maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya chumba na fremu Morogoro Mjini na maeneo mengine nje ya mji

    Naomba kujua bei za frem na chumba kwa morogoro, na maeneo yote ya moro,sehemu palipo chagamka. Sehemu ambapo unaweza kufanya bishara ya library ya movies,biashara ya nguo,gesi,n.k Natanguliza shukrani👏👏👏
  2. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba maeneo ya Morocco

    Za jioni, Nahitaj chumba kimoja maeneo ya Morroco. Sitaki dalali hatuna hela ya kumpa, sina maelezo mengi.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Maeneo nane yatakayofadhiliwa na Samia Scholarship

    Kuleta mageuzi katika sekta ya sayansi na teknolojia kupitia Samia Scholarship. Ufadhili huo wa miaka mitatu hadi mitano utawanufaisha wanafunzi kwenye maeneo haya nane: Samia Scholarship itatoa Ufadhili wa 1. Ada ya mafunzo 2. Posho ya chakula na malazi 3. Bima ya afya 4.Vifaa saidizi kwa...
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutangazwa rasmi hapo Ijumaa maeneo yapo chini ya Russia ndipo upo uwezekano wa kutangaza vita rasmi

    Wengine wanaona kura za maoni kama jaribio la Kremlin kuanzisha upya vita. Ikiwa Urusi itachukua maeneo haya inaweza kupeleka mzozo katika kiwango kipya na hatari zaidi, huku Moscow ikionyesha juhudi zozote za Ukraine kuyarudisha maeneo hayo kama shambulizi dhidi ya eneo lake huru. Kuunganisha...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Maeneo muhimu ambayo serikali zetu zinapaswa kuzingatia wakati wa mazungumzo yao na makampuni ya mafuta ya mafuta na gesi

    Uvumbuzi wa mafuta na gesi huleta msisimko mkubwa sana katika taifa. Mara nyingi mataifa haya yenye utajiri wa rasilimali za mafuta na gesi hutafuta ushiriki wa makampuni ya kimataifa yenye rasilimali za fedha na utaalamu ili kusaidia kuzalisha na kuyauza mafuta na gesi katika mataifa hayo ili...
  6. stineriga

    JamiiForums Tanzania Network mtandao wa Tigo unasumbua maeneo ya Kimara a hakuna kitu mnafanya

    Yaani nikiwapigia watu simu inakata Napigiwa na watu simu inakata Nilijiunga na bando ka Home internet gb 40 nimeshindwa kabisa kufanya chochote Yaani ningekuwa naweza ningewashitaki huu mtandao😡
  7. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu maeneo haya?

    Kwema ndugu, leo nikiwa maeneo fulan nilikutana na ubishi. Ubishi huo ulitokana na baadhi ya vijana wanaoishi katika kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam. Vijana hawa walikuwa wanabishana kuhusu maeneo fulani yanayopatikana katika kata hiyo ya Wazo ambapo wapo waliodai kwamba...
  8. Zainab j

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia kuna nyumba zinatakiwa kuvunjwa maeneo ya Mbuyuni Tegeta ili kupisha stendi ya Mwendokasi

    Wakuu Kuna dada ana mji wake na gesti maeneo ya karibu na mizani ya pale njia ya tegeta, Ananiambia kuanzia pale mbuyuni upande wa kulia yanapopaki maroli kwenye eneo la Rupia,na nyumba zote za upande hule kwendea Hadi kule upande wa chini karibu na hilipo mizani ya TANROAD, Kuna nyumba...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

    Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu K/koo na maeneo mengine nchin yuko nyuma ya nan? Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee Karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani? Kwasasa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022 yatagusa maeneo haya

    Muswada huu unapendekeza kufanya mrekebisho katika Sheria tano ambazo ni Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, Sura ya 147, Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Sheria ya Ushuru wa Barabara na Mafuta, Sura ya 220 na Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani, Sura ya 148. Muswada huu umegawanyika katika...
  11. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Wamachinga wamkumbuka Magufuli na Antony Mtaka kwenye Ugawaji wa Maeneo Soko jipya la Machinga Dodoma kwa kuwekwa wasiokuwepo na wao kukosa

    Ikiwa zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya soko jipya la machinga linaendelea, ila limegubikwa na sintofahamu tokana na zoezi hili Kipindi cha awali wamachinga wanaofanya biashara soko la jioni Nyerere square waliandikishwa kwa usimamizi madhubuti wa aliyekuwa mkuu wa mkoa Antony mtaka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utitiri na uholela wa ufungaji wa ‘cctv’ katika maeneo mbalimbali unavyohatarisha haki ya faragha ya taarifa za watu

    Suala la ulinzi binafsi ni jambo muhimu sana linalopaswa kupewa kipaumbele cha juu kwenye mtiririko wa Mahitaji ya binadamu katika kipindi hiki ili kujilinda na/au kuepukana na vitendo mbalimbali vya uhalifu ambavyo vimekuwa vikitokea katika jamii zetu kama vile ujambazi, uvamizi, ukatili na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uendelezaji wa maeneo ya wazi Tanzania

    Utangulizi: Yapo maeneo mengi ya wazi ambayo kwa namna moja ama nyingine naona bado hayajapata bahati ya kuendelezwa ili kuweza kuwanufaisha wananchi wa maeneo hayo kutokana na faida zake. Kama maeneo haya ya wazi yataendelezwa, basi naamini kuwa yatasaidia sana wananchi kufanya tafakari za...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Taa zikisharuhusu magari yaende, dereva hatakiwi tena kusimama kwenye zebra. Mtembea kwa miguu asubiri taa yake

    Matumizi ya zebra kwa waendao kwa miguu maeneo yenye taa, yanaongozwa na taa za barabarani. Na hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 65(7)(b) na 65 (8). Jukumu la kuheshimu taa za barabarani ni la watumiaji wote wa barabara na sio magari tu. Hivyo basi, kwa mujibu wa kifungu cha 65 (7)(b) muenda...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Maeneo maalum ya Uchumi yanayoungwa mkono na China barani Afrika yahimiza maendeleo ya Nchi za Afrika

    Na Fadhili Mpunji Moja kati ya mambo ambayo China iliyataja mwanzoni wakati wa kuanzishwa kwa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC, ni kuanzisha maeneo maalum ya uchumi (Special economic zones- SEZs) ili kuhimiza uzalishaji wa bidhaa za viwanda, na kuzisafirisha katika masoko ya...
  16. Mkurya romantic

    JamiiForums Tanzania Maeneo yenye watu washamba kanda ya ziwa

    Imekua tabia ya mda mrefu sasa kuwachukulia watu kutoka maeneo ya visiwa vya ziwa Victoria kua ni watu washamba wasio jua chochote sana sana kisiwa cha UKEREWE kinaonekana ni kisiwa cha watu washamba sana ila leo ningependa kutoa orodha ya watu muhimu nchini walio tokea ukerewe Piusi Msekwa...
  17. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya hesabu ya kura katika maeneo 15 yametoka,kuna la kujifunza!

    Jumla ya masanduku 45 yamekaguliwa katika,dosari zimejitokeza katika masanduku yote ya maeneo 6 kama yalivyobainishwa na upande wa Raila Odinga.
  18. R

    JamiiForums Tanzania 3G baadhi ya maeneo haikamati, 4G tiamaji tiamaji, 5G je, itasimama? Gharama za bando je?

    Mtandao wa Vodacom umezindua huduma ya intanenti ya kasi kubwa ya 5G mapema leo 1/9/2022. Sasa kama kuna baadhi ya maeneo 3G tu haikamati hii, 4G kusumbua kwenye maeno mengi, hii 5G italeta tofauti yoyote? Au ndio kisingizio cha kutuongezea gharama za bando kiujanja, tukija kuwauliza watuambie...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Japan yatoa dola bilioni 30 kusaidia nchi za Afrika

    Serikali ya Japan imetangaza kutoa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 30 katika kipindi cha miaka mitatu (2022 – 2025) kwa Nchi za Bara la Afrika ili kuziwezesha kutekeleza programu na miradi ya maendeleo itakayoleta mageuzi ya kiuchumi barani humo. Kiasi hicho cha fedha kimetangazwa kutolewa...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Hili la wamachinga kurudi kwenye maeneo waliyoondolewa, wasaidizi wa Rais Samia wajitafakari sana

    Ni muda kidogo sasa tangu kutekelezwa kwa agizo la kuwaondoa Wamachinga maeneo ya katikati mwa majiji na miji mikubwa kama Dar es Salaam, Mwanza na Arusha kwa lengo la kuwapanga vizuri lakini pia kuyaweka maeneo hayo katika hali ya usafi. Habari mbaya ni kwamba katika maeneo mengi...
Back
Top Bottom