maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wawafanyia upimaji wa afya wazee kwenye maeneo ya makazi mjini Hefei, China

    Agosti 10, 2022, katika mji wa Hefei, eneo la makazi la Hupotan lilishirikiana na kituo cha huduma za matibabu katika mtaa wa Hupo kutoa huduma ya kupima afya kwa wazee, ambapo watu wanaojitolea na madaktari waliwatembelea wazee wenye umri mkubwa na kuwapima afya nyumbani kwao.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Njombe: Rais Samia Awahutubia Wananchi Katika Mkutano wa Hadhara, Asema Serikali Imezuia Kupandisha Hadhi na Kukata Maeneo ya Utawala

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Njombe katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Sabasaba Njombe Mjini, leo tarehe 10 Agosti, 2022. DKT. PINDI CHANA – WAZIRI, MALIASILI NA UTALII Kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwakweli...
  3. Funa the Wild

    JamiiForums Tanzania Maktaba ya Utalii

    Utalii wa Majini Miongoni mwa maeneo ambayo utaweza kufanya utalii wa majini na nchi kavu basi hifadhi ya taifa Saadan ni miongoni mwa hifadhi ambayo inaweza kukupatia utalii wa aina iyo. Hifadhi hii ipo mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Ni hifadhi ambayo utafahamu mambo mbali mbali yanayohusiana...
  4. Tanzania wani

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukiwekeza kwenye maeneo haya 9 lazima utatoboa

    GAMES AND SPORT eneo hili ni pana sana na lina mambo mengi sana ndani yake na kundi kubwa 98%ya wakazi wa dunia lazima wawe kwenye eneo hili kila siku mchana na usiku ukiwekeza hapo uaona mafanikio lina mabilionea wengi sana duniani hapa SCIENCE Eneo hili si la kila mtu anaweza kuwekeza bali...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Viongozi kuvaa Barakoa kwa Kubagua maeneo ni Unafiki amueni moja mzivae muda Wote au msizivae tu kabisa sawa?

    Nachukia sana Unafiki na Upuuzi. Yaani Mtu huyo Saa 2 Asubuhi unaona Picha yake akiwa amejiachia kabisa bila Barakoa lakini ukija Kuiangalia tena Picha yake ya Saa 7 mchana unamkuta kavaa Barakoa tena inayotaka hata Kufunika Kichwa chake chote. Nawaulizeni nyie Viongozi Wanafiki hivi COVID-19...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Taasisi za washauri bingwa wa China na Afrika ni muhimu katika kutoa mapendekezo ya maeneo ya ushirikiano kati ya China na Afrika

    Kuanzia tarehe 20 -21 Mwezi Julai, Mkutano wa 11 wa jumuiya za washauri bingwa kati ya China na Afrika ulifanyika hapa Beijing. Mkutano huo uliwakutanisha mabalozi, maofisa waandamizi wastaafu, maprofesa wa vyuo na taasisi za utafiti wa mambo ya Afrika za China na nchi za Afrika, pamoja na...
  7. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Kanda ya Ziwa ina Kiwango kikubwa cha Ugonjwa wa Cancer kuliko Maeneo mengine?

    Wakuu hili swali nauliza kwa wema kabisa. Kuna kiwango kukubwa cha wagonjwa wa Cancer kwa upande wa kando kando ya Ziwa Victoria kuliko maeneo mengine nchini. Mtakumbuka hata Mama Samia alieleza nia ya Serikali kujenga kituo kikubwa Mwanza chenye kutoa matibabu ya Cancer Sasa najiuliza: 1...
  8. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwekezaji wa kumbi na maeneo ya starehe vijijini ni fursa kubwa kwa sasa na sio kilimo na ufugaji pekee

    Inafahamika kuwa kilimo na ufugaji ndio fursa pekee maeneo ya vijijini. Ni kweli ni fursa kubwa asilimia 98 ya wakazi waishio vijijini wanajishughulisha na kilimo pamoja ufugaji kuendesha maisha yao. Wanauza mazao na mifugo na kujipatia fedha nyingi wakati wa mavuno ,fedha zinakuwa ndani muda...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Shukrani ya Wapigania Uhuru ni kuacha watoto wasiojua baba zao Maeneo ya karibu yaliyokuwa makambi yao

    Salaam, Kwa kweli sijapenda hawa wapigania uhuru kutoka Namibia, Msumbiji, Zimbabwe kutuachia watoto wasiojua baba zao, leo siku ya mashujaa kuna kambi kule Mtwara ni huruma. Mama mmoja anajieleza walivyokuwa wanatongozwa na kuvalishwa magwanda ili waingie makambini. NB: Tunaomba zoezi la...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha nishati katika maeneo ya migodi, Je kubaki historia?

    Tanzania ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi sana ikiwemo madini, lakini isivyo bahati pia ni miongoni mwa nchi ambazo hazinufaiki na madini hayo hii ni kutokana na technolojia duni ikiwepo ni ukosefu wa nishati ya umeme ya uhakika ya kuendeshea...
  11. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania PICHA HIGH QUALITY: Matukio mbalimbali ya Julius Kambarage Nyerere

    Nyerere akiwa ziarani Netherlands in 1985 Nyerere akiwa na Onno Ruding, Waziri wa Fedha wa Uholanzi, 1985 Nyerere akiwa na Rais wa Marekani Jimmy Carter na Mke wa Rais Rosalynn Carter katika Ikulu ya White House, 1977 Nyerere akiwa ziarani Uholanzi mwaka 1965
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania WIFI za bure maeneo ya umma (Public areas) zinavyohatarisha usalama wa data zako binafsi

    Katika ulimwengu wetu wa leo matumizi ya Intanet yamekuwa ni miongoni mwa hitaji la msingi kwa kila mtu. Katika mazingira mbalimbali tumejikuta tukiwa katika maeneo ya umma ambapo kuna wifi za bure na kwa namna fulani tumekuwa tukifurahia na kuunganisha vifaa vyetu kwa na mitandao hiyo. Maeneo...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mwanza walalamikia kuondolewa kwenye maeneo bila kulipwa fidia na kuuzwa kwa Vigogo wa Serikali

    Eneo hilo lenye viwanja 39, linalalamikiwa na wananchi kuwa lilichukuliwa bila wao kulipwa fidia na kuuzwa kwa vigogo hao wa serikali. Dk. Mabula pia amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Allan Kijazi, kuunda tume huru ambayo itafanya uchunguzi wa kina...
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ukipanga maeneo haya Dar sahau kufanikiwa

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Ukipanga haya maeneo dar ni uswazi kupindukia ukila vizuri au ukiwa ni mtu wa kuvaa vizuri sana lazima watu wakuwekee vikao. Tandika Buguruni Mbagala Gongo la mboto Buza kwa mpalange Mwananyamala Niliwahi kuishi Tandika nyumba tofauti tofauti, kipindi...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maeneo yenye baridi la kufa mtu Tanzania

    Kwema Wadau! Mwaka huu DSM kumekuwa na Hali ya hewa ya baridi ambayo imenikumbusha Maeneo yenye hatari kubwa Kwa upande wa baridi. Watu wengi ambao hawajazunguka hii nchi wanafikiri Arusha na Moshi pekee ndio yenye baridi ya kufa mtu, Kama nawe ni mmoja wapo basi umekosea kabisa, yapo Maeneo...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Ni Muhimu Kuilinda Ngorongoro na Eneo Tengefu la Loliondo - Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata

  17. Bibititi1

    JamiiForums Tanzania Utafutaji wa kura maeneo kame, Kenya unavyochochea mgogoro wa Loliondo

    Watanzania si wepesi kuingilia Uhuru wa nchi nyingine Huru zinazoizunguka naweza kusema hivyo haijawahi kutokea Tanzania ikawa kinara wa mambo ya nchi nyingine siku zote wanaishi maisha yao na shida zao. Ukimya huu wa Tanzania hata kwa Dunia ni nchi ambayo iliamua kutochagua upande wowote hata...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Tutakosa watu wa kuajiriwa maeneo muhimu na nyeti

    Ndugu Watanzania wenzangu, wakati tuko busy kama taifa na shughuli za kujiletea maendeleo katika nyanja mbalimbali, alama ya taa nyekundu ilishawaka kwenye familia, jamii na taifa letu. Kwa kasi ya mmomonyoko wa maadili kwa vijana kuingia kwenye uasherati wa kinyume na maumbile ni bomu na janga...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Ngorongoro, tunawakumbusha tu kwamba hata sisi wa maeneo mengine ya Tanzania, kama Kuna maslahi ya umma, tulihamishwa

    Hili sio jambo la ajabu, sasa hivi kuna watu wanapisha SGR, kuna watu wanahamishwa kupisha upanuzi wa barabara, ujenzi wa sekondari, vyuo vikuu, stendi ya magufuli watu waliipisha, stendi ya nyamhongolo mwanza, ujenzi wa migodi. Upanuzi wa viwanja vya ndege Mwanza na DSM, watu waliipisha...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Maeneo mengi nchini Sri Lanka yakatika umeme baada ya Wahandisi wa umeme kugoma

    Maeneo mengi nchini humo yamekumbwa na kukatika kwa umeme baada ya muungano wa sekta ya Nishati kugoma kupinga kurekebisha sheria inayosimamia sekta ya nishati ambayo ni pamoja na kuondoa vikwazo vya ushindani wa zabuni kwa miradi ya nishati mbadala. Takriban wahandisi 900 kati ya 1,100 wa Bodi...
Back
Top Bottom