Mafanikio ni nini?

King Jody

JF-Expert Member
Oct 8, 2022
914
1,704
Unaweza kusema mafanikio ni kuwa na maisha mazuri, kwa mfano, kuwa na Biashra au kazi nzuri yenye
Kipato kikubwa, kumiliki nyumba nzuri pamoja na magari ya kifahari nk,

Swali langu ni je? kwa mtu anayefanya shughuli zisizo halali kama vile ujambazi au ufisadi na anamiliki nyumba
nzuri, magari na vitu vya thamani kubwa, tunaweza kusema amefanikiwa?

Hili neno MAFANIKIO linanichanganya sana.
 
Screenshot_20230711-092908.jpg
 
Back
Top Bottom