Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
SIRI YA MAFANIKIO YA KIFEDHA.
🎯Uhusiano kati ya Kipato na Uwekezaji
"Income starts wealth. Investing completes it."
Kipato kama mshahara au faida ya biashara ni mbegu tu,huwezi kuwa na shamba bila mbegu.
Lakini ukiila mbegu yote, hutakuwa na mavuno ya baadaye.
Uwekezaji ndio unaofanya ile mbegu...
HOTUBA YA KIONGOZI WA WANAWAKE - ACT WAZALENDO KWA
WAANDISHI WA HABARI NA TAIFA
Kauli Mbiu: Machozi ya Mama – Deni la Taifa
UTANGULIZI NA SALAMU YA CHAMA
Ndugu Waandishi wa Habari, na Watanzania wenzangu mnaonitazama na kunisikiliza,
Nawasalimu kwa salamu ya chama chetu: TAIFA LA WOTE...
Habari wana JF,
Kuna jambo wengi huligundua wakiwa wamechelewa -sio kila mtu wa karibu yako atakuwa tayari kukuona ukipiga hatua kubwa kuliko yeye.
Na hapa nisisemee vibaya:
Watu wengi wa karibu wanaweza wakawa wanakutakia mema kwa dhati. Wanapenda ufanikiwe. Wanakuombea. Wanakutia moyo...
PERSONAL PRAYERS AGAINST DELAY 🔥
📖 Anchor Scripture
“The vision is yet for an appointed time… it shall surely come, it will not delay.” — Habakkuk 2:3 (NKJV)
6 PRAYER POINTS
I declare every delay working against my destiny is broken now. I step out of stagnation and into divine momentum.
I...
Habari wana JF,
Kuna jambo watu wengi hawalielewi kuhusu biashara - mafanikio ya kweli huanza rohoni kabla hayajaonekana kwenye akaunti ya benki.
Watu wengi wanapomwona mfanyabiashara aliyefanikiwa, wanaona majengo, magari, ofisi na mtiririko wa pesa. Lakini hawaoni maombi ya usiku, wasiwasi...
LOGO rasmi ya jamiiAi
Utangulizi
Katika enzi ya maendeleo ya kasi ya teknolojia ya akili bandia, ujio wa akili mnemba inayojulikana kama Jamii AI umeleta matumaini mapya katika sekta ya kidijitali. Kupitia majaribio ya awali yaliyofanyika, Jamii AI imeonesha uwezo mkubwa wa kiufundi, kasi ya...
Malipo ya unyenyekevu ni kubabaishwa.
Malipo ya wema ni kupelekeshwa.
Kuna sanaa ya kubalance ufahari usiwe kiburi na nidhamu isiwe unyonge, na hii ndio siri ya mafanikio.
JASUSI COHEN
Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu
Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu simama watu wote kanisani wakuone umejiunga.
Hawajioni bora kuzidi wengine, makanisa mengine...
amani
bora
dini
dini ya kweli
hawana
huruma
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kuishi
kujitenga
kuoa
kuoana
kwa wote
mafanikio
mifumo
mipaka
n.k
nani
ndani
ndoa
nje
pamoja
sana
siri
siri ya mafanikio
ukiona
upendo
wao
wote
1. Biashara ya stationary karibu na chuo ambapo gharama zote za awali ni 1m
02. Library ya kurusha movie kwa kutumia kompyuta, hapa nyimbo series nk
03. Ni saloon ya kiume ambapo itanibodi nifanye kwanza mafunzo ya kunyoa kwa mwezi mmoja.
Kwa mtazamo wako niinvest wapi kwa ajili ya business...
Wakuu
Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani hasa?
Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara...
Mwanzoni nilikuwa najua mentor hutoa guidelines za mafanikio.
Lakini ukweli ni kwamba njia alizotumia X kufanikiwa ni tofauti na njia utakazo tumia wewe Y kufanikiwa ukiiga utaishia kuingia chaka.
Acha kuexpose mambo yako kwa watu wanaojiita mentor achana nao kwani matatizo yakikukuta...
Siri ya mafanikio yako ni maamuzi tu basi usidanganywe sijui connection. Sijui freemason sijui nini. Hayo yote yanatokea baada ya kuchukua maamuzi tu. Wewe jaribu kuchukua maamuzi kwa kile unachokifikiria katika kichwa chako uone kama hizo connection na mengine hayotokufuata yenyewe.
Asanteni...
Utashangaa mtu kaoa mke mzuri unamposti, unataka sisi tufanyaje mwisho WA siku tuna mwinda na tuna MLA unakuja kushituka kumbe ulioa Malaya, tatizo ni wewe ulieamua kututangazia kuwa Kuna chombo kizuli pahali fulani. Huyo ni mkeo au mumeo wako picha yake weka chumbani kwenu au sebuleni hapo uwe...
Katika maisha yetu huwa tunakutana na shauri mbali mbali, inaweza kuwa pindi tunajitafuta au nyakati tumejipata.
Mimi nliaminishwa nikianzisha biashara ya chips, inalipa sana na watu lazima wale. Aisee nlifunguliaga goli huko kigamboni mitaa ya midizini nkaishia kula chips mwenyewe na zingine...
13 jan 2026
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani
1.Lala mapema
2.Amka mapema
msimulizi
3.Soma kitabu atleast 20dk/siku
4.Fanya mazoezi kila siku
5.Tengeneza ratiba na uifate na usiivunje ratiba yako kirahisi
6.usikate tamaa
7.weka malengo na na...
Katika ulimwengu wa ushindani wa kibiashara na maendeleo ya mtu mmoja mmoja, mara nyingi dhana ya mtaji imekuwa ikitafsiriwa kama fedha taslimu au rasilimali zinazoonekana pekee. Hata hivyo, ukweli uliojificha ni kwamba muda ndio mtaji wa msingi na wa kipekee kuliko rasilimali nyingine yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.