mafanikio

  1. JamiiForums Tanzania Kama umeshapita kwa wachungaji na waganga ukiambatanisha sadaka lukuki bila mafanikio, inaweza kuwa wewe binafsi ndio msaada wako mwenyewe

    Ndugu zangu, Huu sio wito au propaganda ya dini. Uwe Mkristo au Muislam, tabu zako unazijua mwenyewe na yule unae hangaika kwenda kwake akuponye wala hafananii na uchungu wako. Tumekuwa msaada mkubwa wa kifedha kwa kununua miujiza na visomo. Niliwahi kusoma comment ya jamaa muislam hapa JF...
  2. JamiiForums Tanzania Diamond umemsifia Rais Samia kwa Mafanikio yaliyotoka kwa Magufuli

    Msanii Diamond karibia hayo Mafanikio yote uliyoyaonyesha katika Video ya huo Wimbo wako (Kichupa Chako) ambayo kama kawaida ya Mr. Kiherehere Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo) kaishea Mitandaoni akidhani Mama atafurahi na Kumrejesha tena Ikulu anakokupenda kweli...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uratibu mbaya wa makadirio ya kodi ndiyo sababu kubwa ya ukwepaji kodi

    Mimi ni mtaalamu wa fedha na kwa mawazo yangu tatizo la kodi na TRA linaanza na uratatibu mbaya wa ukusanyaji wa kodi. Kuna kodi za aina mbili kubwa 1. Kodi za mauzo. Kwenye kodi hizi ambazo kwa ulewa wangu ni 18% mlipa kodi sio mfanyabiashara mfano mwenye duka. Mlipa kodi ni mnunuzi na mwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi binadamu tukipata mafanikio kidogo tunavimba sana?

    Habari za asubuhi wana JF poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku ilimradi njia ya kwenda msalani isiote nyasi. Husika kwenye mada iliopo hapo juu sijui ni kwanini sisi binadamu hasa tuliotokea maisha magumu yaani mtu kanunua gari tu, kajenga nyumba au kapata kazi basi ni vurugu huko...
  5. JamiiForums Tanzania Wana-Young Africans siku hizi hatuongei sana, mafanikio yetu ndio yanaongea

    Habari. Mashabiki Wa Dar Young Africans Atuongei Kabisa Wala Kupiga Kelele Ambazo Hazina Maana Katika Kukuza Sector Wa Mpira Wetu Hapa Tanzania Na Africa Kwa Ujumla. Imekuwa Tofauti Hivyo Ubora Na Mafanikio Yanayofanywa Na Mabingwa Young Africans Yamekuwa Yakijieleza Yenyewe Moja Kwa Moja...
  6. JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete: Upendo ndiyo Nguzo ya Mafanikio yetu

    Upendo ndiyo Nguzo ya Mafanikio yetu-Kikwete (MB) Maneno hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete alipokuwa anaongea na Viongozi wa Chama wa Halmashauri ya Chalinze alipowaalika kwenye Futari...
  7. JamiiForums Tanzania Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

    Mimi na miaka 14 kwenye soko la forex ila sio mafanikio ya haraka watu wanavofikilia.nimeona malalamiko mengi hapa JF bora kueleza ukweli. Asilimia kubwa forex ni High risk na inaweza kukuweka maskini kwa sekunde tu. Sababu kubwa kinacho changia ni watu kutokuelewa na kuwa na haraka ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ficha mafanikio yako

    -Umenunua ndinga mpya, kaa kimya -Umenunua nyumba mpya, kaa kimya -Umepata pisi mpya, kaa kimya -Amepata mimba, umepata kaa kimya -Umepata promotion, kaa kimya Watu wako wa karibu hawapendi maendeleo yako,Wanapenda kuona unateseka na kutaka msaada. Ficha mafanikio yako.
  9. JamiiForums Tanzania Nasikitika ninaposikia mafanikio ya TAKUKURU kuwafikisha watuhumiwa mahakamani bila matokeo ya hukumu kwa watuhumiwa wa rushwa

    Kwa mujibu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara 107A(1) inayotamka kama ifuatavyo: "Mamlaka ya utoaji haki katika Jamhuri ya Muungano itakuwa mikononi mwa Idara ya Mahakama na Idara ya Mahakama ya Zanzibar, na kwa hiyo hakuna chombo cha Seriikali wala cha Bunge au Baraza la...
  10. JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP -155), na kwa nini inaonekana kuwa na mafanikio? Je, ni kwa nini tusiwaige?

    Napenda kufahamu ethiopia wanategemea kitu gani kwenye kukuza uchumi wao pia ni sector gani kwao inayoongoza kuwaingizia pesa nyingi. Swali kwa wachumi ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP) hadi wanaenda speed sana yaani miaka kama 3 au minne nyuma tulikuwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Bi. Christine Mwakatobe alifeli kuendesha KADCO, Je, tutegemee mafanikio AICC? Au maisha ni bahati?

    KADCO imefeli kutoa huduma, Mkurugenzi wake pamoja na kufeli kwake amepelekwa AICC kwenda kujaribu kama atafanikiwa kufanya Mapinduzi yoyote Je, tutegemee jambo jipya kwa huyu mwanamama?Au ndio tuseme omba uzaliwe na bahati? Soma: - Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi...
  12. JamiiForums Tanzania Ups and down miaka 8 ya kubet (addiction) bila ya mafanikio

    Ndugu zangu Kwenye jukwaa hili nimeshuhudia hadithi na mikasa mingi watu waliyokutana nayo kabla na hata baada ya kujiunga mtandao huu mwaka 2014 hivyo kwanza nijipongeze kwa kufikisha miaka 10 kwenye hili jukwaa na miaka yangu hii kumi napenda kutoa stori fupi ya maisha yangu ambayo ni ya...
  13. JamiiForums Tanzania Nahamishaje sexual energy kwenda kuwa mafanikio au business delevopment energy?

    Sina namna nzuri ya kuelezea lakini kwa kingereza ni SEXUAL TRANSMUTATION kitu kama hicho. Kifupi mimi ni mtu niko horny 24/7 aisee! Yaani ni motoooo!! Sijui ni tatizo au ni normal lakini nachojua ndio nilivo! Wenda hata ningekuaga tajiri sema ndio hivo hiyo nguvu/Energy /Power ipo upande...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde aelezea mafanikio ya sekta ya madini katika miaka mitatu ya Rais Samia

    -Ukusanyaji wa Maduhuli ya Serikali Katika kipindi cha kuanzia Machi 2021 hadi Februari 2024, Wizara kupitia Tume ya Madini imeendelea kutekeleza jukumu la ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo ada za mwaka za leseni, ada za ukaguzi, ada za kijiolojia, mrabaha, fines, penalties and...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukabiliana na janga la kamari za mitandaoni Kwa vijana tunaotafuta mafanikio

    Naomba niweke mada mezani kutokana na yaliyonisibu Mimi, nilikuw ni kijana mtiifu, mwaminifu na mchamungu lakini baada ya kujiingiza kwenye kamari za mitandaoni hasa hasa kasino nilipoteza Kila kitu katika maisha yangu, kuanzia kwenye kazi nzuri, akiba, duka, gari, viwanja na madeni juu na...
  16. JamiiForums Tanzania Hakuna Team ya Mpira Duniani iliyokuwa na mafanikio wakati Flani/Sasa hivi bila kuwa na Uongozi Mzuri

    Habari Mwanajukwaa la Sports. Nianze kwa kusema; Moja ya kitu ambacho watanzania tunacho sana na ndio utambulisho wetu ni MAIGIZO yani tunapenda kuFake kila kitu hatutaki kua na uhalisia na hatuupendi Uhalisia. Ndio maana hata Team zetu unakuta Msemaji ana STATUS Kuliko hata Kocha huku Mtaani...
  17. JamiiForums Tanzania Pole Zuchu mafanikio huambatana na chuki

    Nampa pole mdogo wangu Zuchu maana kila kona linapotajwa jina lake ni matusi, duwa mbaya na maneno ya wivu. Umaarufu na mafanikio ya kimuziki ndio chanzo cha yote. Na zaidi wenzangu roho zinawauma wewe kutoka na Diamond. Si rahisi kwa msichana kupokea hii hali unaweza ona kazi yako chungu...
  18. JamiiForums Tanzania Wabongo ni Watu wa kukuombea Mabaya. Dua zao mbaya ndio mafanikio yako

    WABONGO NI WATU WA KUKUOMBEA MABAYA. DUA ZAO MBAYA NDIO MAFANIKIO YAKO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Kama huombewi mabaya jua bado unasafari ndefu ya kufanikiwa. Yaani bado haujakutana na Bless za Mungu. Baraka za Mungu zinaendana na Lawama, chuki, hasidi, wivu mbaya kwa wanaokutazama...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Mafanikio kiduchu kelele kama zote, Kwanini watu wa Forex wanavimba sana na kutaka attention hata kwa mafanikio madogo?

    1. Mtu wa forex anaweza kuwa na laki 4 bank lakini akatumia laki 1 kupiga picha kali location kali, ni watu ambao wana undugu na photoshoot. 2. Wakinunua magari (gari pendwa mark x) wataweka maandishi ya forex, wengine wanaenda mbali kuweka plate number za milioni 10 kwenye gari zisizozidi...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume kuweni makini na wake zenu, hasa kipindi cha mafanikio

    Mifano ya wanaume walioingia kwenye taabu na wengine kupata kifo kwa iko mingi katika jamii. Wanawake ulimwenguni wamechoka kuwa chini ya wanaume. Wanapenda sana kuolewa (ndoa) kuliko wanaume lakini wakiwa ndani ya ndoa wanaanza kutamani kuishi kwa Uhuru. Kuna kabila liko Dar na Pwani, hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…