mafanikio

  1. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania Anza Safari Yako ya Mafanikio– Pata Ushauri wa Kitaalamu Sasa!

    Karibu kwenye huduma zetu za kitaalamu kwenye nyanja mbalimbali za biashara, ambapo tunakupa mwongozo kamili na urahisi wa kufanikisha mahitaji yako ya kibiashara. Kwa njia ya haraka na ya kuaminika, tunakusudia kukuwezesha kufanya biashara rasmi kwa kuzingatia taratibu, sheria na miongozo...
  2. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania Iba SIRI Hizi 7 Za MAFANIKIO Kutoka Kwa Billionaire Mkinga Fred Vunjabei...(Ambazo Zitaenda Kubadisha Maisha Yako 10X) .

    23,April, 2021... . ....Fred Vunjabei akiwa XXL ya Clouds FM... Alivujisha Siri Kibao za Mafanikio ILA... Hizi 7 ndio Siri Konki Zaidi . ...na Zitaenda Kubadisha Maisha 10X Zaidi Guaranteed . Well...nisikuchoshe Ingia Mgodini Hapa Chini... . 1). Huwezi Kuwakamata Samaki Wakubwa (Papa)...
  3. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Hadithi ya Mjasiriamali Anayejivunia mafanikio makubwa Kutokana na Biashara ya Kuku

    Alianza na nyoya moja la kuku alilo-okota njiani wakati akitembea matembezi ya jioni, lakini leo hii ni mfalme wa ufugaji wa kuku, akisambaza bidhaa zake katika masoko ya kimataifa. 😂😂👆🏾 sijui huwa mnatuonaje,ningekuwa na mamlaka nngechunguza biashara zenu
  4. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania Kila biashara yenye mafanikio hupitia hatua sahihi: Momsconsulting ni daraja Karibu tukupitishe hatua za mafanikio

    Changamkia fursa sasa! huu ni mwaka 2025 ni wakati sahihi wa kuanza kutimiza yale malengo yako uliyojiwekea! Sasa basi unataka kuanzisha kampuni au biashara yako mwaka huu? Usiogope, kwa maana sasa MOMS Consulting tunakusaidia katika kila hatua kuelekea mafanikio yako: Kuanzia usajili na...
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ongeza mafanikio: Faida tano muhimu za kuandika namba 24 kwenye kiganja cha mkono.

    ONGEZA MAFANIKIO: FAIDA TANO MUHIMU ZA KUANDIKA NAMBA 24 KWENYE KIGANJA CHA MKONO. SEHEMU YA PILI. 👉Katika sehemu iliyo pita niliweka msingi wa awali ili kuweza kuelewa ni nini hiyo namba 24. Ule ulikua kama mwanzo tu na kuna baadhi ya watu walikurupuka kwenda kuchora namba 24 kwenye viganja*...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kundi la watu wachache linapofanikiwa kupitiliza husababisha chuki na wivu, haya ni matukio yaliyopelekea kuuawa, kufukuzwa, kubaguliwa

    Katika historia ya dunia, kumekuwa na matukio ambapo makundi ya watu wachache yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa kijamii, kisiasa, kielimu, kiuchumi, n.k. Hali hii mara nyingi imepelekea chuki kutoka kwenye kundi kubwa na hatimaye mauaji ya kimbari (genocide), kuwafukuza, n.k. Aidha, wachache hawa...
  7. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Chadema na ACT wakiungana ni wazi watapata mafanikio Uchaguzi ujao

    Nawaza na kushauli pia, Lissu na Zitto waunganishe nguvu kwa maslahi mapana ya Nchi ili pamoja na mambo mengine, waikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao. Mfano, Chadema wakubali kumuunga mkono Zitto awe Mgombea wa nafasi ya Rais. Vilevile wakubaliane kuachiana Majimbo kulingana na uungwaji wa...
  8. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ni dhana pana sana, Motivational speakers eleweni kwamba, Kila mtu ana namna yake anavyo tafsiri mafanikio

    To whom brain 🧠 is given, Sense is expected. Kitu au jambo unalodhani na kuona kwamba kwako ni mafanikio makubwa sana, Kwa mwingine bado ni kitu au jambo dogo sana. Kuna wimbi kubwa sana la Motivational speakers ambao wao hujiona kwamba ndio wana uelewa mpana sana kuhusu suala zima la...
  9. Augustine Aloyce

    JamiiForums Tanzania Mafanikio Hujengwa kwa nidhamu

  10. W

    JamiiForums Tanzania Fungua Milango ya Mafanikio: hizi ndizo njia kwa wanaume kujiondoa katika umaskini

    Pata Mwanamke Sahihi Sahau kuhusu slay queens na wanawake wenye sura na shape wasioweza kukuunga maono yako. Tafuta mwanamke atakayekuunga mkono kwenye maono yako na kukupa ahueni kwenye safari ya kusaka mafanikio. Mwanamke alie tayari kutimiza majukumu yake na yenu kwa pamoja, ni muhimu sana...
  11. Bush Viper

    JamiiForums Tanzania Tunaungana kwa pamoja kwa mafanikio ya usaili wa walimu

    Kesho rasmi walimu wanaanza usaili, na usaili huu utaendelea hadi tarehe 24 mwezi wa pili. uzi huu umeandaliwa mahsusi ili kuwa jukwaa la kushirikiana mawazo, maswali mliyokutana nayo, changamoto mlizopitia, na uzoefu wenu wa mtihani. Lengo ni kuwasaidia wenzetu wanaotarajia kufanya usaili huu...
  12. Peter Mwaihola

    JamiiForums Tanzania Utu uzima umebadili mtazamo wangu kuhusu mafanikio

    Nikiwa chini ya miaka 20 nilikuwa nawaza sana mambo makubwa makubwa umasikini na shida niliona kama vitu vya kupita. Nilikuwa najiuliza na kushangaa sana inakuwaje mtu anaishi mpaka anafika miaka 30 hana nyumba, hajaoa hata hawazi kununua gari? Huo ni uzembe bwana nilijijibu mwenyewe. Sikuwahi...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya kila mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke anayemsukuma!

    Wakati kundi la watalii lilipotembelea shamba la mamba, mmiliki wa eneo hilo alizindua shindano la ujasiri, kwa kuwaambia wageni waliohudhuria kwamba.. "Yeyote anayethubutu kuruka, na k kuogelea hadi upande wa pili wa ziwa lile lenye mamba na kusalimika kuliwa au kujeruhiwa atampa $ 1,000,000...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ufanisi wa Utoaji wa Vitambulisho vya NIDA: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa sasa, NIDA...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Unapopokea sifa, omba Mungu wako akupe busara na unyenyekevu, wengi wamepotea kwa kulewa sifa

    Adui namba moja wa mwanadamu ni "Sifa" Sifa ni neno dogo lenye herufi nne, lakini limeumiza, limeangamiza, limeua na limepoteza haiba, roho, nafsi, karama, vipaji na uwezo wa wanadamu wengi sana duniani. Bila shaka wahenga walijua madhara na athari za sifa, wakaonya kuwa "mgema akisifiwa tembo...
  16. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ukweli uliojificha, inakuwaje mtu anakataa kuoa na mafanikio Hana? Kama kutooa mapema ni vizuri kwanini miaka inafika 30 Bado kipato Cha kubangaiza?

    Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa. Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa! Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8 Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio...
  17. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kaka Magical power nina furaha sana, yule kaka niliyekuwa namuwinda siku nyingi bila mafanikio sasa nimeshamnasa.

    Kaka Magical power nina furaha sana, yule kaka niliyekuwa namuwinda siku nyingi bila mafanikio sasa nimeshamnasa, kumbe rahisi niliamua kujitoa akili nikalipa double kwenye send-off ya rafiki nikamuomba kampani tukaenda wote nikawa sikuwa na haraka basi akaumwa akanipigia simu anaumwa...
  18. Bams

    JamiiForums Tanzania Mbowe Haguswi Wala Kuumizwa na Walipoteza Maisha, Au na Yenyewe ni Mafanikio ya Mwafaka?

    Mbowe leo amemshangaza karibia kila mtu mwenye uwezo wa kutafakari. Mbowe ametumia muda mrefu sana kusifia mafanikio yaliyotokana na mwafaka uliofanywa kati yake na Rais Samia. Hakuthubutu kuzungumzia chochote kuhusiana na utekaji na mauaji ya viongozi na wanachama wa CHADEMA. Kwake yeye, baada...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba: Rufiji Imepata Mafanikio Makubwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amepongeza jitihada za maendeleo zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sekta ya Elimu,Afya na miundombinu ya Barabara za Mijini na...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo

    Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo Leo, Desemba 15, 2024, mashabiki wa CS SFAXIEN ya Tunisia walifanya vitendo vya fujo na uharibifu mkubwa kwenye Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Temeke, Dar es Salaam, wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho la...
Back
Top Bottom