mafanikio

  1. JamiiForums Tanzania Kwa mafanikio haya ya Yanga SC ni mwana Simba SC Mwendawazimu tu ndiyo atayabeza na kuyachukia

    Tena nadhani kwa mwana Simba SC kuliko kuwa na Usununu ( Chuki ) dhidi ya Yanga SC kufika Fainali ya CAFCC ni Bora tukazihamishia kwa Mwekezaji Wetu, Mwenyekiti wa Bodi, Mwenyekiti wa Wanachama, CEO Wetu, Benchi la Ufundi na Wachezaji wa Simba SC kwani Wao ndiyo Chanzo Kikuu cha Sisi leo...
  2. JamiiForums Tanzania Benki ya NBC Yakabidhi Gawio la Tsh Bil 20 Kwa wana hisa wake, yajivunia mafanikio.

    Msajili wa Hazina Bw Nehemiah Mchechu (wa tatu kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh 6 Bilion kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw Theobald Sabi (Kushoto) ikiwa gawio la mwaka 2022 kwa Serikali ambayo inamiliki asilimia 30 ya hisa za benki hiyo. Wanaoshuhudia ni...
  3. JamiiForums Tanzania Simba ni chachu ya mafanikio ya Yanga, nashauri serikali ifanye hivi

    Iingeze idadi ya watu itakao wasafirisha kwenda kushangilia first leg ya fainali, na safari hii iongeze 55 wengine watakaopenda kwenda kuishangilia timu itakayopambana na Yanga. Maamuzi ya mashabiki wa Simba yamekuwa ni chachu sana ya ushindi kwa Yanga, ndiyo maana nasisitiza wale wote...
  4. JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya mafanikio ya kudumu kwenye ndoa za Wazee wetu?

    Habarini wana MMU, Natumai ni wazima wa afya kabisa na wenye shida kidogo mungu awabariki warudi kwenye hali yao ya kawaida ya kiafya. Hili jambo limekuwa likinitatiza sana. Na leo nimeamua niwashirikishe ndugu zangu labda tutapata wasaa zaidi wa kulifafanua hili jambo. JE NI IPI SIRI YA...
  5. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Kisayansi ya Yanga SC dhidi ya Upumbavu unaoendelea Simba SC yatanifanya nianze kuwa Neutral kiushabiki

    Timu inamilikiwa na anayesifiwa Tajiri Afrika halafu ndani yake kuna Uswahili Uliotukuka huku hata nae Tajiri akiwa ni Mswahili hivyo hivyo. Timu inamilikiwa na Tajiri wa Kawaida tu GSM huku ikisimamiwa Kisayansi na Rais Injinia Hersi Said inazidi tu Kuchanja Mbuga Kimafanikio huku ikitutia...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Mwanangu, mafanikio yako utayapata Kwa juhudi

    Mwanangu, mafanikio yako utayapata Kwa juhudi Utangulizi Siku zote, mafanikio hayaji kwa bahati mbaya. Lazima uwe na juhudi, bidii na uvumilivu ili kufikia malengo yako na kuzishinda changamoto zote unakutana nazo katika maisha basi nasi kama taifa la Tanzania , nchi na wananchi wake hatuna...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Namba hazidanganyi: Bado Halaand ana safari ndefu sana kuyafikia mafanikio ya Cristiano Ronaldo, japo mwelekeo anao!!

    Tatizo ni kwamba watu warefu kwa kawaida hawakai kwenye form kwa muda mrefu , lakini pia Halaand anatumia mguu mmoja tu wa kushoto wakati R7 mashine inakubali kote kote. Halaand ni mrefu zaidi ya Ronaldo. Nafahamu exceptions huwa zinatokea. Naziachia namba hapa zizungumze!! Domestic Tournaments...
  8. JamiiForums Tanzania Uhalisia wa mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa katika picha

    Kutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwali linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili katika mashindano yote ya CAF. Nadhani jedwali hili litatupa picha kamili ya mafanikio ya timu hizi...
  9. JamiiForums Tanzania Seif Gulamali azungumzia mafanikio ndani ya miaka miwili ya Rais Samia katika Jimbo la Manonga

    Mbunge wa Jimbo la Manonga Wilaya ya Igunga, Mhe. Seif Khamis Gulamali ameainisha miradi ya Elimu na Afya ambayo imefanyika jimboni kwake huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupeleka fedha. Jimbo la MANONGA Wilaya ya Igunga lilipokea Jumla Shilingi 543,400,000/= fedha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mnaupiga mwingi, mafanikio ya msimu mmoja tu ndani ya michuano ya CAF ni kielelezo cha ubora wa timu yenu

    Hakuna asiejua msoto aliopitia yanga miaka ya nyuma kwenye michuano ya kimataifa, mafanikio pekee aliyokuwa nayo ilikuwa ni kuingia hatua ya makundi kombe la shirikisho na akavuta mkia kwenye kundi lake, kipindi icho ilikuwa ni yanga ya kuungaunga sana. Lakini baada ya uwekezaji mkubwa kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tatizo tunaishi kwa mazoea! "Yanga ana mafanikio zaidi kimataifa kuliko simba mwaka huu

    Tatizo tunaishi kwa mazoea na usimba na uyanga Yanga wakati inaanza mwaka huu wa mashindano ilikuwa ya 75 Leo hii yanga ipo ndani ya top 20 best club in Africa. Wakishika nafasi ya 20 wakati simba kapanda nafasi 5 tu mwezie kapanda nafasi 55 tuendelee kuwepo lakini ukweli Yanga ya Sasa ni...
  12. JamiiForums Tanzania DJ Khaled hafahamu lolote kuhusu muziki, siri imejulikana

    Siku zote usipojua nyota yako kali usitegemee kufanikiwa kama usipojiondoa kwa watu watakao tumia nyota yako kutembelea kwenye mafanikio yao. Wote tunamfahamu msanii T-Pain aliyetamba miaka ya nyuma na hakuna ngoma iliyofanya vibaya. Kutokana na umaarufu wake mpaka kuunda kundi la Nappy Boy...
  13. JamiiForums Tanzania List ya wasanii wa Bongo ambao walipata umaarufu na mafanikio makubwa, lakini leo wako juu ya mawe

    1) Mr Nice - huyu Afrika mashariki nzima na baadhi ya nchi za kusini kama vile Malawi, Msumbiji na Zambia hakuna mtu ambae alikuwa hamjui. Mpaka watoto wadogo huko vijijini Malawi walikuwa wanaimba kidali poo. Miaka ya 2002 mpaka 2005 alipiga hela sana lakini akaishia kushusha zipu, leo hii...
  14. JamiiForums Tanzania Kuumizwa na mafanikio ya Simba Sc ni maradhi ya kujitakia

    Mafanikio ni nini? Mafanikio ni hatua ya kufikia au kuzidi malengo uliyojiwekea. Kwa lugha ya kigeni tunaita Goal Achievement. Simba tumekuwa na malengo kadhaa kila mwaka. Moja ya malengo yamekuwa ni kufanya vizuri kimataifa na kwa kiwango kikubwa tumekuwa tukifanikiwa kifikia malengo yetu...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sengerema afunguka mafanikio ya Rais Samia na ukweli kuhusu uwepo wa Sukuma Gang

    Mbunge wa Sengerema, Tabasamu Hamisi Mwagao amesema kipindi cha Miaka Miwili ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan imekuwa ya Mafanikio katika Sekta mbalimbali ikiwamo Nishati, Maji, Elimu, Afya na Miundombinu katika Mkoa wa Mwanza huku akikana uwapo wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Shonza: Miaka Miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan Imekuwa Chachu ya Mafanikio kwa Taifa

    MBUNGE MHE. JULIANA DANIEL SHONZA - "MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN IMEKUWA CHACHU YA MAFANIKIO KWA TAIFA Mbunge wa Viti Maalum CCM Wanawake (UWT) anayetokea Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza amempongeza Rais Samia kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani huku akijikita kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Simba msimu uliopita na msimu huu mpaka sasa

    Hayo ni mafanikio tunayojivunia wana Simba na hakuna timu yoyote Tanzania na Africa kwa ujumla inaweza fikia. 1) Kucheza robo fainali cc na cl 2) Kubeba tuzo la goli bora la msimu (goli la Sakho) 3) Wachezaji kupostiwa magoli ya wiki 4) Wachezaji kuwekwa kwenye team ya week 5) Kupostiwa kwenye...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Hawa Ndio Walio Nyuma ya Mafanikio ya Yanga na Simba

    Ukweli ni kwamba, kampuni za METL inayoongozwa na Mohamed Dewji na ile ya GSM inayoo na Ghalib Said Mohd ndio kampuni zinazoipa jeuri Yanga akia Utopolo na Simba, aka Madunduka FC; Makofi tafadhali kwa kampuni hizi mbili! Hata hivyo, kampuni hizi mbili zisingeweza kufanya wayafanyayo kama sio...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga na Simba kuingia Robo Fainali katika mashindano yao wanayoshiriki siyo mafanikio

    Mimi nikiwa ni mdau wa soka, Nashangazwa na sifa ,majigambo na majivuno wanayojipatia mashabiki , wapenzi , viongozi na waandishi wa habari za michezo kuwa HATUA YA ROBO FAINALI YA MASHINDANO YA AFRIKA yaliyofikiwa na vilabu hivi eti tunaita MAFANIKIO. Huo ni UONGO, UZEMBE NA UDWANZI, mafanikio...
  20. JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi haya ndiyo Mafanikio Kuntu ya Rais Samia kwa hii miaka yake Miwili Madarakani

    1. Kiwango cha Ujinga ( Ungumbaru ) kwa Wananchi wa Taifa lake Kuongezeka. 2. Utamaduni wa Visasi na Chuki kwa Waliokuchukia na Usiowapenfa Kuongezeka. 3. Kiwango cha Elimu Kushuka na kuwa ICU huku Ufaulu wa Kisiasa kwa Wanafunzi Kuongezeka. 4. Kiwango cha Wanaume wengi kupenda kuwa kama Dada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…