mafanikio

  1. JamiiForums Tanzania Mnisahihishe kwa uhalisia lakini hadi sasa sijaona jamii yenye watu wenye mafanikio kuwazidi wazanzibari, wapo mbali sana na huu ni mwanzo tu

    Waznzibar wapo milioni na nusu hivi lakini mziki wao haukamatiki kwa % ya waliofanikiwa. Percentagewise ukiwaweka wazanzibari waliofanikiwa kwenye idadi ya wazanzibari wote, unapata asilimia kubwa kuzidi kabila au jamii yoyote hapa Tanzania bara. - Kibiashara wapo juu, pesa wanazichapisha...
  2. JamiiForums Tanzania Tusipende kutumia msemo kwamba Mungu amempa huyu na fulani hajampa, Mungu hana upendeleo na huenda anahusika kidogo sana kwenye mafanikio yetu duniani

    Msemo huu hupendwa sana kutumika hasa na watu kanda ya mikoa ya pwani ya bahari. Utasikia hili sio fungu langu, fulani kapewa fulani kanyimwa. Hizi ni fikra za kimasikini sana za kumfanya mtu anafikia mpaka kuridhika na hali yake na kushindwa kupambana kwa njia tofauti za kufikia malengo yake...
  3. JamiiForums Tanzania Mafanikio hayapo kwa kila mmoja, ni wachache tu waliopitiwa na bahati

    Definition ya mafanikio ni kubwa sana, inategemea na mtu anaonaje mafanikio lakini uhalisia unabaki kuwa mafanikio ni pesa/umiliki wa mali. Nimekaa sehemu nikaona vijana wanatembeza muha wanakata vipande 100/200 nikaingia kwenye tafakuri nzito kidogo. Muhubiri 9:11 Nikarudi nikaona chini ya...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Vidole vya mkono wangu siri ya mafanikio yangu

    Ndipo nilipokaa chini pembezoni kidogo na ukingo wa kitanda changu nikiwa nimegubikwa na shauku kubwa ya mafanikio. Kama Kijana mdogo nijuaye kwa hakika na dhairi shairi kua Maisha haya ni duara, hivyo nisimame imara kuligombania Kombe na kuanzisha safari yangu ya Mafanikio. Nikijua...
  5. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa ukubwa wa jeshi hakutaongeza mafanikio katika vita ya Ukraine

    Waziri wa ulinzi wa UK amesema kuwa mmpango wa Rusia wa kuongeza idadi ya wanajeshi ikijumuisha kuwabembelea wafungwa kuingia vitani hakutarajiwi kuongeza mafanikio katika mzozoz wake na Ukraine. Hii ni kutokana na kuwa Rusia imekuwa ikipoteza wanajeshi kwa wingi. Kwasasa Rusia anataka...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Mafanikio kupitia mtazamo chanya

    Je una tatizo? hilo ni jambojema!. Je una tatizo? Na ni jambo jema kwanini? Kwasababu utatuzi wa matatizo yako unakuletea mafanikio makubwa katika maisha yako. Kila mmoja wetu ana matatizo ndo maana kila kitu katika ulimwengu kipo katika hali ya kubadilika.Kitu cha muhimu ni kwamba, mafanikio...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Mtazamo, uzio wa mafanikio

    "Atazamavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo"! Usemi huu hauchukuliwi katika upana wake japo uhalisia wa maisha ya mtu huanzia katika fikra zake. Watu wengi wameshindwa kufikia viwango flani vya kiuchumi wakiamini wao sio watu wa kaliba hiyo nakuamini waliofika hatua hizo ni watu baadhi tu...
  8. JamiiForums Tanzania Simulizi fupi kuhusu mafanikio

    Hiki ni kisa cha marafiki wawili ambao walikuwa wakifanya kazi kwa bidii lakini mmoja wao tu ndiye aliyepandishwa cheo. Yule mwingine aliona kama hakutendewa haki hivyo alienda kulalamika kwa boss wake kwamba hawajali wafanyakazi wake wanaofanya kazi kwa bidii. Boss wao aliwapa task ambayo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu hata kwa mafanikio au matatizo yao binafsi huwapongeza au kuwalaumu viongozi?

    Nimesikia mara nyingi sana baadhi ya wananchi wakiipongeza serikali kwa wao kumiliki nyumba, gari, buashara, kuwa na kazi, elimu hata kama wamelipa ada. Nk Au wengine kuwalumu serikali kwa kukosa maisha bora! Je, ni sahihi kwa mtu kuipongeza au kuilaumi serikali kwa mafanikio/matatizo yake binafsi?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ndoto na Mafanikio

    UTANGULIZI NDOTO NI NINI? Ndoto ni taaswira, mawazo, tamaa au hisia ambazo zinapita katika akili yako. Mara nyingi Sana ndoto ni kitu unachoweza kukitengeneza katika taaswira yako kulingana na malengo yako ya baadae. Ndoto ni kitu unachokitamania kukitimiza siku moja katika maisha yako. Lakini...
  11. JamiiForums Tanzania NSSF yajivunia trilioni 7.3 ukusanyaji wa michango ya wanachama kwa mwaka wa fedha 2022/2023

    Kiasi cha shilingi Trilioni 7.3, katika mwaka wa fedha 2022/2023, kimekusanywa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii, (NSSF) ambapo fedha hiyo inatokana na michango ya wanachama wa mfuko huo. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw.Masha Mshomba wakati akitoa...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Mafanikio kwenye ulimwengu wa kisasa

    MAKALA: SAYANSI NA TEKNOLOJIA Miaka 200 iliopita yaani mwaka 1822 hakukuwa na kiwango kikubwa cha maendeleo ya sayansi na teknolojia. Nchi nyingi duniani hazikujua kuna jambo gani linaloendelea upande mwingine wa dunia. Kulikuwa na changamoto kubwa ya kupata tiba, usafiri, mawasiliano, nishati...
  13. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rayvany kuondoka WCB utampelekea kupata anguko kubwa katika mafanikio yake.

    UAMUZI WA RAYVANY KUONDOKA WCB UTAMPELEKEA KUPATA ANGUKO KUBWA KATIKA MAFANIKIO YAKE: Ikumbukwe kuwa Rayvany alishajiondoa WCB lebo mama iliyomkuza tangu alipoondoka kwa Madee akiwa msanii mchanga. Dhumuni la Rayvany kuondoka WCB pengine ni yeye kupata mafanikio makubwa kuliko yale aliyokuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye asema bei ya internet imeshuka wakati wa Rais Samia ukilinganisha na Machi 2021

    Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
  15. JamiiForums Tanzania Unawakumbuka ndugu, rafiki na wote waliokusaidia au kuchangia mafanikio yako?

    Wengi mpaka hapa tulipo leo kwenye maofisi yaliyo kwenye floor ya ngapi sijui nini tower...kuna watu a tulishirikiana au walitusaidia kama si fedha basi hata ule mchango wa mawazo lakini na kampani kiaina kuwa na amani Wengine ilivyompendeza Mungu ni tumewaacha vijijini...wengine bado...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Pape Ousmane Sakho (POS) usilewe mafanikio ya kiatu cha goli bora, bado una safari ndefu

    Ahlanbik kutoka Lombardia ndani ya jiji la Bergamo kaskazini mwa nchi ya Italy: Jana nlifanikiwa kuitazama mechi ya miamba ya soka nchini Tanzania ,Simba dhidi ya timu ya Geita Gold nikiwa hapa Italy kupitia Azam max, niseme tu pongezi ziwaendee Azam kwa kutuwezesha diasporas tulioko huku...
  17. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maandalizi yako, mafanikio yako

    MAANDALIZI YAKO; MAFANIKIO YAKO Maisha ni mnyororo wa matukio. La leo litazaa la kesho, na la kesho litazaa kesho kutwa yake, hadi mwisho. Japokua sisi tunapita tu, maandalizi yanaweza tupatia mafanikio na maisha ya milele katika kumbukumbu za vizazi na vizazi. Maandalizi ni mchakato wa...
  18. JamiiForums Tanzania Mnaobeza mafanikio ya Awamu ya Sita, zungukeni Tanzania muone mafanikio ya Serikali ya Rais Samia katika utekelezaji wa miundombinu

    Kuna watu kazi yao wamekuwa ni kupinga na kubeza mafanikio ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Samia Suluh Hassan, yawezekana wanatumia uhuru wao wa kutoa maoni kikatiba au wameamua kupinga kwa sababu kazi yao ni kupinga bila kutambua hatuna Tanzania nyingine zaidi ya hii tunayoishi...
  19. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Moyo wako; Siri ya mafanikio yako

    Ni ukweli usiopingika kwamba kila mtu anatamani kufanikiwa katika maisha. Wapo wanaotamani kufanikiwa kifedha, kisiasa, kielimu, kijamii na hata kiafya. Moja kati ya siri kubwa za mafanikio ni kusikiliza kile moyo wako unachohitaji. Wengi wamejuta kwenye maisha kwa kufanya mambo ambayo yalikuwa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Mafanikio kibiashara bila uchawi haiwezekani?

    "Oy babu Hauwezi shika milioni kumi au kutengeneza himaya Kubwa kibiashara bila kwenda KWA mganga kuchukua ndagu" Unamwona Fulani ako na kidonda kisichopona ... Mangi anae msukule ndani unaodondosha udenda ambao ni hela... Mpemba anayo majini ... Hizi ni baadhi ya kauli tinazokumbana nazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…