mafanikio

  1. Meerkat

    Je Mafanikio ni Matokeo ya Tabia, Sio Kitendo Kimoja?

    Wengi wetu tunatamani kufanikiwa, lakini ni wachache wanaojua siri ya mafanikio ya kweli. Mara nyingi tunaamini kuwa mafanikio yanatokana na kitendo fulani kikubwa au tukio maalum, lakini ukweli ni kwamba mafanikio ni matokeo ya tabia zetu za kila siku. Kama vile Aristotle alivyosema, “Sisi ni...
  2. Meerkat

    Mafanikio ni Matokeo ya Tabia, Sio Kitendo Kimoja

    Wengi wetu tunatamani kufanikiwa, lakini ni wachache wanaojua siri ya mafanikio ya kweli. Mara nyingi tunaamini kuwa mafanikio yanatokana na kitendo fulani kikubwa au tukio maalum, lakini ukweli ni kwamba mafanikio ni matokeo ya tabia zetu za kila siku. Kama vile Aristotle alivyosema, “Sisi...
  3. Gulio Tanzania

    Watanzania wengi wanapenda mafanikio lakini sio watoaji

    Nilikuwa kwenye uzinduzi fulani wa kituo Cha watoto yatima mtoa hotuba alikuwa akilalamika watanzania hawajitoi kusaidia watoto wao misaada mingi inatolewa na wazungu na matajiri huku watanzania wengi wanatoa pesa zao nyingi kwa manabii kuchangia harusi na kuvaa vizuri wakisahau kama Kuna watoto...
  4. Equation x

    Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

    Kila mmoja utamani kuingia kwenye mahusiano; haijalishi anapata faida au hasara, ingawa wapo wachache wanaopata faida, na pia wapo wengine wanapata hasara na kujikuta wanarudi nyuma miaka 20 iliyopita kimaendeleo. Sasa ndugu zangu nawauliza; Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha...
  5. FAJES

    Biashara ya Tofali: Mafanikio na Changamoto zake.

    Wakuu amani iwe nanyi! Nafikisha kwenu Wajuvi na Wazoefu wa biashara za hapa nyumbani. Leo naomba mwenye uzoefu wa biashara ya kufyatua Tofali kwa Dar es Salaam atupatie mawili matatu ili kina sisi tunaoitizama biashara hii kama fursa ya kufanya hatujaingia mazima mazima. Karibuni sana Wakubwa.
  6. MSHUAH

    Fungua Milango ya Mafanikio: Hatua Muhimu za Kutimiza Malengo Yako

    Ndugu zangu wa Jamii Forums, Leo nimeamua kuanza safari ya kushirikiana nanyi kuhusu mafanikio na jinsi mtu anaweza kufikia malengo yake. Mara nyingi tunasikia watu wakisema "nataka kufanikiwa," lakini wengi hawajui wanapaswa kuanzia wapi au ni nini cha kufanya ili kufika kule wanakotamani...
  7. BwanaSamaki012

    Mwambie mwenzio: Nina toa uduma za Kitaalamu kwa Mafanikio ya Miradi ya Ufugaji Samaki

    Habari Wakuu! Ufugaji wa samaki ni utamaduni/maarifa mapya hivyo watu wengi wanastruggle sana kupata taarifa sahihi juu ya njia bora ya kufanya ufugaji wa samaki kibiashara Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki ninatoa huduma zifuatazo ambazo ili kusaidia jamii kukuza uelewa na mwisho kufikia...
  8. kwisha

    Kupotea kwa ukristo ni mateso kwa watu wengine

    Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu. Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Unataka kuwa na mvuto kijamii, kisiasa au kiuchumi ili upate pesa au mafanikio? Fanya mambo haya kisha njoo unishukuru

    UNÀTAKA KUWA NA MVUTO KIJAMII, KISIASA AU KIUCHUMI ILI UPATE PESA AU MAFANIKIO? FANYA MAMBO HAYA KISHA NJOO UNISHUKURU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli MVUTO, mvutano. Kani au nguvu ya Uvutano. Maisha ni Ñguvu ya Uvutano, MVUTO. Kûna Aina Mbili za Uvutano (MVUTO) 1. MVUTO HASI 2. MVUTO...
  10. ELI COHEN

    Siasa za Marekani: Kitabu cha mafanikio ya Kamala Harris ambacho kurasa zake hazijaandikwa chochote

    Kumaanisha kuwa hakuna chochote cha maana alichofanya hahaha Cheki video:
  11. kavulata

    Mama mkanye mwanao, hakuna cha bure mafanikio hayaji kama mvua

    Kuna kipindi nilikwenda nje ya Afrika na kuishi huko kama miaka 4 hivi na kidogo. Mwnyeji wetu alichukua muda wake kutueleza mambo ya msingi sana ya kuzingatia katika taasisi ile, mji ule na nchi ile na kukutembeza kwenye maeneo machache sana Muhimu ambayo tunaweza kujipatia mahitaji na huduma...
  12. Mrndumbarojl

    Unajua nini kuhusu mafanikio ya usaili wa kuandika kwa alama za juu ila unakosa kazi?

    JE, KILA MTIHANI NI FURSA YA KUFANIKIWA ? Nataka uweke hili kwenye akili yako: Unaweza kufaulu Aptitude Test au Written kwa maksi za juu sana kiasi cha kuwa wa kwanza ila ukakosa ajira. Naam! Najua wengi mnashangaa. Ungana nami ujifunze na uepuke kuwa miongoni mwao. Is it possible for me to...
  13. figganigga

    Mitano tena: Muonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Ruvuma

    Muonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Wilaya ya Mbinga vijijini Mkoani Ruvuma Mtibabu anakaa hapo chumba cha kwanza. Ni kiasi gani Samia kaelekeza Ruvuma na kimefanya nini? Huku ni kwao na Waziri wa afya Jenista Muhagama. Fedha za miradi ya afya ya IMF...
  14. H

    Mwaka Mmoja wa Kuendesha Startup: SmartBusiness – Changamoto na Mafanikio

    Mwaka mmoja uliopita, nilianzisha program ya SmartBusiness kwa lengo moja kuu: kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs) barani Afrika kuboresha usimamizi biashara zao na kuwawezesha kufanya maamuzi yatokanayo na taarifa sahihi za mwenendo wa biashara zao. Niliona changamoto nyingi...
  15. Empty container for sale

    Namna ya kuwasiliana na mizimu (ancestors) kwa ajili ya kupata mafanikio au kuweka mambo yako sawa

    Hapa natoa madokezo (hints) kuhusu kujiunganisha na mizimu ya kwenu ili kuweka mambo yako sawa. Tunaanza. 1. Tafuta eneo safi na tulivu Hakikisha Una eneo safi na tulivu ambalo utalitumia Kama madhabu yako kuongea na mizimu ya kwenu ili kupata msaada eneo linaweza kuwa hata chumbani kwako...
  16. Ojuolegbha

    Rabia Aeleza Mafanikio ya CCM na Serikali kwa Wanadiaspora wa Uingereza

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amekutana na Wanadiaspora na wanachama wa CCM nchini Uingereza tarehe 28 Septemba, 2024. Lengo la kukutana lilikuwa kuimarisha uhusiano baina ya Wanadiaspora, Chama Cha Mapinduzi na...
  17. Sina Ndugu

    Uzi maalumu wa kupeana maarifa kwenye nyanja tofauti (Kiuchumi, kiafya na maendeleo binafsi)

    Weka hapa Softcopy yeyote iwe Kitabu, Makala au Jarida lolote, Lakini lengo kuu la hiyo Document liwe ni kuleta maarifa katika eneo fulani . Yaweza kua Kiuchumi, Mabadiliko binafsi, Kiroho hata Historia yenye kufunza . Karibuni!!!
  18. Samia atosha tukutane2030

    Hakuna mtu duniani amewahi kuwekewa mikono kichwani na wazazi wake wakamwombea jambo bila mafanikio.

    Hello! Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu kutoka kwa Mungu kuhusu situation yake. Nimegundua jambo ambalo watu wengi wakilichukulia maanani...
  19. M

    SIMBA WALISAJILI CHEAP LABOUR, NI KANUNI YA WAHINDI WENGI ILI KUBANA MATUMIZI NA WAKATI HUO HUO WAKITAKA MAFANIKIO MAKUBWA NI NGUMU KUFANIKIWA!

    Hii kanuni bwana kanjibhai wa Simba aliitumia ipasavyo kwenye zoezi Zima la usajili msimu huu! Akutaka kuumiza kichwa kusajili wachezaji Wenye profile kubwa Wala Wenye uzoefu wa michuano ya kimataifa! Alijua kabisa wachezaji dizaini iyo gharama yake ni kubwa sana na walikuwa wametolewa macho na...
  20. Hyrax

    Mwanaume!! Adui wa kwanza wa mafanikio yako ni mwanamke au wanawake utakaokuwa nao.

    Endeleeni kuwatukuza, Nimesoma leo Kitabu cha mwanzo pale kwenye bustani ya Edeni, Adam alikaa poa na viumbe wengine bila makwazo wala mzozo ila alipoingia mwanamke maisha yakabadilika mpaka leo tunaishi maisha yakiwaki. Nimegundua mwanaume kuishi mwenyewe bila mwanamke ndio nguvu ya mafanikio...
Back
Top Bottom