mafanikio

  1. JamiiForums Tanzania Mke wa boss wako akikutaka kimapenzi, je utakuwa Mwaminifu? Jibu lako ndio Siri ya Anguko au Mafanikio yako

    MKE WA BOSS WAKO AKIKUTAKA KIMAPENZI, JE UTAKUWA MWAMINIFU? JIBU LAKO NDIO SIRI YA ANGUKO AU MAFANIKIO YAKO Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani katika Hekalu Jeusi Mke wa Boss wako ameumbika, shape imesimama kama namba ya Lampard mchezaji wa zamani wa Chelsea. Akitembea anatikisika na...
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Ukraine apongeza mafanikio kusini asema njia ni nyeupe

    Mafanikio makubwa yamepatika Kusini Ukraine na kwamba ngome za Urusi zimemungunyuka na kupoteana hivyo wanazidi kusonga mbele kwa haraka haraka kukomboa ardhi yao
  3. JamiiForums Tanzania Ijue siri kubwa ya mafanikio ya Yanga

    Tunamkumbuka Stephen King kwa maneno yake yenye busara hasa pale aliposema: "Talent is cheaper than table salt. What separates the talented individual from the successful one is a lot of hard work." Ila bwana Kevin Durant yeye akasema "” Hard work beats talent when talent fails to work hard”...
  4. JamiiForums Tanzania Mafanikio maisha mzunguko

  5. JamiiForums Tanzania Ujana na kujivunia mafanikio

    Asalaam wana wa JamiiForums, husikeni na kichwa cha habari. Sote twafahamu kila mmoja anafanya kila namna ili kufikia hatua ya mafanikio na sio hivyo tu kila mmoja ana namna yake ya kutafsiri mafanikio. Kwenye mada yangu nitaangazia mafanikio ya maisha zaidi maisha ya kawaida katika kuweza...
  6. JamiiForums Tanzania Barabara ya kuelekea kwenye mafanikio siku zote ipo kwenye ukarabati

    Wazee wanasema "barabara yakuelekea kwenye mafanikio siku zote ipo kwenye ukarabati". Daima kazana kujitahidi kutimiza malengo yako, isifikie mahali nakujiona sasa nimefika, siku zote tupo kwenye mapambano. Unaweza kutumia njia ikakufikisha kwenye malengo lakini kumbuka utakutana na binadamu...
  7. JamiiForums Tanzania Naitabiria Yanga mafanikio zaidi ya Simba msimu wa 2023-2024

    Kuna dalili mbaya toka pre-season hadi jana kwenye Simba Day nimeshaaza kuziona zinazoashiria kuwa Simba inaenda kuwa na msimu mbaya sana. 1. Tukirudi nyuma mwishoni mwa msimu uliopita, kipa Aishi Manula aliumia na kwa sababu za kijinga kabisa Beno Kakolanya, kipa mwenye uwezo akawa anakaa...
  8. JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa mafanikio kwa simba sc kama viongozi hawatozubaa

    Nyota ya Simba sc inang’aa sana hivi sasa yaani kila wanachokigusa kinaenda, hii ni ishara nzuri kinyota. Nawaasa viongozi wa simba shikamaneni mizimu imebariki mwaka huu nyie kuwa na mafanikio makubwa, mnayoyapanga msiyaruhusu maadui zenu wayanase. Huu mwaka ni wenu
  9. JamiiForums Tanzania Abdul Kareem Popat ndio sababu hasa ya Azam FC Kukosa mafanikio

    Abdul Kareem Popat amekuwa CEO wa Azam FC kwa zaidi ya Miaka 7. Huyu ndio CEO ambae hana presha kabisa ya kupoteza kazi yake kutokana kutopewa presha ya mafanikio pale Chamzi Complex. Kipindi chote cha uongozi wake Azam FC imeambulia kikombe kimoja tuu cha FA (Azam Confederation Cup) mnamo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuendeleza Uwajibikaji wa Wafanyakazi kwa Mafanikio Bora

    Utangulizi: Katika sekta yoyote, mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ni muhimu sana katika kuendeleza ufanisi na mafanikio. Katika andiko hili, tutajadili mbinu zinazoweza kuchochea mabadiliko haya katika mazingira ya kazi. Andiko hili limezidi maneno mia saba. 1. Kuhamasisha Uongozi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Janga gani lilikukuta baada ya kuexpose mafanikio yako public?

    Vipi wakuu; Katika harakati za maisha, wengi wetu tuna ile kasumba kutaka kuwaprove wrong ndugu jamaa na jamii inayotuzunguka kwamba wasikuchukulie poa kwa kuonyesha progress zako, bila kujua kwamba watu hawafurahii positive changes especially watu wa uswahilini. Binafsi baada ya kustruggle...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Umeme Vijijini Tanzania: Mafanikio, Changamoto na Matarajio

    Umeme Vijijini Tanzania: Mafanikio, Changamoto na Matarajio Mwandishi: MwlRCT Utangulizi Umeme ni nguzo ya maendeleo. Umeme unawezesha wananchi wa vijijini kufanya shughuli za kiuchumi, kijamii, kimazingira na kiusalama. Umeme pia unachangia kupunguza umaskini, kuongeza elimu, kuboresha afya...
  13. JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, hata kwenye ukoo masikini wale wenye magari hutokea koo maskini ila wao kama wao wapo mbali kuzidi wenzao, Tukigusia makabila yenye asili ya hapa kwetu, wachaga wapo mbali mno, yapo makabila yanayofatia ila ni gepu refu...
  14. JamiiForums Tanzania Je, unaweza pata Mafanikio bila Nguvu zozote za kiroho?

    Hello Kama mtu mpamanaji mwenye ndoto za Kupata Mafanikio ambayo yamesimama je unaweza kuyapata bila Nguvu za kiroho? Hapa sizungumzii Mafanikio ya Nyumba gari na NO Namaanisha Mafanikio Makubwa ya kuishi vizuri huku ukiwa Una uhakika hata ukilala kitandani miaka mitano bado Biashara zako...
  15. JamiiForums Tanzania Mateso na kufeli kwako ukiwasimulia Hufurahi mioyoni mwao; Mafanikio yako huwachoma

    MATESO NA KUFELI KWAKO UKIWASIMULIA HUFURAHI MIOYONI MWAO; MAFANIKIO YAKO HUWACHOMA. Anaandika, Robert Heriel Hili wengine tulishalijua zamani za kale, Sisi wengine huwezi kusikia shida zetu, yaani Watu wakituona hutuona kama wala Bata, Maisha Safi, Watu tusio na shida. Muda wote tunafuraha...
  16. JamiiForums Tanzania Mafanikio ni nini?

    Unaweza kusema mafanikio ni kuwa na maisha mazuri, kwa mfano, kuwa na Biashra au kazi nzuri yenye Kipato kikubwa, kumiliki nyumba nzuri pamoja na magari ya kifahari nk, Swali langu ni je? kwa mtu anayefanya shughuli zisizo halali kama vile ujambazi au ufisadi na anamiliki nyumba nzuri, magari...
  17. JamiiForums Tanzania Naombeni kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Freelancer

    Habari, Wanajukwaa naomba kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Uwakala wa kusaji laini (Freelancer). Je, INALIPA? au ni kupoteza muda bila mafanikio kama ndiyo ushawahi kuona mtu kafanikiwa?
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Ufanisi na uthabiti katika mambo madogo (msingi/awali)

     Utangulizi Neno “Utawala Bora na Uwajibikaji” huonekana kulenga shabaha yake katika utendaji wa uongozi na mamlaka za “juu” katika Taifa, Bara na Dunia kwa ujumla; na mtazamo huu ndio kikwazo kikubwa zaidi cha kufikia utawala wenye sifa ya kuitwa “bora” na uwajibikaji wenye maendeleo chanya...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake waliotuzunguka ni puto na sindano kwenye mafanikio ya vijana wengi wa kiume

    80% ya wanawake waliotuzunguka Ni puto na Sindano kwenye mafanikio ya vijana wengi wa kiume. Imenichukua mda mrefu kuiva katika hili ila ndani ya mda mfupi ntakupa nondo zililivotukuka zitakazokujenga na kubadili maisha yako sana Let's Go.... Ilikuwa ni Asubuhi moja Murua, Nikiwa katika...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kibongo bongo ni sahihi mwanaume au mwanamke asiye na degree kumiliki mtu mwenye degree?

    Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good? Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani? Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…