maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anaumwa Magufuliphobia, tangu mwaka 2015 amelitaja jina la Magufuli mara 10,000. Ugonjwa unaongezeka anapoona maendeleo ya kasi

    Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara. Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka...
  2. JamiiForums Tanzania Je, unadhani ni 'Maendeleo' gani hasa ya Kijamii na Kiuchumi Serikali ya sasa bado haijafanya na unadhani Serikali zingine inaweza Kufanya?

    Ukiniuliza Serikali ya sasa imefanikiwa vipi kwa Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii naweza kusema kwa 50% imefanikiwa kwa baadhi yake ila kwa 50% bado nina Deni nayo. Je, na Wewe kama Mdau na 'Great Thinker' unadhani ni 'Maendeleo' gani muhimu yamesahaulika katika Maeneo mbalimbali ya nchi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  4. JamiiForums Tanzania Hotuba za Mgombea urais kupitia CHADEMA ni nzuri sana, haziwezi katu kurushwa live!

    Kwa mnaofuatilia YouTube channel ya CHADEMA MEDIA TV utakubaliana nami, kila atakaposimama Lissu, unaona nyuso za tabasamu kwa wananchi. Wananchi wanakuwa wakimsikiliza kwa makini kana kwamba yeye ndiye Rais, hanunui jogoo wala hatoi zawadi kwa wananchi maskini lakini wote wanatabasamu. Kila...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tujengewe Chuo Kikuu mjini Singida kwa maendeleo ya mji

    Mji wa Singida uko katika ya Inchi lakini kitu cha ajabu sana ni kwamba hakuna hata chuo kikuu kimoja. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Pombe John Makufuli anapotangaza kuwa anatoa mikopo kwa zaidi ya Wanafunzi 100,000, kwa mwaka ni pesa nyingi sana inalipwa. Katika pesa hii...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Oktoba 2020, Tunachagua kati ya Utu wa Mtu na Maendeleo ya Vitu

    Wagombea prominent mwaka huu ni watatu Magufuli, Lissu na Membe, lkn wanaopewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda ni wawili Magufuli na Lissu. Wagombea hawa wawili tayari wameshajipambanua wazi nini vipaumbele vyao 'first priorities'. Wakati anachukua fomu ya NEC mgombea wa CCM Rais Magufuli...
  7. JamiiForums Tanzania Maendeleo yetu Watanzania yalindwe na Katiba sio mtu

    Maendeleo yetu yanafanywa na kuletwa na kodi zetu sote, Sio hisani tunayalipia na tunawalipa watu woote wanaoyaleta, hivyo ni mali yetu sote. Namna bora ya kuyalinda na kuyaendeleza haya maendeleo yetu yanayopatikana kidogokogo lazima tuyaendeleze na kuyalinda katika kila awamu na kila chama...
  8. JamiiForums Tanzania Chuma Magufuli akitafuna muhindi wa kuchoma

  9. S

    JamiiForums Tanzania Maendeleo yoyote ndani ya taifa siyo ya chama fulani, ni dira ya Taifa zima

    Tukiwa tunaelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Taifa, vyama vya siasa vinajukumu kubwa la kuelezea utekelezaji wa dira ya taifa, utekelezaji wa diplomasia ya ndani ya nchi na diplomasia ya nje ya nchi ikiwa pamoja na diplomasia ya uchumi, pamoja na demokrasia ya taifa, nchi nyingi duniani zinasimamia...
  10. JamiiForums Tanzania Maendeleo gani mapya mmepata kijijini/mtaani kwenu kati ya 2015 hadi leo 2020?

    1: Daraja lililokuwa hitaji kubwa kwa wananchi. 2: Kukamilishwa kwa Barabara ya lami. 3: Kupimiwa viwanja mtaa mzima na kupewa mawe (mchakato endelevu). 4: Ujenzi wa barabara mpya ya lami ambayo itafungua kabsa kijiji chote. 5: Ununuzi wa kiwanja cha shule mpya ya serikali. 6: Ufunguzi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere: Maendeleo hayana budi yawe ni "maendeleo ya watu"

    Viongozi wengi walioko madarakani wanajifanya kumuenzi Nyerere lakini ni uongo mtupu, kila siku wanajidai kuwa magorofa yameongezeka posta na ni maendeleo lkn wanasahau kuwa maendeleo ni watu na sio vitu, naomba.ujumbe huu umfikie mwingulu Maendeleo ni watu, siyo vitu NUKUU YA MOJA KWA MOJA...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

    Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametolea ufafanuzi dhana ya uchumi wa kati kwa kusema katika Dira ya maendeleo ya 2025 hakuna sehemu inayoelezea pato la nchi kuingia uchumi wa kati. Dkt. Abbas amesema Benki ya Dunia ndio huweka vigezo vya nchi kuingia katika ngazi hizo. Hivyo amewataka...
  13. JamiiForums Tanzania Risala ya Dkt. Shein: Kifo cha Mkapa kimeacha pengo kubwa katika uongozi na maendeleo

    KIFO cha Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bejamin William Mkapa kimeacha pengo kubwa katika uongozi na maendeleo ya Tanzania, Afrika na duniani kote kwa mchango wake uliooendelea kuhitajika ndani na nje ya mipaka yaTanzania. Rais wa Zanzibar na...
  14. JamiiForums Tanzania Sehemu zinazopata wapinzani wa nguvu Tanzania zinaadhibiwa kwa kunyimwa maendeleo

    Mikoa ya Kusini ilimtoa mpinzani wa kweli, aliyepinga siasa za Ujamaa na Kujitegemea, Marehemu Oscar Kambona R.I.P. Kambona alipinga waziwazi ujio wa sera za ujamaa. Matokeo yake aliishia kuwa mkimbizi Uingereza. Mikoa ya kusini iliadhibiwa kwa makosa ya Kambona. Kusini kuna idadi kubwa ya...
  15. JamiiForums Tanzania Huu ni wakati muafaka wa kukifuta Chama cha Demokrasia na Maendeleo

    Habari zenu, Kwa muda mrefu sana msajili wa vyama vya siasa amekuwa akivibeba vyama vya upinzani hasa CHADEMA pale vinapovunja kanuni, taratibu na sheria za nchi. Sijajua kuna nini nyuma ya pazia ila sasa ni wakati muafaka wa kukifuta Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Wiki hii jeshi...
  16. JamiiForums Tanzania Miaka ya 70, 80 mpaka 90 kulikuwa na Shirika la Maendeleo Dar es Salaam, liko wapi?

    Dar es Salaam Coöperative Development (DDC) lilikuwa na bendi ya Muziki, vikundi vya ngoma za utamaduni, kumbi za starehe nk. Majengo yale yameboreshwa vipi kuwa vitega uchumi endelevu kwa sasa? Vitu hivi vimeishia wapi?
  17. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Vyama vya Siasa na rushwa iliyopo kwenye chaguzi zao

    Kutokana na ukweli usiofichika ndani ya nchi ya Tanzania kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa Chama Kikubwa cha Siasa na pia ndio Chama kilichoshika madaraka mpaka sasa na ambacho kinatabiriwa kwa asilimia kubwa kuendelea kushika madaraka na kuunda Serikali kwa mara nyingine tena...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani haijaandaa kupatana kwa usawa na nchi nyingine yoyote

    Hivi karibuni, Marekani imefanya kila iwezalo kwa kisingizio cha “usalama wa taifa” kuidhoofisha kampuni ya teknolojia ya Huawei, hata kuikashifu kuwa “mkiukaji wa haki za binadamu” na kutangaza kuweka vikwazo vya visa dhidi ya wafanyakazi wa Huawei. Lakini je, nani anayetishia zaidi usalama wa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali isimamie kutoa fidia kwa wale wanaotoa ardhi kwa ajili ya maendeleo, watu wanalia sana

    Binafsi naiamini na kuiomba Serikali ya sasa jinsi inavyosimamia maendeleo kadhaa isimamie pale wananchi wanapolipwa pesa zao kwa kutoa ardhi kwa ajili ya serikali. Hili naamanisha ama inapovunja nyumba ama kuchukua sehemu ambayo wana haki ya kulipwa. Nimeona wengi wakiteseka hasa wanaposema...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mawazo kwa vijana mtapotoshwa kuwaangalia wasanii kwa maendeleo yenu

    Nawapa mawazo ya bure wadogo zangu wa miaka 18-35. Kwasababu wasanii wetu hasa wa musiki wanafanya vizuri jamii hasa wanasiasa watawatumia wenyewe kwa manufaa yao binafsi. Lakini kwa mawazo yangu acheni kuwafuata wasanii na kushinda mitandaoni kuangalia maisha yao na kutaka kuiga badala yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…