na Tundu Lissu hawa mnaowanunua mtafirisika bila mafanikio

    Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti . Sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Embu tujuzane mafanikio yakoje au muitikio ukoje wa utelekezaji wa rai ya kufyatua watoto?

    Habari wana JF Mwenye Enzi Mungu aliagize nendeni mkaijaze dunia. Muheshimiwa Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli naye alitoa rai kwa wananchi wa Tanzania wafyatue watoto. Huu ni mwaka mpya, mimi tayari nimefyatua kamoja mwaka jana na nina mpango wa kufyatua kingine mwaka huu, sasa sijui wewe...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya mikutano na makongamano ni pamoja na Wajumbe kuvaa sare nzuri, CCM jifunzeni kwa CHADEMA

    Huu ni ushauri tu ambai unaweza kupokelewa au kukataliwa. Inawezekana kabisa kuwa CCM hawamind mambi ya kupamba kumbi zai za mikutano, basi wazingatie hata unadhifu wanapovaa sare zao mikutanoni na kwenye makongamano. Unamkuta mwanaccm amevaa sare iliyochanika au yenye viraka hii si sawa kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuunga mkono katika harakati zako tegemea mafanikio makubwa

    Nelson mandela wakati alipokuwa gerezani akitumikia adhabu yake Winnie Mandela alipambana nje kuhakikisha harakati za mume wake anaendeleza ingawa mwanzoni hakupenda kama ilivyo kawaida kwa wanawake wengi akihofia kuuawa kama wengine lakini hofu ilipoisha alimtia moyo Mandela. Inapendeza sana...
  12. J

    JamiiForums Tanzania 2019 umekuwa mwaka mgumu kwa CHADEMA lakini wenye mafanikio kwa CCM na ACT Wazalendo

    Kiukweli mwaka 2019 unaoelekea ukingoni umekuwa mgumu sana kwa Chadema ambayo ilikimbiwa na wabunge wake wengi. Kadhalika ni mwaka ambao Chadema ilimpoteza mwanachama wake maarufu kuliko wote mzee Lowassa aliyehamia CCM. Pia mzee Sumaye na mzee Mgeja na kundi kubwa la madiwani waliamua kuachana...
  13. JamiiForums Tanzania Kama unataka kufanikiwa 2020, achana na malengo na kazana na kitu hiki kimoja

    Huu ni ule wakati wa mwaka ambapo kuna kelele nyingi sana kuhusu malengo. Watu wanaulizana mwaka umeisha na umefanya nini na wengine wanahamasishana kuanza kuweka malengo ya mwaka mpya mapema. Nasema hizi ni kelele kwa sababu karibu kila mtu huwa anajiwekea malengo mwanzoni mwa mwaka. Kila mtu...
  14. JamiiForums Tanzania TRC yajivunia mafanikio uongozi wa Rais Magufuli

    SERIKALI ya awamu ya tano, imeleta mchango mkubwa katika kukamilisha na kuleta mafanikio katika sekta ya reli nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa uongozi wa Rais John Magufuli umekuwa wa kipekee kutokana na...
  15. JamiiForums Tanzania Mafanikio katika Maisha-Kila unachokiogopa sana ndio kitakachotokea

    Habari za wakati huu; Leo natoka nizungumzie hofu na nafasi yake katika mafanikio.Sitaki kueleza maana ya mafanikio ingawa najua kabisa kwa wengi wetu kuna picha zinakuja kwenye akili zetu ambazo ndio maana ya mafanikio kwetu ila napenda zaidi kuacha hilo eneo ubaki na tafsiri yako hio...
  16. JamiiForums Tanzania Wafu hawana simulizi: Jinsi hadithi za waliofanikiwa zinavyoweza kukupotosha na kukupoteza

    Rafiki yangu mpendwa, Hadithi za watu waliofanikiwa huwa zinatupa hamasa kubwa sana kwamba hata sisi pia tunaweza kufanikiwa. Huwa zinatupa ile hali kwamba kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini. Hivyo waandishi na wahamasishaji wamekuwa wakizitumia hadithi hizi kwenye habari...
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 unaisha tiririka mafanikio yako ya kufanya Forex

    Wakuu biashara ya Forex kwa Tanzania imeshamiri sana kwa kipindi cha miaka miwili au mitatu iliyopita. Wengi wameingia katika biashara hii lakini baadhi waliamua kuendelea nayo na wengine wameamua kuachana nayo. Kwa mwaka huu baada ya kufanya biashara hii nimefanikiwa kupata pesa na kuwekeza...
  18. JamiiForums Tanzania TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

    Kuna taarifa za msiba wa Alli Mafuruki. Hakuna taarifa zaidi zilizopatikana hadi sasa. Pumzika kwa Amani ==== Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Infotech Investment Group, Ali Mufuruki amefariki dunia leo Enzi za uhai wake Mufuruki aliwahi kuwa Mkurugenzi Huru, Mwenyekiti wa Bodi...
  19. JamiiForums Tanzania Hatua ya kwanza ya kusimamia uchumi wako na mafanikio

    Watu wengi wanaishi bila kuwa na mipango,mambo yao wanapeleka mambo kwa kufuata mkumbo na bora liende hiyo ni hatari kubwa,mafanikio hayaji kama ajali yanatengenezwa na jitihada,umakini,ustahimilivu na imani,vivyo hivyo kwa upande wa mafanikio ya kiuchumi. Sheria na kanuni zake ni zile zile...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Magufuli: Changamoto sugu zimebaki historia, kila pembe ya nchi inashangilia mafanikio yake

    Mzee Mwinyi aliwahi kusema “haya yanayofanywa na JPM hatukuweza kufanya kwa miaka 30”. Ni kauli ya moyoni mwake na hakika ni kauli isiyoweza kubezwa na yeyote kwa sababu zifuatazo: ya kwanza, Mzee Mwinyi aliwahi kuwa Rais, kauli hiyo ameitoa baada ya kuupima urais wake na huu wa JPM na kuona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…